Kafulila: Nimerejea CHADEMA rasmi leo

Kafulila: Nimerejea CHADEMA rasmi leo

Hahakweli watu wamefulia kisiasa! Imebakia tu kutangaza kuhama vyama! Ngoja tena baada ya mwezi tuskie the same thing!
 
Dah.... Kwa style yake ya kupigana sijui kama ataendana na CDM hii ya sasa ambayo wengi hatujui inatumia style gani....Labda ile ya Dr W Slaa ndiyo ingemfaa [emoji12] [emoji12]
 
Embu acha dharau wwe ina maana kafulila 2015 laisaidiwa na zitto?? Kma sio NEC kuingiliwa na uhuni hadi kulazimisha warudie kuhesabu ndio kulisababish asiwepo mjengoni ila tuliokuwepo jimboni tunajua alishinda

Kma zitto ndio kila kitu kigoma mbona jimbo lake la kigoma kaskazini act haikushinda?? Mbona kwa mchali hakumsaidia kushinda??? Kwenye jimbo la kafulila act ilisimamisha mgombea kma zitto ndo kila kitu mbona act haikushinda zaidi mgombea wao aliachwa kura takribani 20,000 na kafulila???

Namkubali sana zitto ila sio kwa dharau hizi Kafulila wa 2010 sio wa 2015 sahvi ana CV nzito ma political experience kubwa hasa hoja zake nzito kipindi akiwa bungeni iweje umdharau hivi?? Leo hii ukisimamishwa naye nani watakuwa na shauku ya kukuskiliza wwe wamuache yye??
Ww unafangasi kichwani
 
Habari ingekuwa njema zaidi kama ungetangaza kujikita kwenye kazi ya uzalishaji mali (Kilimo ama ufugaji) Tumechoshwa na style za kuhama na kuhamia kwenye vyama vya siasa - Kukosa msimamo
 
sijawahi kuwa CHADEMA, ila namkubali huyu mtu, anajua kupanga hoja kwa kila msimamo anaokuwa nao.
 
Naona cdm imevaa koti la ukawa kama ilivyo tanganyika kuvaa la muungano
 
si walimfukuza Chadema huyu na akasema chadema wanafuata mifumo ya kishoga n yy ni shoga tu *****
 
Una uhakika chama kina demokrasia na maendeleo pia yapo? ?


downloadfile-3.jpeg


swissme
 
Ukisema Chama Cha Mafisadi una maanisha CCM!!!!!!!!

Hongera sana kwa kulitambua hili na ndio maana hadi leo mahakama ya mafisadi haijaanza kufanya kazi kwani tuliaahidiwa kuwa jamaa wakiingia Ikulu jambo la kwanza kula sahani moja na mafisadi kumbe baadaye wakaona ni habari nzito, kwani asilimia kubwa ya mafisadi wapo ndani ya CCM.

NANI AMFUNGE PAKA KENGELE????????
Habari za uhakika hata muanzilishi wa mahakama hiyo ni fisadi mkuu!! Muache ajiloge akamate watu kwa visasi kama hajaitwa kwa pilato aliyemchagua!! wanamuogopa kama ukoma yule guru wa sheria Tundu Antipas Mugwai Lissu!! chiboko cha dikteta uchwara
 
njoo utafute ubunge halafu utukimbie tena babaeeee
 
Ww unafangasi kichwani
Sawa mkuu nina fangasi kichwani ila tujifunze kuheshim kutofautiana mawazo na ndio kipimo cha juu zaidi cha uzalendo kwenye taifa.
Wwe umemdharau sana kafulila hya nmekupa hizo hoja ni heri ujibu hoja sio kutukana tu afu unakimbia kirahisi rahisi mijadala haiendi hivyo we unaongea ukiwa dar ssi tuliopo kigoma ndio tunamjua zaidi zitto na huyo kafulila kuliko wwe so muache character assasination na ujikite kwente hoja.
 
Back
Top Bottom