Waziri kivuli
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 2,987
- 3,451
umesema chama na cha hilo kabilaUkabila uko wap hapo mkuu
umesema chama na cha hilo kabilaUkabila uko wap hapo mkuu
James Mbatia naye ni wakati wa kuingia CDM.
Mkuu mambo ya mfumo dume yalishapitwa na wakati.ukiona mtu anahama chama ili kumfuata mke wake sio wa kumuanini kabisa
kigoma ni nchi, weka heshima mbeleIla apunguze ukigoma .... (ubishi ) usio na tija
na kujiona ni bora.... atulie na kujenga chama... namkubali sana huyu jamaa tatizo tu ni Kale ka UKigoma ajakaacha.... Kafulila this time kaache Malagalasi tafadhali..... karibu nyumbani....
Apana isome koment yangu vizuri mkuuumesema chama na cha hilo kabila
unahusishaje chama na kabila??Apana isome koment yangu vizuri mkuu
Mmemwambia kuwa yeye ni ng'ombe aliyekatwa "mkia"?
Ni lichama LA mapanya buku wamesakura rasilimali zetu na kuiacha maskini.CCM ni sawa na ile dini ya kishetani
Halafu wewe huwa unachangia kwa kujishtukia sana una tatizo gani? Au ni woga? Hutaki kujulikana upo upande gani? Mengine yasiyo ya kisiasa unafunguka kweli kweliGud guy
Ni hicho kilichomrudisha. tulia dawa ikuingie kama umekereka! ulitaka aje fisiem?Kilichokuondoa CDM ni nini? Na kinachokufanya urudi CDM ni nini?
hahahaaaaaaaaaaa! kweli mmekwisha!Sasa pale kwa lissu wamekapatia kafulila lissu hana mvuto jamani kah
Namshukuru Mungu kwa siku ya leo kurejea CHADEMA rasmi. Kwa heshima kubwa Namshukuru Mungu kwa tukio la leo.
Namshukuru sana Mwenyekiti Freeman Mbowe kwa heshima kwa kunikabidhi kadi mbele ya kikao muhimu cha Kamati Kuu leo jijini Mwanza.
Ninaawaahidi wanachadema na wazalendo wote mnaopigania mabadiliko ya taifa hili kuwa nitatumia nguvu na akili yangu kuchangia mabadiliko tunayoamini!
Ni wito wangu kwa wazalendo wote tuunganishe nguvu CHADEMA kuliokoa taifa letu linalopita nyakati ngumu kiuchumi na majaribu makubwa kiuongozi.
Yani hata wewe unamakribisha Kafulila Chadema? Hahahahaha.... Maajabu makubwa hayaKaribu Sana Kafulila, sina shaka nawe.