msigalakaroli
Member
- Sep 28, 2016
- 12
- 29
Ukawa hiyo. NCCR ndo inakufa taratibu na CUF inapumulia mirija. Ngoja tuone picha stealing mamvi +mbowe.
Pole kwa maumivupale kula makombo inapokuwa ndio last alternative!!!hahahaha
Teh teh teh teh pole sana mkuuwewe dada punguza kashfa pls
swissme
Subiri uteuzi si kuna mbili zimebakiUgombee Uenyekiti.
Ni lichama LA mapanya buku wamesakura rasilimali zetu na kuiacha maskini.CCM ni sawa na ile dini ya kishetaniNi bora kula Makombo kuliko kula mizogo.Chama.Cha Mafisi mmezoea kula mizogo endeleeni ila kuna siku mtaacha
Subiri uteuzi si kuna mbili zimebaki
Ngoja nimpigie simu Mzee Tyson nahisi atakuwa na jibu sahihi LA mfuasi wa Yohana mbatizajiWaa waa makofi kwa hoja kioja
Hayo maswali ya nini hatma ya UKAWA unayaelekeza kwa Kafulila kwani ndiye mratibu wa UKAWA?Kama angepata ubunge angehamia CHADEMA? Jibu hapana.
Kwa nini anadhani CHADEMA ni bora kuliko NCCR-Mageuzi wakati ukisimamishwa kugombea na NCCR-Mageuzi unapigiwa kampeni na vyama vilivyoko Ukawa.
Kwa hiyo anatupa ujumbe kuwa NCCR-Mageuzi limebaki jina tu ndani ya UKAWA.
Nini hatima ya Ukawa nchini? Au ndio kama yale madai yanayosema Tanganyika imevaa koti la Muungano!
Kwa sasa CHADEMA imevaa koti la Ukawa!
Miezi sita na siku 1 Lijualikali alikuwa anapoteza ubunge wake bahati mbaya hakimu alishindwa kusoma sheria hiyo akatoa miezi 6 net pole sana mkuuNadhani huyu analenga kwenda kugombea kule kwa yule mbunge aliyefungwa miezi sita....ama kweli kufa kufaana!
Hapo ndio utajua kuwa ndio maana wauza maduka wengi ni kinamangi, maana wanajua biashara kupita kabila lolote lile hapa ulimwenguniNi swali chokonozi juu ya mustakabali wa Ukawa na malengo yake.Inakuwaje member wa Nccr wanahamia Chadema?Ikiwa Ukawa wana nia na lengo moja iwenye chama kimoja ndani ya Ukawa kiendelee kuwanyonya wanachama wa vyama vingine ndani ya Umoja huu?
MchambuziKama Msindai angepata ubunge angerudi CCM? Jibu Hapana. Na wale wenye "mkia" mbona mkubwa wao kateuliwa balozi? Hivi mnajielewa kweli?
Tatizo lake ni nini kama wanataka kuanzisha chama kimoja?Ni muhimu ukafahamu kwamba ndoto kubwa kuliko zote ya ukawa ni kuwa chama kimoja cha siasa lakini CCM haitaki hilo litokee ndio maana ilipitisha Sheria maalum ya vyama vya siasa (1992) ambayo inapiga marufuku vyama kuungana,badala yake kushirikiana tu. CCM inajua kwamba muungano wa vyama vya siasa ni kifo kwake
Jibu la Hatima ya CCM lilishatolewa na Jakaya Kikwete.Nini hatima ya ukawa nchini? Pengine ungeuliza je - nini ni hatima ya CCM ya sasa, CCM inayojitambua kwamba ni dhaifu na isiyo na political legitimacy,inayojitambua kwamba haiwezi survive bila nguvu ya dola kupora mamlaka ya nchi.