Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,229
Kwanza pole kwa kuugua, siasa bwana ni kuumana wala usipate presha, mbona bado! lakini mambo haya yanapomfika mtu ndio mitihani ya kijamii ambayo hututambulisha busara za mhusika. Zito suala kama hili liliwahi kukufika ukiwa Sudani kusini katika msafara wa Rais, leo yamekufika ukiwa mgonjwa hospitalini umelazwa. Katika nyakati zote your reaction has failed me and very disappointing.
Zito wewe ni kiongozi, umejaliwa akili nyingi sana, umejaliwa kipaji cha kuwasiliana na umma na hicho kipaji cha kusimamia kwa dhati shida za umma, lakini hiyo haitoshi sisi kukuamini mpaka pale utakapo faulu mitihani ya majaribu mabaya kama haya ya kuzushiwa au mipango yako inaposhindwa kufika mwisho kwa kadiri unavyotegemea.
Mimi nakupenda, nakushabikia na napenda uwe kiongozi wangu, lakini uanadamu wako unauonyeshja sana unapokuwa umekabiliwa na matatizo ya kisiasa. Vua hicho kiatu cha udhaifu wa kibinadamu ambao unakupelekea kuharakisha kutoa majibu rahisi na maoni ya mambo yanayokuhusu na kukugusa vinginevyo hali hii kila wakati inakuongezea au kuimarisha tofauti na watu unaowadhania na mimi sijui lakini katika hali ya kawaida inaongeza tofauti zenu na pengine inakutafuna wewe zaidi kuliko maadui zako kisiasa. Natafuta siku kuongea na wewe tukiwa wawili ili tuone katika hali hii ufanyaje, wewe nyota yako inang'ara unaowatu wanaokutakia mabaya nje ya CDM na ndani ya CDM.
Lakini pia nadhani Ben unatoa maoni ya kishabiki na mapenzi zaidi badala ya kujenga CDM. CDM is not a holly house, it comprises ordinary people, led by ordinary people, therefore conflicts are expected, but they should not destroy the party, instead they ought to be used to leap the party forward by managing them healthly.
The opinions expressed herein are my own personal opinions.You have your position,evebody has position, so do I ! Huwa tunapendelea kuwa dissapointed hasa pale tunapotegemea kusikia yale tunayotaka.Mimi huwa napenda kuwa mkweli siogopi chochote au mtu yeyote,sikurupuki hata kidogo ! We cant keep settling for the bullshit. If we cant stand for anything, we will fall for everything.
Napinga kwa nguvu zote muendelezo huu wa kurushia mtu matope bila kuwa na huruma,ubinadamu na hata staha.Siasa zinazoweka ubinadamu kando ni siasa za kijinga kabisa.
Hata hivyo sijui ni kwa nini ionekane nimetanguliza ushabiki na mapenzi,sijui matiki ya hii hoja ni nini hasa.Je ni kwa sababu nimetoa mawazo kwa kilichoandikwa na kwamba mimi kutomshambulia Zitto kama wengine walivyofanya kwa kuingizwa mkenge? Sifuati mkumbo,i know what is going on.Zitto ni kiongozi wangu ndani ya chama na Mbowe ni kiongozi ndani ya chama.Zitto amefanya mengi na Mbowe amefanya mengi kwa faida ya chama.Wote wana madhaifu sasa sijui ni kwa nini tuegemee kwenye madhaifu zaidi tena mengine ya kuchonga kimkakati.sipendi kuyajadili haya kwa sasa
When we are talking about a President for the country please let's reason we need men with character and men that are not flowing with the usual way things are done now in the country we need a total change. Watanzania wako serious sana kwenye hili,sisi watu wa vyama vya siasa ndiyo tunaowafunga watanzania speed Governor.Hatufanyi mabadiliko kwa fasheni,Tanzania sio showroom za magari au Nguo.Tujenge vyama vya siasa kwa pamoja,tujenge hoja na tujikite katika mtazamo na fikra za Tanzania tuitakayo.Tuanze kujenga legacy ya post-CCM era.Tuweke misingi hiyo kwa pamoja.Otherwise mengine uliyosema na kumshauri Zitto tuko pamoja hapo