Hapa sitii neno, maana naweza kuharibu.Mshana Jr katika hili bado kuna utata.
Kafara huwa hazihitaji eti mtu ajirekodi na kuzituma mahali. Kafara ya ngono ww ukishafanya yako basi wao wanajua automatically. Hakuna digitalization kwenye mambo ya kafara.
Naogopa kukwambia umeandika nonsense usije ukanipiga kipapai mkuu

icho kipapai atakutumia kwa njia ya mtandao mkuu so mwambie then Zima data hakitakupataMshana heshima yako, kwa waraka huu unanikumbusha mchungaji yule aliefanya kituko kwa kunywa pombe kisha kurusha matusi kwa majirani...HV yule nae unadhani alitumwa kama kafara? Maana baada ya muda..akatutangazia kuwa wanaompenda wamempa zawadi ya pole..bonge LA gari..na kanisani tukazidi kujaa kama hatukusikia wala kuona video yakeyanatusi!Ni katikati ya frustration na kutaka kusimana tena binadamu uwezo wa kufikiri na kuamua kwa weledi hupungua.... Mzee baba kaelekezwa kujirekodi akifanya kafara husika kisha aitume video kunakohusika ili kuwaaminisha kuwa ni kweli kafanya...
Bila kujua kuwa mawasiliano yake yanadukuliwa.... Amepigwa upper cut iliyoenda penyewe
Mshana heshima yako, kwa waraka huu unanikumbusha mchungaji yule aliefanya kituko kwa kunywa pombe kisha kurusha matusi kwa majirani...HV yule nae unadhani alitumwa kama kafara? Maana baada ya muda..akatutangazia kuwa wanaompenda wamempa zawadi ya pole..bonge LA gari..na kanisani tukazidi kujaa kama hatukusikia wala kuona video yakeyanatusi!

huoni Gwaji katumia fursa vizuri kasema Jumapili ataongea hivyo yuko kwenye matangazo ya biashara na promotionhand talkHapo hatudanganyiki,hiyo video ni ya kitambo sana na wala sio yeye, MSHANA kwa uzi huu umezingua
Ndo mana nikasema labda huyo binti ana u-special ambao hatuujui.
Lakini still asingerekodi km ingekuwa ni kwa ajili ya kafara.
mi sikukatazi kuandika. Ngepita tu ungeanza kuamini sisi wote humu ni wapuuzi. Hatuwezi kuona mtu anaandika Upuuzi tuache halafu aamini kuwa sote ni wapuuzi. Jf kila mtu anaruhusiwa kuandika anachotaka sikukatazi. Ila sisi walaji tunachambua pumba na mchele na tunakusaidia ili next time ujipange. Umeandika Uongo na Upuuzi.
Kwenye video hamna kafara yoyote. NASISITIZA HAMNA USHIRIKINA NI MAKOSA YA KAWAIDA. USIONGOPEE WATU BWANA.
Uso Sahihi Sana, Mkuu
Mshana jr.
Wengi wanabisha kwakuwa hawana utambuzi wa Kiroho kabisa.
Gwajima huenda anafahamu kila kitu.
Kwa kitendo chake alichokifanya zawadi yake ni kubwa sana katika Ufalme wa Shetani yaani Lucifer.
1. Kaidhalilisha sana imani ya Kikristo
2. Kamdhalilisha Kristo mwenyewe.
3. Kawashawishi watanzania wengi hata wanaomwabudu Mungu, na watoto kuangalia video yake ya ngono.
4. Kawambukiza watu wengi roho ya uzinzi.
5. Kawadhalilisha viongozi wa dini.
5. Kawarudisha nyuma watu wengi waliohitaji wokovu.
6. Kasababisha baadhi ya watu wamdhihaki Mungu.
7. Kamtukuza shetani na matendo yake, (kwamba ni mazuri ya kuyakatikia kiuno.)
8. Kasababisha baadhi ya watu kufanya na kupenda uzinzi baada ya kuangalia video yake hiyo.
9. Kakidahlilisha cheo change Askofu.
10. Kamdhalilisha mwawnamke kwa kumuonesha kuwa ni chombo cha starehe.
NAKADHALIKA.
Hapo amefanikiwa kurushwa toka cheo cha chini hadi cheo cha juu kabisa kwenye ulimwengu wa Giza.
Huko kujifanya kujitetea ni danganya toto tu. Ona alivyojitetea kwa kujitapa kwamba yeye ni mwanamume rijari. Hakukumbuka cheo cha Uaskofu wala kuonesha kusikitika.
Hivi wenzangu munamuelewa Gwajima anachokisema humo Kanisani mwake ?
Mimi sijawahi kumsikia akifundisha Neno la Mungu analo nukuu toka kwenye Biblia.
Great analysis, hicho ndicho shetani anataka, promo LA kutisha ili wasiokuwa wameona waitafute na waiangalie, yeye aendelee kuharibu roho za watu safi, namshukuru mungu sijaiona,watu wa mungu, tukae mbali na ushawishi huo, maana shetan anajua kama ingekuwa ya wale wasanii wahuni, tusingeangalia, kamtafuta MTU anajulikana MTU was mungu, ili watu was mungu wamwangalie!!Uso Sahihi Sana, Mkuu