Kafara za ngono

Kafara za ngono

😂😂😂 mi sikukatazi kuandika. Ngepita tu ungeanza kuamini sisi wote humu ni wapuuzi. Hatuwezi kuona mtu anaandika Upuuzi tuache halafu aamini kuwa sote ni wapuuzi. Jf kila mtu anaruhusiwa kuandika anachotaka sikukatazi. Ila sisi walaji tunachambua pumba na mchele na tunakusaidia ili next time ujipange. Umeandika Uongo na Upuuzi.

Kwenye video hamna kafara yoyote. NASISITIZA HAMNA USHIRIKINA NI MAKOSA YA KAWAIDA. USIONGOPEE WATU BWANA.

Ni hili tu ama una la ziada? Bro wengi wamesoma na kupita kimya... Umeiona haukufai ungepita kimya... Sitakaa niache kuandika nionacho kinafaa kuandikwa nami
 
mi sikukatazi kuandika. Ngepita tu ungeanza kuamini sisi wote humu ni wapuuzi. Hatuwezi kuona mtu anaandika Upuuzi tuache halafu aamini kuwa sote ni wapuuzi. Jf kila mtu anaruhusiwa kuandika anachotaka sikukatazi. Ila sisi walaji tunachambua pumba na mchele na tunakusaidia ili next time ujipange. Umeandika Uongo na Upuuzi.

Kwenye video hamna kafara yoyote. NASISITIZA HAMNA USHIRIKINA NI MAKOSA YA KAWAIDA. USIONGOPEE WATU BWANA.
huo ni mtazamo wako ambao sina tatizo nao... Kabisa.... Wewe kusema nimeandika UONGO na UPUUZI sio uhalisia bali ni mtazamo binafsi... Hebu soma na hii hapa

Nimegundua ile video inasambaza mapepo ya ngono kwa kila anaeitazama.
Jitathmini uko sawa toka ulipotazama hiyo video?
Kuna watu hawajawahi kuona video za aina hiyo lakini kutokana na jina la mtu anaehusishwa kufanya kitendo kuwa mtu mkubwa kwenye masuala ya Imani.
Watu wengi wamelazimika kuitazama, ili kujihakikisha.
Jambo ambalo limewafanya kuwaka tamaa na kisha kufanya sawasawa na baba Mtumishi.
Kafara in progress.
 
Jambo ambalo limewafanya kuwaka tamaa na kisha kufanya sawasawa baba Mtumishi.
Kafara in progress.
Na kafara lake hapa ndio litatimia... Ukiacha sababu nyingine zote.... Inaweza likawa ina negative way or positive
 
Nimegundua ile video inasambaza mapepo ya ngono kwa kila anaeitazama.
Jitathmini uko sawa toka ulipotazama hiyo video?
Kuna watu hawajawahi kuona video za aina hiyo lakini kutokana na jina la mtu anaehusishwa kufanya kitendo kuwa mtu mkubwa kwenye masuala ya Imani.
Watu wengi wamelazimika kuitazama, ili kujihakikisha.
Jambo ambalo limewafanya kuwaka tamaa na kisha kufanya sawasawa baba Mtumishi.
Kafara in progress.
tuondoleeni ujinga wenu hapa....nenda kambake mtoto wa darasa la kwanza halafu ukiulizwa jitetee kuwa ulishawishiwa na mapemo ya video ya gwajima uone vile mamlaka itakavyo kushughulikia.
 
tuondoleeni ujinga wenu hapa....nenda kambake mtoto wa darasa la kwanza halafu ukiulizwa jitetee kuwa ulishawishiwa na mapemo ya video ya gwajima uone vile mamlaka itakavyo kushughulikia.
Umeiona Lakini?
 
Mshana Jr katika hili bado kuna utata.

Sidhani kama kama kuna kafara ya ngono inayohusisha a mere girl, labda km huyo msichana alikuwa na u-special ambao hatuujui. Ingekuwa kafara tulitegemea kumuona akifanya mapenzi na either mnyama ama mwanamke ambaye si wa kawaida mfano kichaa.

Pili kafara huwa hazihitaji eti mtu ajirekodi na kuzituma mahali. Kafara ya ngono ww ukishafanya yako basi wao wanajua automatically. Hakuna digitalization kwenye mambo ya kafara.
Naunga mkono hoja
 
Nimegundua ile video inasambaza mapepo ya ngono kwa kila anaeitazama.
Jitathmini uko sawa toka ulipotazama hiyo video?
Kuna watu hawajawahi kuona video za aina hiyo lakini kutokana na jina la mtu anaehusishwa kufanya kitendo kuwa mtu mkubwa kwenye masuala ya Imani.
Watu wengi wamelazimika kuitazama, ili kujihakikisha.
Jambo ambalo limewafanya kuwaka tamaa na kisha kufanya sawasawa na baba Mtumishi.
Kafara in progress.
Ww jamaa hatukupishana kabisa mtazamo juu ya hili suala.
 
Umeiona Lakini?
unauliza futari msimu wa ramadhani?.
IMG_20190508_180737.jpeg
 
Niliwahi sikia mahali wanaoshiriki vitendo kinyume na maumbile wengi sio kwa ridhaa yao bali ni mmoja wapo ya ibada ya kishetani. Sasa Nimeanza kuelewa.... UTAJIRI UNA SIRI NYINGI
 
Mshana Jr katika hili bado kuna utata.

Sidhani kama kama kuna kafara ya ngono inayohusisha a mere girl, labda km huyo msichana alikuwa na u-special ambao hatuujui. Ingekuwa kafara tulitegemea kumuona akifanya mapenzi na either mnyama ama mwanamke ambaye si wa kawaida mfano kichaa.

Pili kafara huwa hazihitaji eti mtu ajirekodi na kuzituma mahali. Kafara ya ngono ww ukishafanya yako basi wao wanajua automatically. Hakuna digitalization kwenye mambo ya kafara.
Mshana leo katumia kumwamini kwetu kamba fimbo ya kutudanganya...

Tumvumilie tu.
 
Mafanikio, ukwasi, utajiri, umaarufu, nguvu na ushawishi husakwa kwa njia nyingi sana, halali na haramu
Kwenye njia halali kuna Mungu mmoja tuu... Lakini kwenye njia haramu kuna miungu.... Sasa hapa inategemea mafanikio yako umeyapata kupitia mlango upi
Tukiachana na yote hebu tujikite kwenye kafara hizi mbili... Kafara ya damu na kafara ya manii... Hivi viwili vina nguvu sana kwakuwa vyote vina uhai ndani yake na vina miunganiko ya kiroho na maranyingi chemistry yake huenda pamoja..

Miungu ya kafara zote hizi mbili hufanya kazi pamoja lakini kukiwa na utofauti fulani.... mungu wa kafara ya damu huteketeza kilicho hai... I mean chenye uhai kamili, wakati mungu wa kafara ya manii huteketeza kinachotaka kutengeneza uhai (sperm catalyst)... Yani lengo lao huwa ni moja... Kuharibu... Lakini pia kuna wakati viwili hivi (damu na manii) huchukuliwa vikachanganywa pamoja na kuumbwa kitu kingine tofauti kabisa(kiumbe roho)
Hivi vitu vyote vya kuumbwa na binadamu huwa na kikomo cha matumizi (expiry date), yaani hupoteza nguvu na uwezo wake wa
Kukulinda
Kukupa nguvu
Kukupa utajiri
Kukupa umaarufu
Kukupa mvuto nknk
Ndio maana basi ukishaanza kwa mlango wa makafara utaenda hivyo mpaka utakaposhindwa masharti na kuumbuka... Vilevile kumbuka ya kwamba licha ya kikomo cha matumizi kuna viwango pia... Yaani kila kiwango champion utajiri, umaarufu nk kina kafara lake... Na kafara halina rivasi ana kupunguza kiwango bali huongezeka kila hatua

Baba mchungaji na mtumishi wa mungu, mtume na nabii amefanya kituko cha mwaka.. Maoni ni mengi malumbano ni mengi lakini uhalisia utabaki kuwa uhalisia
Kwenye video husika mtumishi anafanya ayafanyayo si kwa dhati ya moyo wake(freewill) bali kwa maelekezo maalum..
Ngono ni tamu sana na ina manjonjo na vionjo vyake kama ukiifanya kwa matamanio ya kawaida ya kimwili na hisia za mapenzi
Kanisa la mzee baba linayumba na si yeye pekee... Lakini miaka ya hivi karibuni amekuwa kwenye changamoto nyingi sana... Hasa kwenye ishu za mahusiano na vita na wanasiasa...
Ni katikati ya frustration na kutaka kusimana tena binadamu uwezo wa kufikiri na kuamua kwa weledi hupungua.... Mzee baba kaelekezwa kujirekodi akifanya kafara husika kisha aitume video kunakohusika ili kuwaaminisha kuwa ni kweli kafanya...
Bila kujua kuwa mawasiliano yake yanadukuliwa.... Amepigwa upper cut iliyoenda penyewe
Ati nini?
 
Mshana leo katumia kumwamini kwetu kamba fimbo ya kutudanganya...

Tumvumilie tu.
Wenzako waliotangulia wameniita muongo na nimeandika upuuzi... Nimewaomba dondoo za uongo na upuuzi wangu nilioandika wametokomea kusikojulikana...
Wewe unasema nimedanganya hebu ainisha huo udanganyifu... Sinaga haraka nasubiri
 
Kwakweli hapa mnakosea sana kusema zile video ni halisi!

Siamini katika Mungu na Miungu ila kwa hili nasimama na Gwajima.

Kile tunachokiona sio gwajima kafanya bali ni mtu kaamua kumchafua tu kwa sababu anazozijua yeye.
 
Back
Top Bottom