Kafara za ngono

Kafara za ngono

😀😀😀😀😀 mkuu nilikuwa na mawazo kama yako kuwa Mshana kaandika nonsense ,ila namuheshimu. Hili kaandika kama vile naye ni mshiriki wa hili tukio
Naogopa kukwambia umeandika nonsense usije ukanipiga kipapai mkuu
Baba mchungaji na mtumishi wa mungu, mtume na nabii amefanya kituko cha mwaka.. Maoni ni mengi malumbano ni mengi lakini uhalisia utabaki kuwa uhalisia
Kwenye video husika mtumishi anafanya ayafanyayo si kwa dhati ya moyo


As part n parcel of great thinkers platform.... Jarubuni kukosoa kwa hoja na kwa weledi
Just remember that nonsense is also a sense
 
Mshana hapa unatuacha njiani ina maana lusifer siku hizi anaendesha mambo kidigital? Ngumu kumeza
 
Mafanikio, ukwasi, utajiri, umaarufu, nguvu na ushawishi husakwa kwa njia nyingi sana, halali na haramu
Kwenye njia halali kuna Mungu mmoja tuu... Lakini kwenye njia haramu kuna miungu.... Sasa hapa inategemea mafanikio yako umeyapata kupitia mlango upi
Tukiachana na yote hebu tujikite kwenye kafara hizi mbili... Kafara ya damu na kafara ya manii... Hivi viwili vina nguvu sana kwakuwa vyote vina uhai ndani yake na vina miunganiko ya kiroho na maranyingi chemistry yake huenda pamoja..

Miungu ya kafara zote hizi mbili hufanya kazi pamoja lakini kukiwa na utofauti fulani.... mungu wa kafara ya damu huteketeza kilicho hai... I mean chenye uhai kamili, wakati mungu wa kafara ya manii huteketeza kinachotaka kutengeneza uhai (sperm catalyst)... Yani lengo lao huwa ni moja... Kuharibu... Lakini pia kuna wakati viwili hivi (damu na manii) huchukuliwa vikachanganywa pamoja na kuumbwa kitu kingine tofauti kabisa(kiumbe roho)
Hivi vitu vyote vya kuumbwa na binadamu huwa na kikomo cha matumizi (expiry date), yaani hupoteza nguvu na uwezo wake wa
Kukulinda
Kukupa nguvu
Kukupa utajiri
Kukupa umaarufu
Kukupa mvuto nknk
Ndio maana basi ukishaanza kwa mlango wa makafara utaenda hivyo mpaka utakaposhindwa masharti na kuumbuka... Vilevile kumbuka ya kwamba licha ya kikomo cha matumizi kuna viwango pia... Yaani kila kiwango champion utajiri, umaarufu nk kina kafara lake... Na kafara halina rivasi ana kupunguza kiwango bali huongezeka kila hatua

Baba mchungaji na mtumishi wa mungu, mtume na nabii amefanya kituko cha mwaka.. Maoni ni mengi malumbano ni mengi lakini uhalisia utabaki kuwa uhalisia
Kwenye video husika mtumishi anafanya ayafanyayo si kwa dhati ya moyo wake(freewill) bali kwa maelekezo maalum..
Ngono ni tamu sana na ina manjonjo na vionjo vyake kama ukiifanya kwa matamanio ya kawaida ya kimwili na hisia za mapenzi
Kanisa la mzee baba linayumba na si yeye pekee... Lakini miaka ya hivi karibuni amekuwa kwenye changamoto nyingi sana... Hasa kwenye ishu za mahusiano na vita na wanasiasa...
Ni katikati ya frustration na kutaka kusimana tena binadamu uwezo wa kufikiri na kuamua kwa weledi hupungua.... Mzee baba kaelekezwa kujirekodi akifanya kafara husika kisha aitume video kunakohusika ili kuwaaminisha kuwa ni kweli kafanya...
Bila kujua kuwa mawasiliano yake yanadukuliwa.... Amepigwa upper cut iliyoenda penyewe
duh! hapa duniani kuna siri kubwa sana. watu wanaishi maisha yaliyojaa siri kupita kiasi. tusiwaone tu kwa juu juu tukataka kuwa kama wao kumbe wao nao wana mambo yao mengine pembeni wanayajua wao wenyewe tu.
 
Kuna vitu hamvifahanu kwenye haya mambo..... Pesa ina nguvu sana... Unaenda kwa mtaalam anakutengeneza na unaanza kuzikamata za kutosha, baadae unajiongeza kwa kufanya na ya ziada... Kwa mfano hawa manabii wanachanganya nguvu za nuru na giza... Baadae unamzidi maarifa hata aliyekubrand
Akigundua hivyo hahangaiki sana na wewe... Za mkwezi mbili kuna siku utataka tu kurejea kwake... Hapa hana faida tena na wewe anachotaka ni kulipa tu kisasi... Ni katikati ya frustration utapungukiwa na tafakuri utatenda bila kufikiri vema.
Kuna vitu hamvifahanu kwenye haya mambo..... Pesa ina nguvu sana... Unaenda kwa mtaalam anakutengeneza na unaanza kuzikamata za kutosha, baadae unajiongeza kwa kufanya na ya ziada... Kwa mfano hawa manabii wanachanganya nguvu za nuru na giza... Baadae unamzidi maarifa hata aliyekubrand
Akigundua hivyo hahangaiki sana na wewe... Za mkwezi mbili kuna siku utataka tu kurejea kwake... Hapa hana faida tena na wewe anachotaka ni kulipa tu kisasi... Ni katikati ya frustration utapungukiwa na tafakuri utatenda bila kufikiri vema....
Kuna vitu /mambo mengine ukiangalia tuu unaona sio ya kawaida.
Mtu kuwa maarufu kwa ghafla ilhali alikuwepo tangu utoto tunamuona.
Mtu anakuwa na pesa ndefuu ghafla
Anakuwa na ushawishi kwenye jamii ghaflaa
Kwa mfano huyu msanii na kundi lake me sielewi maana wasanii wengine washapotea wao wamebaki.
#Kuumbuka huwa ni lazima
 
Huna lolote unalojua mzee bora ukae kimya
Habar gan wanaTHREADS!!Mim ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 30 nina taaruma ya upish japo c ya kusomea ila ni mpish mzur wa vyakula vya kiswahil kama wali,pilau,birian na rost aina zote pamoja na bites zote kama maandaz,chapat,sambusa na vingine ving..Napatikana kwa namba 0620 896481,natanguliza shukran...nipo iringa ...


Hebu tuwasiliane nikusaidie kwenye hili la kwako la kutafuta kazi kwanza... Nina kijiwe poa sana natafuta mpishi ingia hapa unaweza kusaidika
 
Updates : Mzee baba kaongea na vyombo vya habari na kukanusha kuwa si yeye bali ni huyu kijana hapa wanayeshabihiana wajini kwa karibu mno
IMG-20190508-WA0084.jpeg
IMG-20190508-WA0083.jpeg
IMG-20190508-WA0082.jpeg
 
Back
Top Bottom