Kafara za ngono

Kafara za ngono

Mafanikio, ukwasi, utajiri, umaarufu, nguvu na ushawishi husakwa kwa njia nyingi sana, halali na haramu
Kwenye njia halali kuna Mungu mmoja tuu... Lakini kwenye njia haramu kuna miungu.... Sasa hapa inategemea mafanikio yako umeyapata kupitia mlango upi
Tukiachana na yote hebu tujikite kwenye kafara hizi mbili... Kafara ya damu na kafara ya manii... Hivi viwili vina nguvu sana kwakuwa vyote vina uhai ndani yake na vina miunganiko ya kiroho na maranyingi chemistry yake huenda pamoja..

Miungu ya kafara zote hizi mbili hufanya kazi pamoja lakini kukiwa na utofauti fulani.... mungu wa kafara ya damu huteketeza kilicho hai... I mean chenye uhai kamili, wakati mungu wa kafara ya manii huteketeza kinachotaka kutengeneza uhai (sperm catalyst)... Yani lengo lao huwa ni moja... Kuharibu... Lakini pia kuna wakati viwili hivi (damu na manii) huchukuliwa vikachanganywa pamoja na kuumbwa kitu kingine tofauti kabisa(kiumbe roho)
Hivi vitu vyote vya kuumbwa na binadamu huwa na kikomo cha matumizi (expiry date), yaani hupoteza nguvu na uwezo wake wa
Kukulinda
Kukupa nguvu
Kukupa utajiri
Kukupa umaarufu
Kukupa mvuto nknk
Ndio maana basi ukishaanza kwa mlango wa makafara utaenda hivyo mpaka utakaposhindwa masharti na kuumbuka... Vilevile kumbuka ya kwamba licha ya kikomo cha matumizi kuna viwango pia... Yaani kila kiwango champion utajiri, umaarufu nk kina kafara lake... Na kafara halina rivasi ana kupunguza kiwango bali huongezeka kila hatua

Baba mchungaji na mtumishi wa mungu, mtume na nabii amefanya kituko cha mwaka.. Maoni ni mengi malumbano ni mengi lakini uhalisia utabaki kuwa uhalisia
Kwenye video husika mtumishi anafanya ayafanyayo si kwa dhati ya moyo wake(freewill) bali kwa maelekezo maalum..
Ngono ni tamu sana na ina manjonjo na vionjo vyake kama ukiifanya kwa matamanio ya kawaida ya kimwili na hisia za mapenzi
Kanisa la mzee baba linayumba na si yeye pekee... Lakini miaka ya hivi karibuni amekuwa kwenye changamoto nyingi sana... Hasa kwenye ishu za mahusiano na vita na wanasiasa...
Ni katikati ya frustration na kutaka kusimana tena binadamu uwezo wa kufikiri na kuamua kwa weledi hupungua.... Mzee baba kaelekezwa kujirekodi akifanya kafara husika kisha aitume video kunakohusika ili kuwaaminisha kuwa ni kweli kafanya...
Bila kujua kuwa mawasiliano yake yanadukuliwa.... Amepigwa upper cut iliyoenda penyewe
Mnmmmhhhhhh!
 
It makes sense. Lakini mimi nafikiria tofauti, nafikiri huenda aliambiwa arekodi na aiachie watu waone kisha akirudi nyumbani atakuta mahela yamejaa chumbani au vyovyote vile kutegemea lengo la kafara
Whatever the case it was done intentionally
 
Hapa mshana katumia tukio la Gwajima kutengeneza story yake.
Kuwa kafara zinapigwa picha kutumwa kwa wenyewe!!! dont believe.
Brother muda wa kuumbuka unapofika lolote hutokea... Uko sahihi lakini mawasiliano ya mtu yanaweza kudukuliwa na kuambiwa cha kufanya....
Soma para ya mwisho utanifahamu vema
 
Mafanikio, ukwasi, utajiri, umaarufu, nguvu na ushawishi husakwa kwa njia nyingi sana, halali na haramu
Kwenye njia halali kuna Mungu mmoja tuu... Lakini kwenye njia haramu kuna miungu.... Sasa hapa inategemea mafanikio yako umeyapata kupitia mlango upi
Tukiachana na yote hebu tujikite kwenye kafara hizi mbili... Kafara ya damu na kafara ya manii... Hivi viwili vina nguvu sana kwakuwa vyote vina uhai ndani yake na vina miunganiko ya kiroho na maranyingi chemistry yake huenda pamoja..

Miungu ya kafara zote hizi mbili hufanya kazi pamoja lakini kukiwa na utofauti fulani.... mungu wa kafara ya damu huteketeza kilicho hai... I mean chenye uhai kamili, wakati mungu wa kafara ya manii huteketeza kinachotaka kutengeneza uhai (sperm catalyst)... Yani lengo lao huwa ni moja... Kuharibu... Lakini pia kuna wakati viwili hivi (damu na manii) huchukuliwa vikachanganywa pamoja na kuumbwa kitu kingine tofauti kabisa(kiumbe roho)
Hivi vitu vyote vya kuumbwa na binadamu huwa na kikomo cha matumizi (expiry date), yaani hupoteza nguvu na uwezo wake wa
Kukulinda
Kukupa nguvu
Kukupa utajiri
Kukupa umaarufu
Kukupa mvuto nknk
Ndio maana basi ukishaanza kwa mlango wa makafara utaenda hivyo mpaka utakaposhindwa masharti na kuumbuka... Vilevile kumbuka ya kwamba licha ya kikomo cha matumizi kuna viwango pia... Yaani kila kiwango champion utajiri, umaarufu nk kina kafara lake... Na kafara halina rivasi ana kupunguza kiwango bali huongezeka kila hatua

Baba mchungaji na mtumishi wa mungu, mtume na nabii amefanya kituko cha mwaka.. Maoni ni mengi malumbano ni mengi lakini uhalisia utabaki kuwa uhalisia
Kwenye video husika mtumishi anafanya ayafanyayo si kwa dhati ya moyo wake(freewill) bali kwa maelekezo maalum..
Ngono ni tamu sana na ina manjonjo na vionjo vyake kama ukiifanya kwa matamanio ya kawaida ya kimwili na hisia za mapenzi
Kanisa la mzee baba linayumba na si yeye pekee... Lakini miaka ya hivi karibuni amekuwa kwenye changamoto nyingi sana... Hasa kwenye ishu za mahusiano na vita na wanasiasa...
Ni katikati ya frustration na kutaka kusimana tena binadamu uwezo wa kufikiri na kuamua kwa weledi hupungua.... Mzee baba kaelekezwa kujirekodi akifanya kafara husika kisha aitume video kunakohusika ili kuwaaminisha kuwa ni kweli kafanya...
Bila kujua kuwa mawasiliano yake yanadukuliwa.... Amepigwa upper cut iliyoenda penyewe
Aiseee wewe jamaaaa nakumbuka ile thread YA Kuhusu wanawake majasusi.ulisema wanakupandisha then ukifika kieleln wanakubana aoseeeee
 
Sijui amekula maharage ya wapiiii?
Lakini katika Dunia yetu, Kuna mambo makubwa ambayo tukishafanya/au kuwafanyia wenzetu, tusisahau.Maana yake ,mla kunde husahau,Bali mtupa maganda, hawezi kusahau.
Nilitegemea kuona anaenda uvinza na kupima oil kwanza kama yule jamaa kwenye ile video nyingine
 
Ni katikati ya frustration na kutaka kusimana tena binadamu uwezo wa kufikiri na kuamua kwa weledi hupungua.... Mzee baba kaelekezwa kujirekodi akifanya kafara husika kisha aitume video kunakohusika ili kuwaaminisha kuwa ni kweli kafanya...
Bila kujua kuwa mawasiliano yake yanadukuliwa.... Amepigwa upper cut iliyoenda penyewe
Sasa Mshana Jr amepewa maelekezo na nani afanye hivyo na waliodukua ni nani hao?
 
Mshana Jr katika hili bado kuna utata.

Sidhani kama kama kuna kafara ya ngono inayohusisha a mere girl, labda km huyo msichana alikuwa na u-special ambao hatuujui. Ingekuwa kafara tulitegemea kumuona akifanya mapenzi na either mnyama ama mwanamke ambaye si wa kawaida mfano kichaa.

Pili kafara huwa hazihitaji eti mtu ajirekodi na kuzituma mahali. Kafara ya ngono ww ukishafanya yako basi wao wanajua automatically. Hakuna digitalization kwenye mambo ya kafara.
Hapa mshana katumia tukio la Gwajima kutengeneza story yake.
Kuwa kafara zinapigwa picha kutumwa kwa wenyewe!!! dont believe.
Kuna vitu hamvifahanu kwenye haya mambo..... Pesa ina nguvu sana... Unaenda kwa mtaalam anakutengeneza na unaanza kuzikamata za kutosha, baadae unajiongeza kwa kufanya na ya ziada... Kwa mfano hawa manabii wanachanganya nguvu za nuru na giza... Baadae unamzidi maarifa hata aliyekubrand
Akigundua hivyo hahangaiki sana na wewe... Za mkwezi mbili kuna siku utataka tu kurejea kwake... Hapa hana faida tena na wewe anachotaka ni kulipa tu kisasi... Ni katikati ya frustration utapungukiwa na tafakuri utatenda bila kufikiri vema....
 
Dunia uwanja fujoo. Yaani wengine mara wamebaka maiti. Huyu mwingine mchungaji katuma video anazini.

Yaani full vurugu.
 
Back
Top Bottom