Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,375
- 56,096
natamani niondoke nao!wafanya biashara wakubwa wameshaficha mapesa yao tayari wanataka kuhama wanamalizia visenti vyao vilivyobakia watimue wamuachie nchi yake na wachuuzi wake (wamachinga na mama ntilie) kwani si rafiki tena kwao.