KADA CCM: Rais Magufuli ameacha mtafaruku Zanzibar

KADA CCM: Rais Magufuli ameacha mtafaruku Zanzibar

Mtoa mada upo sahihi kabsa, wabaoshabikia kauli Tata za mkuu wa kaya, wanafikiria matumbo yao tu Na sio taifa
 
Mkuu kuna kitu hakipo sawa, lazima tuseme bila kuogopa, zile sio kauli za Raisi wa nchi, tukimwacha aendelee kutoa kauli kama hizi atachafua nchi

Inawezekana kuna kitu hujakijua MKWEPA KODI. Kinachotea sasa ni kukosa uvumilivu tu, wengine akina Nyerere na kidogo Nkapa hawa walikuwa wanaungulia moyoni mwao. Nyerere alidiriki kusema katika hotuba zake anawachukia sana wazanzibari (hasa wapemba) lakini uvumilivu ukamshinda akamalizia nawachukia sana WAISLAMU, kumbuka kipindi hicho UGAIDI wala neno GAIDI halikuwepo, angeweza kuishi hadi zama hizi angeweza kusema nawachukia sana MAGAIDI.

Huyu wa sasa ameshindwa kuwa na MOYO kama alivyo TRUMP wa Marekani, si kwamba ayasemayo yanawaudhi wazungu bali anachokosea yeye anayasema hadharani, itapelekea hata mfano wa wale wanaojengea GOROFA TATU ZA OFISI KUU waamke kuona eeeeeeee kuuuuumbe twarambwa visogoooooo????

Huyu ameshinda kujizuia na kuyasema hadharani yale yasemwayo sirini. Yule wa awamu ya katikati yeye aliwasaga kabisa, kwakuwa 'si katika sisi' hawa, wafe tu, haidhuru kuwa hawakuweza kukizamisha kisiwa kama alivyotamani 'babiye'.

Yatapita haya, wamepita majabari kwelikweli, waliofikia hadi kudai UUNGU!!! MUNGU awaongoze viongozi wetu KWA HEKIMA NA UNYENYEKEVU WA MOYO
 
Tuliwaambia mapema mmebugi,tukawaambia pia mtaona mengi zaidi! Huu ni mwanzo tu makubwa yaja ! Hivo kupiga push ups hadharani kwa level ilenafikiri ilikuwa na kitu cha kawaida!
Kusoma hamjui hata kuona !
Sio kawaida kiukweli sijui ulikuwa anataka kutuonyesha nnn aiseeeee paka Leo mm sijamuelewa nataman ata kumuuuliza aiseee
 
tafsiri ya kisheria ya rais ni ushauri wa kujiuzulu kwa Dr Shein.
Kwa wenye hekima vichwani mwao lakini.... Kwanza nikutukanwa hadharani maana aliyeyaongea ni mgeni na ameondoka...
 
Inawezekana kuna kitu hujakijua MKWEPA KODI. Kinachotea sasa ni kukosa uvumilivu tu, wengine akina Nyerere na kidogo Nkapa hawa walikuwa wanaungulia moyoni mwao. Nyerere alidiriki kusema katika hotuba zake anawachukia sana wazanzibari (hasa wapemba) lakini uvumilivu ukamshinda akamalizia nawachukia sana WAISLAMU, kumbuka kipindi hicho UGAIDI wala neno GAIDI halikuwepo, angeweza kuishi hadi zama hizi angeweza kusema nawachukia sana MAGAIDI.

Huyu wa sasa ameshindwa kuwa na MOYO kama alivyo TRUMP wa Marekani, si kwamba ayasemayo yanawaudhi wazungu bali anachokosea yeye anayasema hadharani, itapelekea hata mfano wa wale wanaojengea GOROFA TATU ZA OFISI KUU waamke kuona eeeeeeee kuuuuumbe twarambwa visogoooooo????

Huyu ameshinda kujizuia na kuyasema hadharani yale yasemwayo sirini. Yule wa awamu ya katikati yeye aliwasaga kabisa, kwakuwa 'si katika sisi' hawa, wafe tu, haidhuru kuwa hawakuweza kukizamisha kisiwa kama alivyotamani 'babiye'.

Yatapita haya, wamepita majabari kwelikweli, waliofikia hadi kudai UUNGU!!! MUNGU awaongoze viongozi wetu KWA HEKIMA NA UNYENYEKEVU WA MOYO
Anything can be connected by anything else
 
Siasa za viswani ni ngumu ukilinganisha na za uku bara, kwa aina hii ya hotuba za mkuu wa nchi tutaendelea sana kumkumbuka JK
 
Wenye chuki wameambiwa ukweli, kutozikana, kutosalimiana, kuchoma karafuu hakutaleta maendelep, wala hakutavutia wawekezaji. imedhihirika dhahiri chanzo cha yote ni kiongozi wao Seif amedhihirisha kwa kutosalimiana na Shein Msibani. Ukweli sio vijembe ni ukweli unaosemwa kwa wenye chuki. Uchaguzi umekwisha na hakuna rais mwingine ni Shein mpaka 2020 huu ni ukweli, Uende mashariki uende magharibi hakuna serikali ya mpito labda kwa wenye ndoto za mchana, huo ndio ukweli. Sasa ni kazi tu

Tambua hawakuanza leo haya unayoyasema, mambo haya yalikuwepo tangu na tangu, wakulima na wafugaji wanauwana kabisa sio kuchomeana nyumba na mashamba, wao wanatoana roho kabisa ulishasikia hotuba kama ile kuwaambia wafugaji na wakulima???
 
Back
Top Bottom