Kwahiyo alienda kuharibu? Rais alijenge taifa ikiwa ni pamoja na kuunganisha watu wake wawe wamoja.Unafikiri alienda Zanzibar ili kukivutia wewe?
Do not generalize please. ..thanks and have nice SundayAnandika Chilumba (yule mpiga zumari wa JPM)
Matamshi aliyoyatoa Ndugu Rais leo hapa Unguja sikuyatarajia yatoke kwenye kinywa cha mkuu wa nchi, Haya yanamwagia mafuta kwenye moto.
Suala kama la pensheni au matibabu ya mtu aliyewahi kuwa Kiongozi ni la kisheria siyo hiyari ya mtu, Yaan hata umfumanie na mkeo Sheria inakutaka usaini na apewe. Mengine mmalizane wenyewe.
Na kwa kuwa Tumesema siasa zimeisha Basi tujitahidi kuzimaliza kweli, sare za vyama, vijembe na maneno ya ngebe kwenye mikutano ya serikali inawagawa raia.
Siku zijazo wasio wana CCM wanaweza kuacha kuhudhuria mikutano ya Kiongozi mkuu wa nchi kwa sababu wanajihisi wanyonge na wakiwa.
Tuzungumze Maendeleo, kufanya kazi na kubadili maisha yetu, hawa Wakosoaji na wapinzani watakuwepo daima, kuwashambulia katika jukwaa lililolipiwa kodi na watu wote ikiwemo wao si jambo la kiungwana.
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, Hotuba za Ndugu Rais katika ziara yake visiwani hazijanivutia wala kusisimua. Zimeiacha Zanzibar katika mtafaruku ule ule au mkubwa zaidi.
☝☝☝☝
Waswahili husema _"kenge huwa hasikiagi hadi damu imtoke masikioni"_. Masikio ya Chilumba yameanza kuonesha dalili za damu
Kiongozi anayetamka maneno bila kuangalia sheria inasema nini ni shida. Viongozi wote wapo kisheria na wanastahili zao kupata baada ya kustaafu na malipo hayo si ya mtu binafsi ila za watanzania.Anandika Chilumba (yule mpiga zumari wa JPM)
Matamshi aliyoyatoa Ndugu Rais leo hapa Unguja sikuyatarajia yatoke kwenye kinywa cha mkuu wa nchi, Haya yanamwagia mafuta kwenye moto.
Suala kama la pensheni au matibabu ya mtu aliyewahi kuwa Kiongozi ni la kisheria siyo hiyari ya mtu, Yaan hata umfumanie na mkeo Sheria inakutaka usaini na apewe. Mengine mmalizane wenyewe.
Na kwa kuwa Tumesema siasa zimeisha Basi tujitahidi kuzimaliza kweli, sare za vyama, vijembe na maneno ya ngebe kwenye mikutano ya serikali inawagawa raia.
Siku zijazo wasio wana CCM wanaweza kuacha kuhudhuria mikutano ya Kiongozi mkuu wa nchi kwa sababu wanajihisi wanyonge na wakiwa.
Tuzungumze Maendeleo, kufanya kazi na kubadili maisha yetu, hawa Wakosoaji na wapinzani watakuwepo daima, kuwashambulia katika jukwaa lililolipiwa kodi na watu wote ikiwemo wao si jambo la kiungwana.
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, Hotuba za Ndugu Rais katika ziara yake visiwani hazijanivutia wala kusisimua. Zimeiacha Zanzibar katika mtafaruku ule ule au mkubwa zaidi.
[emoji121][emoji121][emoji121][emoji121]
Waswahili husema _"kenge huwa hasikiagi hadi damu imtoke masikioni"_. Masikio ya Chilumba yameanza kuonesha dalili za damu
SilenceThe world suffer not becouse of bad people,but silent of the good people.
Sioni sababu ya kumlaumu maana watu tuliowatanguliza mbele km wakombozi wanampongeza kwa kazi nzuri sasa unafikiri atakoma kweli?
Mf.tiliona katika maadhimisho ya miaka 52 ya ndoa ya rais wa tatu namna mkombozi alivyojibaraguza na kujishusha kwa kiwango kikubwa kabisa km kuna kitu anahitaji toka kwake!? Au na ye aliogopa kutosainiwa makaratasi yake?
Oh please do with pleasure. ..have a nice SundayHii nchi natamani kuhama
Na kutokea dirishani kwenye shangingi?Tuliwaambia mapema mmebugi,tukawaambia pia mtaona mengi zaidi! Huu ni mwanzo tu makubwa yaja ! Hivo kupiga push ups hadharani kwa level ilenafikiri ilikuwa na kitu cha kawaida!
Kusoma hamjui hata kuona !
Hakujiandaa ki vipi mkuu?msaidien haelewi hayo hakujiandaa
Well said.Jamaa bora asingeenda Zanzibar maana kwenda kwake hakujaleta faida yoyote zaidi ya kuwagawa wazanzibari. Tatizo la hawa watani zangu wasukuma ni ushamba, ila huu ushamba wa huyu jamaa yetu umepitiliza maana badala ya kupungua unaongezeka