KADA CCM: Rais Magufuli ameacha mtafaruku Zanzibar

KADA CCM: Rais Magufuli ameacha mtafaruku Zanzibar

Utani huu wa kuwatania wazaramo hadi kwenye vitu serious hadi lini? Angekuwa jk angesema Maalim akae na Shein waongee yaishe kwa sababu hata stahiki si wanaendelea kusainiana bila tabu na angemalizia kwa kucheka na kila mtu angejua utani pasipo shaka, Tanzania tumepatwa
 
Kama Donald Trump atashinda katika uchaguzi ujao wa Marekani ndipo nitaamini Magufuli yuko sahihi maana kauli zake ni mbovu na mbaya kuliko za Trump.

Nakubaliana nawe pia kwamba kuna kitu kibaya sana hatujakigundua katika utawala huu wa JPM ambacho bila kukipiga STOP huko mbeleni tutajuta. Kwa kweli yale si maneno ya kutamkwa na mkuu wa nchi mbele za wananchi wake.
Wamarekani wameshashtuka kwamba jamaa hafai. Hawezi kuwa kuwa rais wa Marekani hata atambike uchi.
 
Kama hujaona, basi nyie ndo wale wale wa special course U-Dom
Pole saaaaaana! Nyie ndio wale wazushi wa kufuata mkumbo fulani kasema baso. Fulani abaenda urlekeo huo bila iuuliza na wewe umooo. Indicate where is the problem. Sio kubwabwajaja tu bila kuonyesha kosa. Hebu toa mfano mmoja tu ili ' walewale' tujifunze.
mkuu sio ww tu..hata mm..
Muhane tu. Dharau jwa Mkuu wa nchi ndio mbafutahia no way. Respect jwa Authority ni muhimu na ndio Rais anasisitiza!
 
Huyu na m7 hawana tofauti, na mwenzake kagoma, ila Uhuru yuko poa sana, juzi kati kamkaribisha raila kwenye jukwa asali mie wanachi. Kila kukicha Uhuru anasaini mikataba, nakuzindua miradi kibao, huyu wetu nikudill na wapinzani tu.
Uhuru ni Rais bora East Africa hawa wengine ni chuki kama chura
 
Kwahiyo Maalim Seifu alikua ameziba nyufa, alieacha mpasuko Zanzibar ni Maalim Seifu.. JPM kasema ukweli tu
 
Huyu na m7 hawana tofauti, na mwenzake kagoma, ila Uhuru yuko poa sana, juzi kati kamkaribisha raila kwenye jukwa asali mie wanachi. Kila kukicha Uhuru anasaini mikataba, nakuzindua miradi kibao, huyu wetu nikudill na wapinzani tu.
Juzi alikuwa Mombasa kachachafyana na governor wa pale mwisho wa siku wakafungua extension of Mombasa port sisi huku port iko hoi
 
Anandika Chilumba (yule mpiga zumari wa JPM)
Matamshi aliyoyatoa Ndugu Rais leo hapa Unguja sikuyatarajia yatoke kwenye kinywa cha mkuu wa nchi, Haya yanamwagia mafuta kwenye moto.

Suala kama la pensheni au matibabu ya mtu aliyewahi kuwa Kiongozi ni la kisheria siyo hiyari ya mtu, Yaan hata umfumanie na mkeo Sheria inakutaka usaini na apewe. Mengine mmalizane wenyewe.

Na kwa kuwa Tumesema siasa zimeisha Basi tujitahidi kuzimaliza kweli, sare za vyama, vijembe na maneno ya ngebe kwenye mikutano ya serikali inawagawa raia.
Siku zijazo wasio wana CCM wanaweza kuacha kuhudhuria mikutano ya Kiongozi mkuu wa nchi kwa sababu wanajihisi wanyonge na wakiwa.

Tuzungumze Maendeleo, kufanya kazi na kubadili maisha yetu, hawa Wakosoaji na wapinzani watakuwepo daima, kuwashambulia katika jukwaa lililolipiwa kodi na watu wote ikiwemo wao si jambo la kiungwana.

Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, Hotuba za Ndugu Rais katika ziara yake visiwani hazijanivutia wala kusisimua. Zimeiacha Zanzibar katika mtafaruku ule ule au mkubwa zaidi.

☝☝☝☝
Waswahili husema _"kenge huwa hasikiagi hadi damu imtoke masikioni"_. Masikio ya Chilumba yameanza kuonesha dalili za damu
Ndivyo alivyo tumzoee toka akiwa Waziri amekua na matamshi magumu sana kusikilika masikioni mwa watu ni Kiongozi wa Zama zilizopita kwa kweli sio wa wakati huu anasikitisha sana.
 
Kwani huko Lumumba hakuna wazee angalau wenye busara wamshauri jamaa?
 
Wenye chuki wameambiwa ukweli, kutozikana, kutosalimiana, kuchoma karafuu hakutaleta maendelep, wala hakutavutia wawekezaji. imedhihirika dhahiri chanzo cha yote ni kiongozi wao Seif amedhihirisha kwa kutosalimiana na Shein Msibani. Ukweli sio vijembe ni ukweli unaosemwa kwa wenye chuki. Uchaguzi umekwisha na hakuna rais mwingine ni Shein mpaka 2020 huu ni ukweli, Uende mashariki uende magharibi hakuna serikali ya mpito labda kwa wenye ndoto za mchana, huo ndio ukweli. Sasa ni kazi tu
hata kama hayo uliyosema ni kweli hotuba ya rais imeongeza tatizo. rais matamshi yake ya huko zanzibar yanachochea migawanyiko na chuki zaidi. rais ni kiongozi wa wote hapaswi kuchochea zaidi
 
Back
Top Bottom