DR. MWAKABANJE
JF-Expert Member
- Nov 7, 2012
- 1,986
- 3,151
Hivi wew ndug yangu nchi ikichafuka utanufaika nini… mbona watu mnamidomo michafu ili tu muonekane mnafurahisha watu??Ilibidi Seif aambiwe ukweli.....inaonekana huwa mnavutiwa na hotuba za Rais sababu kila kukicha mnamnukuu.....inapendeza sana hii.