fredrick mkinga
Member
- Jul 11, 2015
- 49
- 14
Huoo ni upeo mdogo kwani pesa ni za walipa kodiiii
Takataka[emoji706] [emoji706]Mtukufu Mheshimiwa Rais Dkt.Magufuli yupo sahihi!!! Huwezi ukaacha kumpa mtu mkono wakati yeye ndo anasaini pesa za ruzuku ya chama chako!! Hata ingekuwa mimi nisingesaini!!!!
Kuna msemo mmoja maarufu wa kiingereza , usemao ...;All is for justfication why we launched UKUTA and why we should carry on with it as of 1st Oct.
Hivi anafikiri majority cuf na kiongozi wao Zenj wanajisikiaje. Mfalme Suleman alimwomba Mungu hekima na maarifa aweze kutoa hukumu za haki kwa watu make. Katika hilo Mungu akampa vyote ikiwemo utajili. Magu aombe ilo pia ili maendeleo anayotaka yapatikane. Kinyume na ilo naliona giza na madimbwi ya damu.
Kweli kabisa Mkuu.mfalme ana roho ya kwa nn... roho mbaya!
Tumwombee aweze kutumia majeshi yetu vizuri kututisha na tukileta fyoko atupoteze ....Ana falsafa ya jino kwa jino! Lakini wakati mwingine anasahau anasema tumwombee. Tumwombee ili aendeleee kufanya nini? Ni vitu gani vinahitaji maombezi na vingine vinahitaji nguvu zake binafsi? Hakunaga Mungu wa namna hii.
Bahati hii unayoomba nafikiri wanayo wa Zambia tuuu... [emoji23]Mungu fanya lolote watanzania hawatasikitika hata kidogo
Anandika Chilumba (yule mpiga zumari wa JPM)
Matamshi aliyoyatoa Ndugu Rais leo hapa Unguja sikuyatarajia yatoke kwenye kinywa cha mkuu wa nchi, Haya yanamwagia mafuta kwenye moto.
Suala kama la pensheni au matibabu ya mtu aliyewahi kuwa Kiongozi ni la kisheria siyo hiyari ya mtu, Yaan hata umfumanie na mkeo Sheria inakutaka usaini na apewe. Mengine mmalizane wenyewe.
Na kwa kuwa Tumesema siasa zimeisha Basi tujitahidi kuzimaliza kweli, sare za vyama, vijembe na maneno ya ngebe kwenye mikutano ya serikali inawagawa raia.
Siku zijazo wasio wana CCM wanaweza kuacha kuhudhuria mikutano ya Kiongozi mkuu wa nchi kwa sababu wanajihisi wanyonge na wakiwa.
Tuzungumze Maendeleo, kufanya kazi na kubadili maisha yetu, hawa Wakosoaji na wapinzani watakuwepo daima, kuwashambulia katika jukwaa lililolipiwa kodi na watu wote ikiwemo wao si jambo la kiungwana.
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, Hotuba za Ndugu Rais katika ziara yake visiwani hazijanivutia wala kusisimua. Zimeiacha Zanzibar katika mtafaruku ule ule au mkubwa zaidi.
☝☝☝☝
Waswahili husema _"kenge huwa hasikiagi hadi damu imtoke masikioni"_. Masikio ya Chilumba yameanza kuonesha dalili za damu
Kwani yeye ni wa nchi hii kweli ...?!Mi naona hana mapenzi mema na nchi hi
SidhaniKwani yeye ni wa nchi hii kweli ...?!
JPJM ameachwa aendelee kutoa matamko tata kwa faida ya waliomtuma (mimi siwajui). Walio karibu naye wamemuacha kwa muda mrefu sana huku akiendelea kutoa kauli chinganishi na za kichochezi, bara na visiwani, huku akishangiliwa hata na wale wanaopaswa kumshauri. Anahitajika "panya" mwenye ujasiri uliopitiliza atakaye mvika paka kengele shingoni tena hadharani (kama vile kutumbua hadharani). Naunga mkono hoja, hatutakiwi kumuacha aendelee hivi!Mkuu kuna kitu hakipo sawa, lazima tuseme bila kuogopa, zile sio kauli za Raisi wa nchi, tukimwacha aendelee kutoa kauli kama hizi atachafua nchi
Msengapavi,JPJM ameachwa aendelee kutoa matamko tata kwa faida ya waliomtuma (mimi siwajui). Walio karibu naye wamemuacha kwa muda mrefu sana huku akiendelea kutoa kauli chinganishi na za kichochezi, bara na visiwani, huku akishangiliwa hata na wale wanaopaswa kumshauri. Anahitajika "panya" mwenye ujasiri uliopitiliza atakaye mvika paka kengele shingoni tena hadharani (kama vile kutumbua hadharani). Naunga mkono hoja, hatutakiwi kumuacha aendelee hivi!
ukweli ya kuwa serikali haitoki kwa makaratasi?Ilibidi Seif aambiwe ukweli.....inaonekana huwa mnavutiwa na hotuba za Rais sababu kila kukicha mnamnukuu.....inapendeza sana hii.
Wazee wenye hekima na busara Tanzania hakuna.Kwani huko Lumumba hakuna wazee angalau wenye busara wamshauri jamaa?