KADA CCM: Rais Magufuli ameacha mtafaruku Zanzibar

KADA CCM: Rais Magufuli ameacha mtafaruku Zanzibar

Kwakweli hapa naona rangi ya kijani inazidi kuwekwa jik (Dawa ya Madoa) [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tunapotaka kuchagua viongozi ni muhimu kuangalia background na historia za ukoo au familia fulani ili kujua uwezo wa mtu kuongoza wenzie
 
Tuwe na mifumo sahihi kuwapat viongozi wa kitaifa! Hapa tumekula chaka! Hakuna busara hapo! Matakwa ya katiba na utashi hata anashindwa kutofautisha! Wakuu wa dini hawakukosea walipomshauri atumie busara zaidi!!
 
Yangu macho, baada ya miezi sita kuanzia leo nitaandika kitu kuhusu hili
 
tumezoea wanasisa wanaotwambia uongo, tena mchana kweupe watasema nyeupe ni nyeusi, na nyekundu ni bluu,tutashangilia kwa kuelewa tunadanga nywa.huyu ni msema kweli,kutoka moyoni.sema hatujazoea kusikia ukweli.
Kwa hiyo ni kweli kabisa Shein anaweza kumkatalia Seif stahiki zake kama waziri kiongozi mstaafu kwa kuwa tu hajasalimiwa?
 
Kauli sio kitu but observe action ata mzazi anaweza kutoa kauli mbaya lakini atakulea katika misingi Leo raise akose kauli unakuwa unaraumu andamana basi
 
Mi namwelewa Sana rais ukizungumzia maendeleo ya kwenda mbele hata Kama ni mpinzani atakupenda sana lkn hizi propaganda za democrasia, sheria inasemaje tumezihubiri sana lkn hazikutuzalia maendeleo ya nn tuendelee kuzipa nafasi, so by now tunaentertain watu wenye positive attitude towards development.
 
Naamini hotuba hizi zikiendelea hivi iko siku wazee wa hekima ktk nchi hii wataingilia kati.

Unafikiri mda utaamua.
Wewe unaamini wapo? Mimi siamini kinachoendelea kwanza. Kweli kumbe katiba yetu ni butu mno na haifai kabisa kama inampa mtu mamlaka ya kusema yote haya, simply kwa kuwa ni rahisi? Huwezi kukiuka misingi ya utu kwa kiasi hiki jamani.
 
Huyu na m7 hawana tofauti, na mwenzake kagoma, ila Uhuru yuko poa sana, juzi kati kamkaribisha raila kwenye jukwa asali mie wanachi. Kila kukicha Uhuru anasaini mikataba, nakuzindua miradi kibao, huyu wetu nikudill na wapinzani tu.
 
Back
Top Bottom