I think this is a very important point. Na pengine vyombo vyetu vya habari vingejifunza kuripoti habari za taasisi badala ya mtu, kwa mfano badala ya kusema Zitto alisema hivi, wangesema CHADEMA wasema hivi, hii itasaidia kukuza taasisi zaidi ya watu.

Ebwana mbona chadema mnawatetea kama vile mayayi vile!!!!
sisiemu wangepigwa madongo hapa
Wapigeni madongo chadema pia na huyo zito kusemea buzwag sio inampa fursa kuwa kila asemacho ni sahihi ,na kama kweli kasema uchumi unakua basi CHACHA yupo sahihi.
Mimi watanzania wezangu si waelewi kila siku mnaona ccm wanavyoharibu kwa vikao vyao vya kuwekana sawa ndivyo mnataka chadema wawe?? shame !!shame !!!
kwa tz ilivyofikia hakuna cha kuwekana sawa mda umeshatuacha mtu akikosea awe mama,baba mama mkwe wako ni kumtemea cheche harafu tunasonga mbele .
kimakufuri waziri kakosea hakuna maongezi sijui kikao ambacho tena kitahitaji fedha ,mbele ya kadamnasi mpe mambo mchezo unakwisha na messenge sent with high density

Wahenga wetu walikuwa na misemo miwili (kati ya mingi) ambayo inatufundisha kutopuuzia vitu visivyoonekana kuwa ni vikubwa. Kuna ule unaosema kuwa "mdharau mwiba mguu huota tende" na ule usemao "usipoziba ufa, utajenga ukuta". Ndani ya misemo hiyo kuna hekima kubwa iliyofichika. Tusidharau vitofauti vidogo vidogo tukiamini kuwa vitatoweka vyenyewe au baada ye havitakuwa na madhara.
Kama ni kweli Wangwe ana tatizo na Zitto basi tujue kuwa tatizo hilo ni lazima lishughulikiwe kindugu badala ya kuchimbana. Ndio maana njia mojawapo niliyopendekeza ni ndugu zetu hawa kuacha kukimbilia kwa vyombo vya habari. Na hapa hasa Wangwe; kila Zitto akisema kitu asikubali kuingizwa kwenye mtego wa "Mheshimiwa Zitto kasema hivi na hivi wewe unasemaje au Chadema inasemaje kuhusu hilo".
Wawe makini kwa fani!
http://www.freemedia.co.tz/daima/2007/12/25/habari6.phpWapinzani kupambana na ufisadi zaidi - Zitto
na Irene Mark, Karatu
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto, amesema kuanzia mwaka ujao kasi ya kuwashughulikia mafisadi itakuwa kubwa kuliko mwaka huu, hivyo ni lazima Rais Jakaya Kikwete awawajibishe.
Zitto alisema hayo jana katika mkutano wa hadhara uliofanyika Karatu, mkoani Arusha.
Alisema kwamba hivi sasa kambi ya upinzani imepata silaha za kutosha kuangamiza mafisadi wa CCM, hasa katika sekta ya madini aliyoteuliwa kuwa mjumbe wa kamati hiyo.
Kuhusu ukuaji wa uchumi, Zitto alisema unakuwa katika sekta mbili - utalii na madini - huku akifafanua kuwa sekta hizo hazina manufaa kwa wananchi wa kawaida.
"Hivi sasa kambi ya upinzani imepata makambora ya kutosha kuwaumbua mafisadi wote," alisema Zitto.
Zitto alibainisha idadi ya mikataba anayoifahamu hadi sasa kuwa ni sita, tofauti na awali kambi ya upinzani ilipokuwa ikifahamu mkataba mmoja tu.
Alisema hadi sasa amefanikiwa kuona mikataba sita ambayo hata hivyo awali hakuwahi kuiona.
jamani hii si ndio mlitwambia demokrasia?
mkasema chadema chama makini mambo yao wanazungumza hadharani, mchana kweupeee, hawahitaji tochi
sasa nnaona imekuwa kinyume si wote wameeleza maoni yao au vp waungwana?
mie nnaona hawana bifu ila ni ukomavu wa demokrasia waliofundwa huko chamani kwao
Mwanasiasa huyo alisema bado uchumi wa Tanzania uko chini na pengine kinachokuwa ni biasra na mapato ya wakubwa.
Alisema shilingi ya Tanzani inashuka thamani kila kukicha, huku zile za nchi jirani za Kenya na Uganda zikikua.
Bw. Wangwe alisema anashangazwa na msimamo wa Zitto, kushabikia ukuaji wa uchumi wa Tanzania ambao upo kwenye majedwali na takwimu.
``Uchumi wa Tanzania umekuwa kwenye takwimu tu, lakini si katika uhalisi. Sasa kama uchumi umekuwa mbona mfumuko wa bei ni kila siku?`` Alihoji.
Bw. Wangwe, alisema kwa mujibu wa sera za CHADEMA sekta ya kilimo ambayo imetelekezwa na CCM ndio njia pekee ya kuinua uchumi wa nchini.
Alisema uchumi wetu utaendelea kudidimia kwa vile serikali imeshindwa kukitengenezea kilimo sera nzuri na kuwaenzi wakulima kwa pembejeo.
Alisema hata miundombinu mibovu iliyopo, imewafanya wananchi wanaolima kienyeji kukosa pa kupeleka mazao yao.
Alisema kilimo kinaenda sambamba na viwanda, lakini serikali imeua viwanda vyote na kulifanya Taifa kuwa tegemezi katika bidhaa.
``Ndio maana Tanzania ni dampo la bidhaa feki, sisi ni jalala la kila bidhaa isiyo na viwango. Haya ni matokeo ya serikali kutotilia mkazo wa ujenzi wa viwanda,`` alisema.
Alisema badala ya serikali kuzipa kipaumbele sekta zitakazowainua wananchi wake, vigogo wamekazania migodi, kwa vile wanapata maslahi.
Alisema kwenye migodi wananchi waliokuwa wamejiajiri wamefukuzwa na hao wanaoitwa wawekezaji, ambao hulipa fedha kidogo kuliko mali wanayopata.
``Kwa hiyo nawaeleza watanzania kwamba uchumi haujakuwa na huo ndio msimamo wa CHADEMA.
Watu wenyewe ni mashahidi jinsi wanavyotaabika na maisha... Kama Zitto kasema hivyo, basi ana lake jambo, na huo ni msimamo wake binafsi,``alisisitiza.