Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 12,148
- 20,311
Stori za abunuasiShida tupo kwenye mifumo ambayo inataka watu watumie akili zaidi kuliko nguvu mafanikio kwa sasa hayawafuati watu wanaojituma wenye skills ndio wanaotoboa mfano ingia playstore mtu kajifungi geto anatengeneza App inayoenda kutengeneza mabilioni ya pesa kazi ndogo matokeo makubwa
Kitu kingine hauhitaji kujipa stress kuchelewa kujenga ama kuwa na gari jambo msingi swala la mafanikio kwenye maisha ni kujikita kutafuta njia zitakazo kupa matokeo makubwa na sio kuonekana unafanya vitu kwa wakati