Kabila gani wanahusudu pombe zaidi?

Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
53,136
2,000
kumbe daddy... nilikuwa namsingizia my hezbend kuwa wasukuma ni walevi.... am tho thorry my huz.. @C6....
hahaha huyo wamuonea tu...wachagga ni mafundi wa kusuuza koromeo kwa ndyofu na noah
 
ummu kulthum

ummu kulthum

JF-Expert Member
Feb 6, 2012
2,787
0
POMBE NI POMBE TU HAINA KABILA HIYO ata wakwere wanakata mai ya mnazi na nanihii wetu akiwepo
 
Vegetarian

Vegetarian

JF-Expert Member
Apr 7, 2012
642
500
Ngoja Wahaya waje wawasikie mkisahau kuwataja na rubisi yao. Akina Ruta.. Koku.. Mganyizi mpoo?
 
CharmingLady

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,118
2,000
hahaha huyo wamuonea tu...wachagga ni mafundi wa kusuuza koromeo kwa ndyofu na noah
wapi Erickb52 na Mkuu rombo???
 
Last edited by a moderator:
Gang Chomba

Gang Chomba

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
11,312
2,000
wapare wao ni ubahiri tu.
Leo nimemkuta mmoja anakula Ugali na Muwa...
 
Michael Amon

Michael Amon

Verified Member
Dec 22, 2008
8,767
2,000
Wachagaaaaaaaaaa!!!!
 
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
53,136
2,000
niliwasahau na watani zangu Wanyalukolo...wao mtoto akilia anapigwa ulanzi tena mkangafu
 
CharmingLady

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,118
2,000
La la la la!
Wasukuma wanapeleka walwa si mchezo atii!
kuna mtu kanipinga kidogo antoe bikra mara ya pili kisa mesema wasukuma wanahusudu pombe.... bora na wewe useme
 
Sumbalawinyo

Sumbalawinyo

JF-Expert Member
Sep 22, 2009
1,284
0
Wasafwa wanatisha na 'hombwa' zao
 
Don Mangi

Don Mangi

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,204
1,250
nyie mtasema but % 80 ya mauzo ya bia ni mikoa ya kaskazini, kuna mpaka kipindi kampuni za bia zilitaka kufunga bomba na meter kwenye bar maarufu jinsi bia zilivyokua zinanyweka, lol.
 
A

Asa79

JF-Expert Member
Jul 19, 2012
591
0
mmefanya research lakini? au hata mimi naweza kutaja kabila lolote? mi nijuavyo warangi ndio kiboko ya njia
 
Ally Kombo

Ally Kombo

Verified Member
Nov 11, 2010
11,432
1,225
Kabila yangu pombe tumeipa. Jina baya, "uchi"
Na ukitambulika kuwa wewe ni mnywaji, kwenye vikao vya wazee huruhusiwi kutoa maoni !
 
Judgement

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,342
1,225
Mi naona kabila la Wazungu ndiyo wamebobea .
 
Top Bottom