Kabila gani wanahusudu pombe zaidi?

Duduwasha

Duduwasha

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
5,700
2,000
Kabila yangu pombe tumeipa. Jina baya, "uchi"
Na ukitambulika kuwa wewe ni mnywaji, kwenye vikao vya wazee huruhusiwi kutoa maoni !
Nyie wavisi3wani kumbe mnajijua kuwa mna makabila tena yenye asili ya Bara except waarabu ... ila visiwani hunywa sana pombe japo siku hizi wamepunguza wanatumia madawa ya kulevya....

Wasomali wao mirungi ndio kama jadi... Semeni yote ila yule mnyama aitwae Komba... huyo ndio Noumer
 
Sema Sasa

Sema Sasa

JF-Expert Member
Oct 19, 2012
653
1,000
Nimeishi mikoa mbali mbali hapa tz, kwa unywaji wa pombe mkoa wa kilimanjaro kwa wilaya za rombo, moshi, hai na sia ni hatari. Hakuna sehemu Tanzania wanakokunywa pombe kama huko. Huko wanakunywa watoto wanawake, vikongwe vijana nk. Na kuna aina za pombe zaidi ya 100. Mikoa ya kusini na nyanda za juu kusini wanywaji ni wachache sana na ulokole umetamalaki sana
 
N

Ngarna

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
1,970
1,500
Kunywa pombe kwa wachagga ni sehemu ya mila.
 
babumapunda

babumapunda

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
4,559
2,000
Hakuna anaemzidi mngoni kwa unywaji wa pombe sababu pombe ni sehemu ya utamaduni wa mngoni
 
Top Bottom