NITAWATOFAUTISHA VIPI !??

NITAWATOFAUTISHA VIPI !??

Kashai

Member
Joined
May 12, 2024
Posts
41
Reaction score
91
Wakuu Habari za Uzima,
Kama Mwanaume Kamili kuOA Hakuepukiki. Nami Baada ya Kusoma Vitabu Vingi, Threads Nyingii humu JF, Na Kufanya Research Binafsi Nimegundua Wanawake wa Makabila Haya Ni BEST Option Kuingia Nao kwenye NDOA.

1. Wakurya 2. Wakinga 3. Wabena 4. Wahehe 5. Waha 6. Wasukuma.

Sasaa Naomba Kuwauliza Nitawatofautisha Vipi baadhi ya Wanawake wa Makabila Haya, Kwasababu Nimezaliwa na kukulia Kiwalani-Dar es Salaam Mikoani Nilikuwa Naenda kwa Ajili ya Masomo Na Matukio ya Ndugu, Jamaa na Marafiki.

1. Wakurya na Wajita
2. Wabena, wahehe na Wakinga
3. Waha na Wamanyema

Wasukuma Nawafahamu Vizuri tuu.

Karibuni Kaka na Dada Zangu kwa Mawazo Yenu.
 
😁😁

1: ukuiona anaongea sana kama redio, anapenda sana ushirikina , baba yake anamchukulia poa, anajua sanaaa sex kitandani, anapenda sana samaki na dagaa, mama yake ndio muamuzi wa mapenzi yake basi huyo ni mjita, .

Ukiona anakiburi, hajui mapenzi, ni muelewa ukimkanya, anamuogopa baba yake kama simba, kila siku anamuwazia mama yake anavyoteswa na baba yake, anapenda sana nyama ya ng'ombe,hajui mapenzi kitandani, ni mchapakazi, sio muongeaji sana basi huyo ni mkurya

Wadada wa kikurya wana mabega mapana, nyuso pana, pua pana

Wadada kijita wana weusi wa chocolate, nyuso nyembamba , wana makebo makubwa kuliko wakurya
 
Wakuu Habari za Uzima,
Kama Mwanaume Kamili kuOA Hakuepukiki. Nami Baada ya Kusoma Vitabu Vingi, Threads Nyingii humu JF, Na Kufanya Research Binafsi Nimegundua Wanawake wa Makabila Haya Ni BEST Option Kuingia Nao kwenye NDOA.

1. Wakurya 2. Wakinga 3. Wabena 4. Wahehe 5. Waha 6. Wasukuma.

Sasaa Naomba Kuwauliza Nitawatofautisha Vipi baadhi ya Wanawake wa Makabila Haya, Kwasababu Nimezaliwa na kukulia Kiwalani-Dar es Salaam Mikoani Nilikuwa Naenda kwa Ajili ya Masomo Na Matukio ya Ndugu, Jamaa na Marafiki.

1. Wakurya na Wajita
2. Wabena, wahehe na Wakinga
3. Waha na Wamanyema

Wasukuma Nawafahamu Vizuri tuu.

Karibuni Kaka na Dada Zangu kwa Mawazo Yenu.

😂😂😂😂Watu wamepandisha visukari unafikiri wameambiwa wanaolewa wao.

Mwanetu, hebu tuambie kwann umechagua makabila hayo na sio mengine?.
Sifa zipi zimekufanya usema hayo makabila.
 
Back
Top Bottom