K/Koo: Mwanadada kapigwa risasi

K/Koo: Mwanadada kapigwa risasi

Anaitwa MWASITI , ni mfanyakazi wa DUKA LA VIFAA VYA HOSPITALI LA GRANTS CARE LTD , KIPATA / CONGO STREET , Taarifa zinasema kwamba alikuwa anapeleka pesa bank ya HABIB KARIAKOO , alikufa hapohapo , ni dada ninayemfahamu sana , inasikitisha sana , Mwenyezi Mungu aiweke roho ya marehemu mahali inapostahili , amina . Angalizo , pamoja na k/koo kuzalisha pesa nyingi sana kutokana na biashara zilizopo , lakini Usalama wake ni Hafifu mno , mhalifu anaweza fanya lolote bila kukamatwa ! Shortly ni kama hakuna usalama kabisa .

Juzi tumeona BOSTON mji ulifungwa hakuna kutoka wala kuingia mpaka mhalifu akapatikana ,nashangaa hapa tanzania hakuna uthubutu wa namna hiyo!Mitaa yote pale kkoo na barabara zote zingefungwa mpaka mhalifu apatikane,ninauhakia pasingetokea tena wizi wa namna hiyo ambao umekua sugu!waziri wa mambo ya ndani kazi yake kutunza sharubu tuu.Hii inanipa uhakika kuwa polisi uhusika na wizi wa katikati ya mji sii mnakumbuka zile 150m za kkoo polisi walisepa nazo
 
Haya bhana , basi sawa , lakini hakuna tajiri anayependa wafanyakazi wake wafe kwa style hiyo wala anayependa kupoteza pesa zake kizembe , ndiyo maana tunasema ni tukio la Bahati mbaya .

ni kweli mkuu, i was just pulling legs

no pun intended
 
Anaitwa MWASITI , ni mfanyakazi wa DUKA LA VIFAA VYA HOSPITALI LA GRANTS CARE LTD , KIPATA / CONGO STREET , Taarifa zinasema kwamba alikuwa anapeleka pesa bank ya HABIB KARIAKOO , alikufa hapohapo , ni dada ninayemfahamu sana , inasikitisha sana , Mwenyezi Mungu aiweke roho ya marehemu mahali inapostahili , amina . Angalizo , pamoja na k/koo kuzalisha pesa nyingi sana kutokana na biashara zilizopo , lakini Usalama wake ni Hafifu mno , mhalifu anaweza fanya lolote bila kukamatwa ! Shortly ni kama hakuna usalama kabisa .

ooh my God...she cant be that lady..huwa anakaa pembeni pale kwenye computer na jamaa wale wanauza balaa rest in peace lady
 
????? halafu wanataka kustandardize matokeo ya form4? kweli hii nchi imekuwa kama chombo kisicho na nahodha

Hvi mbona a tukichapia kwenye Kiswahili hatupigi kelele???

Sent from my EyePhone
 
ooh my God...she cant be that lady..huwa anakaa pembeni pale kwenye computer na jamaa wale wanauza balaa rest in peace lady

Asante sana kwa kumbukumbu mkuu , ndiyo hivyo tena leo ametuacha , na bad enough ukumbuke kwamba ameacha Mtoto mdogo ambaye sidhani kama ana zaidi ya miezi 6.
 
sio lazima tujue unatumia blackberry vp wewe. toa mchango wako acha kutafuta umaarufu uliopitwa na wakati.simu kitu gani weye
 
mwenya kampuni kalala, binti wa watu anabeba pesa nyingi na kuishia kuuwawa... si ajabu mshahara wake ulikua mdogo tu

Na pengine hadi leo alikuwa hajapata huo mshahara wake!
Viongozi wa nchi wamelala, nadhani wameona wametatua matatizo ya watumishi wa umma ile ya kuhakksha hadi tar 25 wamellipwa wanaaamini na taasisi binafsi zimetekeleza agizo hilo, viongozi wangu take care!
 
Lol!
So sad!

Mwenyenzi MUNGU ailaze roho ya Marehemu mahala pema peponi!

Aaamen!

Mkuu LiverpoolFC..
Hapo kwenye red hiyo Lol sijui umeitumia ukimaanisha nini? Lol maana yake halisi ni "Laugh Out Loud" kuangua kicheko cha nguvu. Ina maana umefurahishwa au kuchekeshwa kwa kitendo walichokifanya majambazi????
Kuna tofauti kati ya Loh! Ya kushangaa na Lol ya kicheko.
 
Rest in eternal Peace Dada Mwasiti. Poleni sana ndugu...jamaa na marafiki kwa kumpoteza mpendwa Dada Mwasiti.
 
UPDATES , MWASITI KUZIKWA KESHO MAKABURI YA KISUTU ,tunaendelea kuwasiliana na viongozi wa GRANTS CARE LTD Ili kujua ratiba kamili ya mazishi ikiwa ni pamoja na muda yatakaofanyika , stay tuned .
 
Hahahahahaaa, umaarufu wake ulikuja kwa kasi na unaondoka kwa kasi mbaya. Wamempa wizara lile kazi kwisha, na sasa wanamtengenezea zengwe kama walivyomfanyia Ngereja!!! Maskini siku zake zinahesabika

Ana uhusiano na Mwasiti?
 
Back
Top Bottom