K/Koo: Mwanadada kapigwa risasi

K/Koo: Mwanadada kapigwa risasi

mwenya kampuni kalala, binti wa watu anabeba pesa nyingi na kuishia kuuwawa... si ajabu mshahara wake ulikua mdogo tu

Kuna uhusiano wa kindugu kati ya Marehemu na mwenye Duka , GRANT ( Ambaye ndiye owner ) ameoa dada wa Marehemu , ni suala la ujambazi tu , kwa hiyo tuchukulie kama bad luck .
 
inasikitisha sana bora wangechukua mkoba wakamwachia uhai wake
 
Sijui mnashangaa nini,aumnadhani hii ni Dar ile ya1975?hapa nikama Columbia tu,au Mexico.
 
Alitumia bastola kumpiga risasi

Hujajibu swali langu . Kapigwa bastola ama risasi? .. Kumsahihisha kuwa alitumia bastola kumpiga risasi ni sawa na kusema alitumia mkono kutengeneza bastola ikatumia risasi kumpiga..
 
Hujajibu swali langu . Kapigwa bastola ama risasi? .. Kumsahihisha kuwa alitumia bastola kumpiga risasi ni sawa na kusema alitumia mkono kutengeneza bastola ikatumia risasi kumpiga..
tukileta uswahili sana, kilichompiga ni risasi, bastola wala haijamgusa, tena aliyempiga kaondoka nayo
 
????? halafu wanataka kustandardize matokeo ya form4? kweli hii nchi imekuwa kama chombo kisicho na nahodha
Huyo atakuwa ameishi States au anapenda kuongea American English.
Hiwa "is" hawaisemi kabla ya swali, au hata "are".

Kwa mfano .. You alright?
She alright?
She dead?
You coming?
He/She crazy mayn! ....
Na kadhalika, siyo ujuacho wewe tu ndiyo sahihi. Samahani kama nimekukwaza.
 
Mara nyingi hawa matajiri wanaambiwa kuomba ulinzi wa polisi katika kusindikiza mapene Bank.. Wanaleta ubahili na matokeo yake ndo haya.. Macikini dada wa watu.. Maisha yake yamekatizwa kwa uzmbe na ubahili wa tajiri..
RIP Mwasiti..
 
Wabongo bwana, mnasahngaa matukio kama haya kwa mji mkubwa kama dar?
Waulize wenzenu wa huko Arusha, ila kwa tukio hili wawabane wafanyakazi wenzake huenda kuna mmojawapo kafanya mchongo.
 
Back
Top Bottom