K/Koo: Mwanadada kapigwa risasi

K/Koo: Mwanadada kapigwa risasi

February si anaweza akachukua kiti bwana.
Hahahahahaaa, umaarufu wake ulikuja kwa kasi na unaondoka kwa kasi mbaya. Wamempa wizara lile kazi kwisha, na sasa wanamtengenezea zengwe kama walivyomfanyia Ngereja!!! Maskini siku zake zinahesabika
 
Rest In Peace Mwasiti.
Pole sana wote walioguswa na msiba huo.
 
Hujajibu swali langu

kwa heshima ulonayo hapa jf wewe sio wa kukomalia maswali ya kipuuzi kana kwamba kiswahili unakijua sana wala huwezi kupokea. ishu haikua kuonesha utaalam wa lugha bali kufikisha ujumbe. mia
 
Mara nyingi hawa matajiri wanaambiwa kuomba ulinzi wa polisi katika kusindikiza mapene Bank.. Wanaleta ubahili na matokeo yake ndo haya.. Macikini dada wa watu.. Maisha yake yamekatizwa kwa uzmbe na ubahili wa tajiri..
RIP Mwasiti..

Kwani unajua ni bei gani basi ! Hata za kuombea ulinzi wa polisi ? ni uharamia tu kaka , na iko siku tutakuja uawa kwa ajili ya Nokia ya Tochi !
 
Kama huko Kariakoo katikati ya mji hakuna ulinzi je sisi tunaoishi Mbagala, Pugu na Kigamboni tutapona? Mungu tunakuomba utulinde waja wako Amina.
 
kwa heshima ulonayo hapa jf wewe sio wa kukomalia maswali ya kipuuzi kana kwamba kiswahili unakijua sana wala huwezi kupokea. ishu haikua kuonesha utaalam wa lugha bali kufikisha ujumbe. mia

Usikasirike ndugu yangu.. Tumetoka wote mwembe chai ujue
 
Vp hao majambazi walifanikiwa kuchukua hocho walichokitaka?


Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Oo jamani inasikitisha sana! Lala salama Mwasiti!
Mpaka tuje kuweza kufanya malipo kwa kadi katika maduka yetu, itabidi ulinzi uimarishwe sana!
 
Hahahahahaaa, umaarufu wake ulikuja kwa kasi na unaondoka kwa kasi mbaya. Wamempa wizara lile kazi kwisha, na sasa wanamtengenezea zengwe kama walivyomfanyia Ngereja!!! Maskini siku zake zinahesabika

Kumbuka huko nikwe2 wote?
 
Wabongo bwana, mnasahngaa matukio kama haya kwa mji mkubwa kama dar?Waulize wenzenu wa huko Arusha, ila kwa tukio hili wawabane wafanyakazi wenzake huenda kuna mmojawapo kafanya mchongo.
kwahyo unashabikia haya matukio kwenye miji mikubwa mkuu poleni wafiwa, RIP MDADA
 
Lol!
So sad!

Mwenyenzi MUNGU ailaze roho ya Marehemu mahala pema peponi!

Aaamen!
 
Anaitwa MWASITI , ni mfanyakazi wa DUKA LA VIFAA VYA HOSPITALI LA GRANTS CARE LTD , KIPATA / CONGO STREET , Taarifa zinasema kwamba alikuwa anapeleka pesa bank ya HABIB KARIAKOO , alikufa hapohapo , ni dada ninayemfahamu sana , inasikitisha sana , Mwenyezi Mungu aiweke roho ya marehemu mahali inapostahili , amina . Angalizo , pamoja na k/koo kuzalisha pesa nyingi sana kutokana na biashara zilizopo , lakini Usalama wake ni Hafifu mno , mhalifu anaweza fanya lolote bila kukamatwa ! Shortly ni kama hakuna usalama kabisa .
Polisi haiwezi kuja pande hiyo mara kwa mara cause, hakuna mu-meeting ya opposition, so munabidi muanze-organize mu-meeting ya Chadema then, soldiers itapata reason ya kuja pande hiyo ya k/koo. Kwa kuanza mualikeni Lema afanye public meeting hapo Congo street, then iko tanambia kama usalama hawako, sawa kwa rafiki!
 
Ni nini kinawashinda watu kuomba escort ya Polisi kipindi wanapeleka pesa zao Bank?!

Huu mchezo nimeuona sana Posta...

Nishashuhudia mtu kapigwa Risasi anashuka kwenye gari kuingia Bank ila alifanikiwa kutupa mfuko wa hela ndani ya Bank!ndo ilikuwa salama ya zile pesa na yeye kupata MAJERAHA makubwa sababu ya UBAHILI!

Sent from BlackBerry
 
Kuna uhusiano wa kindugu kati ya Marehemu na mwenye Duka , GRANT ( Ambaye ndiye owner ) ameoa dada wa Marehemu , ni suala la ujambazi tu , kwa hiyo tuchukulie kama bad luck .

nimechukulia kiujambazi zaidi

kwamba mwenye mali kalala wakati watumishi wanapigwa risasi....akiamka anzika, anaajiri mwingine na maisha yanaendelea
 
nimechukulia kiujambazi zaidi

kwamba mwenye mali kalala wakati watumishi wanapigwa risasi....akiamka anzika, anaajiri mwingine na maisha yanaendelea

Haya bhana , basi sawa , lakini hakuna tajiri anayependa wafanyakazi wake wafe kwa style hiyo wala anayependa kupoteza pesa zake kizembe , ndiyo maana tunasema ni tukio la Bahati mbaya .
 
Back
Top Bottom