Sheghwede
JF-Expert Member
- Mar 30, 2013
- 277
- 124
Samahani mdau, kuna habari iliyotangulia tu ndo ikatufikisha hapa na huyo niliyem'quote'. Kwa hiyo hana uhusiano, ile tulilolizungumzia ndo lina uhusiano. Na ikiwezekana uishie hapohapo usije ukajikuta unadandia gari la takaAna uhusiano na Mwasiti?