barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,811
Ukweli upi unaotaka kuambiwa?? Hao Dira ndo wapeleke reliable source ya habari yao na ushahidi la sivyo wapigwe ban tu, hamna namna!Nilijua tu hii habari lazima Ikanushwe, ila ni vema wangekanusha halafu watupe Ukweli halisi wa jinsi ilivyo maana kwa wengi haituingii akilini.