JWTZ Wakanusha taarifa za kuibiwa Kifaru

Hearten

Member
May 17, 2016
46
54
JWTZ yakanusha taarifa za kuibwa kwa kifaru, lasema taarifa hizo hazina ukweli, lasisitiza ulinzi katika maeneo ya jeshi uko imara.

Hata hivyo Jeshi hilo limelitaka Gazeti la Dira kuomba radhi Mara moja wakishindwa kufanya hivyo hatua Kali na za kinidhamu zitachukuliwa dhidi yao.

ClY_I9oVAAEsSEt.jpg:large

Chanzo: ITV
 
Wakidhibitiwa hawa makanjanja utasikia oooh wanarudisha nyuma demokrasia,uhuru wa vyombo vya habari na majungu mengi sasa mukipewa uhuru ndio kuandika utumbo.
Ombi langu kwa serikali vyombo vyote vya habari vitoe taarifa zao kutoka katika vyanzo vya vyombo vya Serikali na sio kujitafutia habari zao za uzushi.
 
Well, tusiwe wepesi wa kusema. Lile gazeti limenukuu proceedings za 'mahakama'. Kama session hiyo ilikuwepo itakuwa vigumu kuwa-victimize Dira. ila kama wametunga uongo hadi kufikia hatua ya kughushi session ya mahakama, utakuwa ni ujinga wa hali ya juu. Maana ipo tofauti kati ya kutunga story tu ya uongo na kuwekea maneno vinywani mwa watu walio halisi au hata wa kubuni.
 
Nakubaliana na wewe kabisa na umeandika kile nilichotamani nikiandike mimi pia, JW waeleze ukweli utakaokanusha ule ukweli wa DIRA, sio short statement zisizo na kichwa wala miguu
 
Back
Top Bottom