Kwa jinsi ulivyoandika kweli mwandishi amefanikiwa kuwapotosha wewe unaamini ni kifaru kizima kinachosubir kushambulia wakati ukweli ni scraper yake ilikuwa wameifanya targetMkuu, kifaru kuibiwa ni siri ya serikali? Unajua kingeenda kutumika vipi?
mwandishi ametoa habari kutoka mahakamani..Ila huyo mwandishi kama hiyo habari aliitunga wacha aonyeshwe moto kidogo ili ajuwe kuwa JWTZ sio policcm.
Jeshi letu (Jwtz) linaheshima kubwa sana ndani na nje ya nchi. Hivyo nawaunga mkono wanajeshi wetu kwa 100% kuilinda heshima yao kwa nguvu yoyote ile.
hicho kifaru kimeibiwa au hakikuibiwa? Hoja ndio iko hapaUkweli ni kwamba kuna mgogoro wa ardhi na kesi ipo mahakamani kile kifaru kilikua eneo la range/kinatumika kama object katka range na ni scraper kwa,kifupi
sasa hapo kosa sio la mwandishi ni la hao polisi waliowafungulia kesi wanakijijiHabari kwenye gazeti inamalizia kuwa nov mwaka jana walikuja wanajeshi wakakipaki karibu ya mwanakijiji mmoja kisha wakaondoka ndipo kesho yake walipokuja polisi kuwakamata kwa kosa la kuiba kifaru,lengo lao kuwabambikia kesi ili jeshi wajihalalishie uhalali wa kuchukua eneo lao la kijiji,mwisho wa kunukuu
The only problem we have is to deal with its outcomes and not its source.[emoji41]Hapo Kauli Sahihi ilikuwa Ni "Mahakama iombe radhi Kwa Jeshi la Wananchi" na si Gazeti Kwani Mwandishi wa Gazeti Ameinukuu Mahakama!!
Lakini Kwa Jeshi Kuibiwa Kifaru Kiuhalisia ni Aibu Kuliko Lugumi, Kwahiyo lazima Wakatae.
Mlinzi wa Nchi kaibiwa!! Aisee......
We nawe! Si ukanunue gazeti? Mbona unapenda sana free rides?
umemaliza kila kitu, siongezi nenoHii kitu ni scandal kubwa sana, zaidi hata ya lugumi ni escrow....its a shame? Aibu ya kimataifa iwe kweli ama sio kweli...tayari ni dosari kwa chombo cha usalama kama JWTZ...ni aibu kubwa mno....
Lakini, Jwtz wamejibu kwa vitisho na panic kubwa mno...hapo hatushangai kwa sababu ndo hulka ya wanajeshi wetu....( ni defense mechanism ili hata alietaka kuhoji asiihoji tena)
Ila nina maswali ya kujiuliza:::
1. Kwanini jeshi limekanusha habari ambayo mwabdishi anadai kaitoa mahakamani...?
2. Kwanini hao walinzi wa walikuwa wanalinda kifaru hawajumuishwa kwenye kesi nao? Au hakukuwa na ulinzi?
3. Kama jeshi limekanusha kuwa halijaibiwa kifaru, mbona jeshi la polis na mahakama bado linashikilia watu ?
4. Kama kweli kifaru kipo kijijini kama inavyosemekana, nani alikipeleka kijijini...manake wananchi wa kawaida inaeleweka kabisa hawawezi kukiendesha...( manake kuna Wanajeshi wana hanahusika hapa by assumption) .
5. Kwanini wasemaji wa jeshi wanakuwa na kauli zenye kuonesha uvunjifu wa sheria..( tutamfanyia ukatili)
6 . Lakini pia, mwandishi alishawahi kuhoji au kutaka ufafanuzi wa habari hizi kutoka JWTz kabla ya kuziandika gazetini?
Ni mtazamo tuu...ila mpaka sasa hivi hiii ni aibu kubwa....halafu mbona hatujaoneshwa hata picha ya hiyo screper ya kifaru?
😱😱😀😀😛😛😉🙁🙂Acha zako unajua mahali mimi nilipo fikiria mara mbili mbili kabla ya kuandika sio kila mtu ana access ya gazeti kwa kukusaidia muulize jirani yako kijiji cha kyandaigonda gazeti zinafika?
Uwe unafikiri japo kidogo basi.Kwa jinsi ulivyoandika kweli mwandishi amefanikiwa kuwapotosha wewe unaamini ni kifaru kizima kinachosubir kushambulia wakati ukweli ni scraper yake ilikuwa wameifanya target
Cheki ulivyo kilaza huyo aliyeiba huko USA umeambiwa ameshawahi kuwa jeshini na hicho kifaru kilikuwa in use so how you compare these incidents?Uwe unafikiri japo kidogo basi.
Tukio lifuatalo lilitokea Marekani mwaka 1995.
A man stole a 63-ton military tank from a National Guard armory here and used it to rampage through neighborhoods, flattening utility poles, fire hydrants and cars before getting stuck on a road divider. Police officers fatally shot the man as he tried to get the tank moving.
No bystanders were injured in the event on Wednesday evening. The tank's weapons -- a 105-millimeter cannon, a 12.7-millimeter antiaircraft gun and a 7.62-millimeter machine gun -- were not loaded, said Maj. Ed Gale of the California National Guard.
The driver was identified as Shawn Nelson, an unemployed plumber who had served in the military; he was believed to be in his mid-30's. The police said they had shot Mr. Nelson because they feared that if he got the tank moving again traffic would be endangered.
"The guy was just going crazy," said Kelly Bird, who said he saw at least 25 cars flattened. "He was mowing cars over."
Capt. Tom Hall of the police said: "He shifted into the proper gear and was preparing to spin the tank so he could get off the high-riser. He knew what he was doing."
The authorities were unsure how Mr. Nelson had managed to steal the M-60 tank from the armory.
Bora kuwa mjinga kuliko mpumbavuCheki ulivyo ****** huyo aliyeiba huko USA umeambiwa ameshawahi kuwa jeshini na hicho kifaru kilikuwa in use so how you compare these incidents?