JWTZ Wakanusha taarifa za kuibiwa Kifaru

JWTZ Wakanusha taarifa za kuibiwa Kifaru

Kamanda ana heavy accent ya Kihaya, ana dharau, ana kamba mwanzo mwisho.... Anakwambia hata KK Security hawawezi kuibiwa kifaru sembuse jeshi linalolinda amani duniani na lisipokuwepo sehemu watu wanaingia wasiwasi .... hahahahaaaaa... Jeshi la kibongo ambalo wanajeshi wake walikufa kwa kuzama kwenye mto Sudan, hawakuwa na swimming training...!

Anakwambia huyo mwandishi ni mwenzetu lakini unapozaa watoto wengi wapo wengine wanakuwa ni wa kupiga ngoma tu, lazima uwarudi.... hahahahahaaaa... I bet you my farm this guy is Mhaya...

Halafu kuna Mkurya mwingine nae ametoa press statement ya JESHI LA POLISI huyo anakwambia... hahahaha.... inabidi nicheke, kadai watakavyom punish mwandishi yeye mwenyewe atakuja kutuambia walichomtenda, akatoa wise quote ya kijeshi hiyo unaambiwa inasema SADISM IS INEVITABLE WHEN THE SITUATION IS "ARAMING," TUNATAKA KUONYESHA KWAMBA "UKATIRI" HAUEPUKIKI, MTAONA "UKATIRI" UNAPOANZIA!!!

Military spokespeople duniani mara nyingi wanakuwa diplomats of the highest caliber, kwa vile wanajua na wanajaribu kuepuka madhara ya matumizi ya nguvu za kijeshi, sasa Bongo tuna Wakurya wanakwambia watatuonyesha UKATIRI unapoanzia!
 
Mkuu, mwandishi ana shida gani? ameripoti kutoka mahakamani, amemnukuu hakimu.
Je hiyo kesi haipo mahakamani? hakuna shitaka? nilitarajia great thinker kama wewe uende mbali zaidi.
Teja la CCM hilo
 
Well, tusiwe wepesi wa kusema. Lile gazeti limenukuu proceedings za 'mahakama'. Kama session hiyo ilikuwepo itakuwa vigumu kuwa-victimize Dira. ila kama wametunga uongo hadi kufikia hatua ya kughushi session ya mahakama, utakuwa ni ujinga wa hali ya juu. Maana ipo tofauti kati ya kutunga story tu ya uongo na kuwekea maneno vinywani mwa watu walio halisi au hata wa kubuni.
Yawezekana ipo kesi ila the way alivyoweka hyo heading gazetini ndio inaleta ukakasi mwandishi kaiweka hvyo ili awavute watu wanunue gazeti ukisoma ndani ohhhh scraper ya kifaru iliyokuwa deserted
 
Ukisoma ile story ina uhalisia Zaidi kuliko walichokanusha JW, yule mwandishi amemhoji Polisi na amemnukuu Hakimu na jina la Hakimu liko pale, inawezekanaje iwe story ya uongo???
Ndugu hebu nisaidie ni nani mlalamikiwa? Mwajeshi or raia? If raia je anaweza endesha kifaru hapa namaanisha kipo in gud oda au kama ni kibovu je walikibeba na recovery? Maana najua kile kitu ni kizito ni hayo tu Hilo gazeti limeelezaje?
 
Tatizo la waandishi wa habari ni elimu. Kuna habari nyingine zinahusu usalama wa nchi si sahihi kuripotiwa kwa namna ilivyoripotiwa. Huyo mwandishi kazi anayo.
 
Wanataka kusema hata hakimu na hao watuhumiwa ni wazushi?
hakim jajatoa hukumu bado, na hiyo ni kesi ipo mahakamani ambapo mtuhumiwa yupo innocent kwa kuwa hawajathibitisha kosa lake bado

mwandishi alitakiwa aandike 'wananchi washtakiwa kwa kuiba kifaru' na sio kifaru kimeibwa
 
Well, tusiwe wepesi wa kusema. Lile gazeti limenukuu proceedings za 'mahakama'. Kama session hiyo ilikuwepo itakuwa vigumu kuwa-victimize Dira. ila kama wametunga uongo hadi kufikia hatua ya kughushi session ya mahakama, utakuwa ni ujinga wa hali ya juu. Maana ipo tofauti kati ya kutunga story tu ya uongo na kuwekea maneno vinywani mwa watu walio halisi au hata wa kubuni.

kabisa mkuu

niko upande wa dira mpaka iwe otherwise

jeshi wanafanya ubabe tu

kesi wamefungua hao hao jwtz

hao wanaopinga wako HQ na hwajui lolote

pia kuna uadui wa wnanchi na jeshi eneo hilo
 
hakim jajatoa hukumu bado, na hiyo ni kesi ipo mahakamani ambapo mtuhumiwa yupo innocent kwa kuwa hawajathibitisha kosa lake bado

mwandishi alitakiwa aandike 'wananchi washtakiwa kwa kuiba kifaru' na sio kifaru kimeibwa


title ya kesi ni nini??


kwa nn jeshi wawashtaki wananchi wameiba?

na kwa nn hawatoi maelezo sahihi??
 
Tumekosa yakuandika haiwezekani kifaru kiibiwe na raia ambae hajui chochote Kama ni scraper ni issue nyingine sasa
 
title ya kesi ni nini??


kwa nn jeshi wawashtaki wananchi wameiba?

na kwa nn hawatoi maelezo sahihi??
title haijalishi ni nini, wala haijalishi kesi imefunguliwa na nani, ishu ni kwamba hiyo ni kesi, hukumu haijatoka bado, hivyo huwezi sema wameiba kifaru, wakati haijathibitishwa
 
Dereva wa mtambo alichepuka na binti wa mwanakijiji, alfajir combat zikalowkwa akashindwa kutoka, mp wakaanza kutafuta mtambo
 
Nasikia tatizo ni mgogoro wa ardhi, kwa hiyo jeshi wakaweka vifaru vyao ambavyo havitumiki mpakani kuwatisha wananchi.

Wale wananchi wakatafuta trecta na kukivuta kile kifaru njr ya sehemu kilipo kuwepo sijui kama nia yao ilikua ni kutafuta chuma chakavu au ni mwendelezo wa mgogoro.

Jeshi waeleze ukweli na sio kuleta vitisho[emoji30]
 
ninawasiwasi na hawa wanaoitwa wasemaji, naona kama wanafananana mambo yao bila kujali kada.
 
MIMI NIMEJARIBU KUJIULIZA HAYA MASWALI
SWALI LA KWANZA
Kikosi namba 83kj kipo au nacho ni cha uzushi???

SWALI LA PILI
Kijiji cha Tondoroni ambacho wananchi wake takribani 20 wanatuhumiwa kuiba hicho kifaru,hicho kijiji kipo au nacho ni cha kuzusha???

SWALI LA TATU
Mahakama ya mwanzo Kibaha na Hakimu aliyetajwa kusikiliza kesi hiyo ni robots au wapo???

SWALI LA NNE
Hao watuhumiwa 20 waliotajwa kuhusika na kesi hiyo wapo kweli au nao ni uzushi???

SWALI LA TANO
Jeshi limesema kilichoibwa ni screpa tu,je kesi iliyopo mahakamani imeandikishwaje wizi wa screpa ya jeshi au kifaru cha jeshi?????

NB
KAMA HII HABARI IPO KWELI NA SIO UZUSHI
Waandishi wa gazeti la Dira nao wana makosa kwani walipaswa wafikirie wanaandika kitu gani na kutakuwa na madhara gani kwa usalama wa taifa .....????
Kiuhalisia wameleta mstuko kwenye jamii,wananchi wametilia shaka uweledi wa jeshi,wamelidhalilisha jeshi na nchi kwa ujumla...
HATA KAMA HABARI NI YA UKWELI KUNA HAIKUPASWA IANDIKWE VILE AS LONG AS USALAMA WA TAIFA UNAHUSIKA....

Nimejaribu tu kufikiria na akili zangu za asubuhi
 
title haijalishi ni nini, wala haijalishi kesi imefunguliwa na nani, ishu ni kwamba hiyo ni kesi, hukumu haijatoka bado, hivyo huwezi sema wameiba kifaru, wakati haijathibitishwa

sawa mjeda, ila kanusheni na wekeni habari sawa, sio kutisha waandishi wa habari

kanusheni kwa kusema taarifa imekosea, ila sio kufaru hakijaibiwa

wakati JWTZ wenyewe ndio waliofungua kesi
 
Ndiyo hapo Mkuu ujiulize Serikali yako je inaongozwa na Musukule??
Coz Mwandishi Kaishuhudia Kesi Mahakamani Kuwa Wananchi 20 wameshikiliwa Na Jeshi la Polisi na Kufikishwa Mahakamani Kwa Kosa la Kuiba Kifaru cha JWTZ, sasa Kama Jeshi Linakataa Je, Wakuchukuliwa Hatua ni Nani! Mwandishi au Mahakama??

Na Je Kwanini Hao Wananchi Waliopo Mahakamani Hawaachiwi Huru na Kufutiwa Mashtaka Yao kwasababu Kutokana na Kuwa Jeshi Limeshakataa Kuwa Halijaibiwa, Kwa maana hiyo itakuwa Wamebambikiziwa Kesi?

Mkuu mimi nahisi JWTZ linakimbia aibu tu kwasababu Kuibiwa Kifaru ni Kosa Kubwa Kiusalama.
Mkuu unauhakika na hayo??
 
Back
Top Bottom