chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,982
kifaru kitaibiwaje kweli?
JWTZ yakanusha taarifa za kuibwa kwa kifaru, lasema taarifa hizo hazina ukweli, lasisitiza ulinzi katika maeneo ya jeshi uko imara.
Hata hivyo Jeshi hilo limelitaka Gazeti la Dira kuomba radhi Mara moja wakishindwa kufanya hivyo hatua Kali na za kinidhamu zitachukuliwa dhidi yao.
![]()
Chanzo: ITV
Mambo ya kuandika habari za uongo juu ya vyombo vya ulinzi! Atatamani ardhi ipasuke aingie ndani manake anaweza kulazimishwa kumeza kifaru!Atajuta kuzaliwa huyo aliyeandika hiyo Habari
Na analiiba kwenda kulifanyia nini huko kijijini? Afadhal lingekuwa trekta tungesema atalitumia kwenye kilimoHahahaha hivi dude kama hilo mtu anaibaje jamani ??? Tena mwana kijiji au alikua mstaafu ,? Hivi linaendeshwa kama gari ?
Asulubiwe tu!! Hakuna namna!!Mambo ya kuandika habari za uongo juu ya vyombo vya ulinzi! Atatamani ardhi ipasuke aingie ndani manake anaweza kulazimishwa kumeza kifaru!
Ndio maana nilishindwa hata kuchangia ule uzi ulioletwa nikawa najiuliza maswali yasiyo na majibu ,Na analiiba kwenda kulifanyia nini huko kijijini? Afadhal lingekuwa trekta tungesema atalitumia kwenye kilimo
Kweli mjomba,ukiweka akiba ya maneno hutakuja kujutaNdio maana nilishindwa hata kuchangia ule uzi ulioletwa nikawa najiuliza maswali yasiyo na majibu ,
Labda huko kijijini angeenda kusagia kahawa