haa mym
JF-Expert Member
- Jul 7, 2014
- 4,857
- 4,656
Ndio hiyohiyo mkuu kwani kuna shida?Aiseee.. Na Serikali hii ya sasa ya Magufuli..!
Ndio hiyohiyo mkuu kwani kuna shida?Aiseee.. Na Serikali hii ya sasa ya Magufuli..!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka sana mkuu lakini isije kuwa wewe ndio unamatatizo ya viungo vyako vya kufikiri maana hiyo avatar duh[emoji15]Lazima unamatatizo ya viungo vya kufikiri
Nakubaliana na wewe kabisa na umeandika kile nilichotamani nikiandike mimi pia, JW waeleze ukweli utakaokanusha ule ukweli wa DIRA, sio short statement zisizo na kichwa wala miguu
Lazma kilipitia mbinguni [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Wawachukuliewawachulie hatua hata wakiomba radhi ebo! si wamelidhalilisha jeshi letu
Twiga alipanda Helicopter...Hakika hii nchi ni ya maajabu[emoji23][emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama container zinapotea nini kifaru bana, mbona fresh tu acheni kujistukia.
eti wakamis kimoja. Dubwana hilo limekuwa sindano?Inawezekana hakikuibwa ila kilisahaulika kwa bahati mbaya nje ya nyumba ya mwanakijii mmoja, wakati wakufanya stock wakagundua kimoja kina misi.
Kwa hiyo kule mahakamani kuna kesi inayohusu nini?Hilo gazeti kwa uzushi lina kiwango cha lami.
Hivi kama kesi ipo mahakamani na jeshi limekanusha si tayari watuhumiwa wanakuwa huru? Maana inakuwa ni kesi hewa.Kesi ya kubambikiwaMwandishi kwenye hiyo habari anasema ni kesi iliyomahakamani, sasa hapa tumwamini nani, mahakama, mwandishi, jeshi?
Wanakuwa huru na kumdai mshtakiwa juu kwa muda aliowapotezeaHivi kama kesi ipo mahakamani na jeshi limekanusha si tayari watuhumiwa wanakuwa huru? Maana inakuwa ni kesi hewa.Kesi ya kubambikiwa
Inabidi tukachunguze Kama kuna kesi ya namna hiyo!!Mwandishi kwenye hiyo habari anasema ni kesi iliyomahakamani, sasa hapa tumwamini nani, mahakama, mwandishi, jeshi?
Hapana, walilikodisha kijijini kwaajili ya kuulia tembo, sasa wanakijiji wakasahau kulirudisha.eti wakamis kimoja. Dubwana hilo limekuwa sindano?
Mi nikidhani ni April mosiJWTZ yakanusha taarifa za kuibwa kwa kifaru, lasema taarifa hizo hazina ukweli, lasisitiza ulinzi katika maeneo ya jeshi uko imara.
Hata hivyo Jeshi hilo limelitaka Gazeti la Dira kuomba radhi Mara moja wakishindwa kufanya hivyo hatua Kali na za kinidhamu zitachukuliwa dhidi yao.
![]()
Chanzo: ITV