JWTZ Wakanusha taarifa za kuibiwa Kifaru

JWTZ Wakanusha taarifa za kuibiwa Kifaru

Habari hii ilianzia wapi!??

Ni sawa na mwanamke kuibiwa Pussy.
 
Kwa akili ya kawaida kuna mtu ambae alitegemea jeshi lingekubali..mana mwandishi kasema kesi hiyo kaitoa mahakamani afu mtu anakanusha ki kawaida tu
 
Mwandishi kwenye hiyo habari anasema ni kesi iliyomahakamani, sasa hapa tumwamini nani, mahakama, mwandishi, jeshi?


Na mimi Nilikuwa najiuliza swali hilo hilo.. coz kwa taarifa ya mwandishi ni kuwa kesi iko mahakamani na amemnukuu mpaka Hakimu sasa hapo ndio nachanganyikiwa
 
Mnorera lindi vijijini kifaru kiliacha njia na kuingia kwenye nyumba na kuua lakini habari zilikanushwa
 
Siku si nyingi atatolewa mtu kucha mimi yangu macho.Bora uandike habari za kumkashifu Lowassa utaheshimika ila hizo zingine.................
Tena utapata uenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ......!.
 
Mimi na amini huenda ukweli ukawepo hao jamaa wanajitetea tu, kwani mara ngapi mabomu yana ripuka kambini? Hao huwa hawako makini waambie kutwanga makongamano tuuuuu
 
Jamani kama kuna magaidi mtuambie ,cyo mpaka cc raia tuumie ndo mambo mengine wasema
 
JWTZ yakanusha taarifa za kuibwa kwa kifaru, lasema taarifa hizo hazina ukweli, lasisitiza ulinzi katika maeneo ya jeshi uko imara.

Hata hivyo Jeshi hilo limelitaka Gazeti la Dira kuomba radhi Mara moja wakishindwa kufanya hivyo hatua Kali na za kinidhamu zitachukuliwa dhidi yao.

ClY_I9oVAAEsSEt.jpg:large


Chanzo: ITV
Kuna maswali bado wanapaswa waueleze umma wa watanzania kwa kuwa kwa muda mrefu hili suala la Kijiji cha Tondoroni limekuwa likiripotiwa na vyombo vya habari kwa muda mrefu. Jeshi letu linataka kutumia mabavu kuuzima ukweli kwamba wamekuwa wakiwanyanyasa raia wa Kijiji cha Tondoroni kwa muda mrefu. Ni vyema wakatutanabaisha:
Je wanaweza kutueleza ukweli ukoje na sio taarifa za juujuu?
Je ni kweli kulikuwa na shauri linaowahusu hao wananchi wa Kijiji cha Tondoroni ambao wamebambikiziwa kesi ya ajabu ajabu?
Je ni kweli wananchi hawakulipwa fidia?
Je aliyekula pesa za fidia kwa hao wananchi ni nani?
 
Habari: JWTZ yakanusha taarifa za kuibwa kwa kifaru, lasema taarifa hizo hazina ukweli, lasisitiza ulinzi katika maeneo ya jeshi uko imara
Hata hivyo Jeshi hilo limelitaka Gazeti la Dira kuomba radhi Mara moja wakishindwa kufanya hivyo hatua Kali na za kinidhamu zitachukuliwa dhidi yao.
Source ITV Facebook page.
 
JWTZ yakanusha taarifa za kuibwa kwa kifaru, lasema taarifa hizo hazina ukweli, lasisitiza ulinzi katika maeneo ya jeshi uko imara.

Hata hivyo Jeshi hilo limelitaka Gazeti la Dira kuomba radhi Mara moja wakishindwa kufanya hivyo hatua Kali na za kinidhamu zitachukuliwa dhidi yao.

ClY_I9oVAAEsSEt.jpg:large


Chanzo: ITV
Hivi ni hatua kali za kinidhamu, au za kisheria!!!??? Ukiona hivi wanataka kuvunja sheria....
 
June 20, 2016

JWTZ yatoa ufafanuzi kuhusu Kifaru kilichoripotiwa kuibiwa.

''Kifaru'' kilikuwa kipo ktk eneo la kufanyia mazoezi ya shabaha ndani ya eneo la kijeshi. ''Kifaru'' hicho kilikuwa ''scrapper'' na kutumika kama ''object'' kwa ajili ya kufanyia mazoezi ya ''range'' ili kupiga shabaha kwa kutumia zana mbalimbali za kijeshi.



Source: Millard Ayo
 
Mfano wa hali halisi inavyokuwa katika eneo la kufanya mazoezi ya vifaru vya kijeshi.

FIRST CORPS, TANK TRAINING EXERCISES

Source: AP ARCHIVES
 
June 20, 2016

JWTZ yatoa ufafanuzi kuhusu Kifaru kilichoripotiwa kuibiwa.

''Kifaru'' kilikuwa kipo ktk eneo la kufanyia mazoezi ya shabaha ndani ya eneo la kijeshi. ''Kifaru'' hicho kilikuwa ''scrapper'' ikitimika kama ''object'' kwa ajili ya kufanyia mazoezi ya ''range'' ili kupiga shabaha kwa kutumia zana mbalimbali za kijeshi.



Source: Millard Ayo

Halafu pamoja na kwamba kilikuwa scrapper lakini kikaibwa na kwenda kutelekezwa kijijini
-ni wananchi wangapi wanajua kuendesha kifaru?
-funguo walipata wapi?
-nini kiliwatuva mpaka kuingia eneo la jeshi na kuondoka na kifaru?
Iko hivi , ;
Tu assume kweli kabisa kilikuwa eneo la jeshi la mazoezi tuite ranging n firing targets
Na kwamba kiliwekwa hapo kama scrapper
Lakini je hakukuwa na mpango/mipango ya ndani kwa ndani(kwa sababu isiyojulikana)kwamba kiliandikwa ni kibovu lakini kumbe ni kizima?
Na mipango ilipokamilika kikatolewa na pengine kufika kijijini mafuta yakakata ama mpango usiojulikana ukafa ama kuahirishwa?
Tofauti na hapo ni mpango uliopangwa kwa makusudi ili kuwakomoa wananchi wa eneo husika
 
NAAMINI JW WANGE KAA KIMYA, WENGI TUNGEIPA HABARI HII UZITO MDOGO. KUKANUSHA NAONA KUMETOA NAFASI YA WENGI KUDADASI. LAKINI NI VEMA WATU NA HASA WANDISHI WAKAJUA NINI MAANA YA SIRI ZA SERIKALI, NA UPI MPAKA WA KUZIANIKA.
 
Back
Top Bottom