Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,185
- 3,547
wanaangalia shahada yako kwanza ni ya kozi gani kwa mfano kama umesoma shahada za kijinga jinga unapewa vv mbili kama umesoma shahada ya ukweli nyota mbili mpaka tatu..........so shahada yako ni ya nini