JWTZ/TPF na wahitimu wa shahada ya kwanza

Mtu mmoja tu atakayesikia kuna nafasi aniambie nitamsaidia bila malipo yoyote, ili mradi tu awe na vigezo vyote.
 
Poa mkuu bt ingekuwa vyema endapo ungetujuza endapo nafasi hizo zikitangazwa!
 
Degree, utaanza na nyota mbili (luten ) ila baada ya kupitia mafunzo ya officer kadeti, ambayo kwa mtu mwenye degreehua miezi sita, ila kabla ujaenda katika kozi hiyo utapitia kozi ya pamoja ambayo ni miezi 6 jumla ina kua mwaka, maslai ni mazuri na ukitanguliza uzalendo itakua nzuri...
 
Je, Wana JF mhitimu wa shahada ya 1 anaweza Kunufaika kwa kiasi gani akijiunga na JWTZ/TPF kwa kipindi hiki cha ukosefu wa ajira kama wimbo wa taifa letu?.Tafadhalini sana mchango wenu ni wa muhimu sana kwangu wakuu.:spy:
 
Maslahi yapo wakuu, tena ni mazuri sana, inshu ni kuvumilia miezi sita ya kwanza na 6 mingine kwa wenye profession. Jeshi la zamani ni tofauti sana na lasasa. Miaka ya nyuma mm nakumbuka ndugu walikua wakiambiwa waende jeshini wanakataa kabisa sababu maslahi yalikua hamna kivile hasa kwa askari wa chini. Lakini sasa hivi kunabenefits nying ambazo askari jeshi anazipata kuanzia yule ambaye hana profession hadi mwenye profession hizi tena huingizwa kwa wakati tofauti na majeshi mengine nchini. Na kuna allowance ya umeme na maji nadhani nayo walikua wanaijadili iwepo. But nitauliza vizuri ilifikia wapi. Nampa like huyo aliyesema mshahara si chini ya 800,000 + other benefits.
 
siku hizi wanafanya kwa siri sana, nadhani wanataka waombao waonyeshe uzalendo!
 
Nyota mbili, 800,000/-,posho 300,000/-, posho ya taaluma ilikuwa i80,000/-,mengine kama umeme na maji sitataja .
 
Ndio maana hatuongei sana mkubwa. Wengine wagonjwa wasije wakataka kuhonga siku ya kupimwa afya then kwenye kwata wakakimbia.
 
Inategemea na degree yenyewe.
Kama ni daktari basi unaanza na nyota tatu yaani captain kwa degree ya kwanza, degree ya pili na tatu daktari anaanza na meja. Degree nyingine wanaanza na nyota mbili kwa barchelor.

Kazi ya jeshi ni adventurous. Kama lengo lako ni kupata ajira tu, kazi hii achana nayo - hutaiweza. Inahitaji mtu aliyejiandaa kisaikolojia na aliye tayari kujitoa. Hii siyo ajira ya kawaida. Ni kazi ambayo "anything anytime" ukiambiwa kazi Mwanza no discussion na unaona tu kwenye ubao wa matangazo (Order) saa nane mchana.
 
Hapa chakujua sio mshahara ama vyeo, TUNATAKA KUJUA NI KWANAMNA GANI TWAWEZA KUJIUNGA, UTARATIBU UKOJE NA LINI WATATOA!
 
Inategemea na degree yenyewe.
Kama ni daktari basi unaanza na nyota tatu yaani captain kwa degree ya kwanza, degree ya pili na tatu daktari anaanza na meja. Degree nyingine wanaanza na nyota mbili kwa barchelor.

Kazi ya jeshi ni adventurous. Kama lengo lako ni kupata ajira tu, kazi hii achana nayo - hutaiweza. Inahitaji mtu aliyejiandaa kisaikolojia na aliye tayari kujitoa. Hii siyo ajira ya kawaida. Ni kazi ambayo "anything anytime" ukiambiwa kazi Mwanza no discussion na unaona tu kwenye ubao wa matangazo (Order) saa nane mchana.

kwenye NO DISCUTION apo nimepakubal mkuu
 
Degree, utaanza na nyota mbili (luten ) ila baada ya kupitia mafunzo ya officer kadeti, ambayo kwa mtu mwenye degreehua miezi sita, ila kabla ujaenda katika kozi hiyo utapitia kozi ya pamoja ambayo ni miezi 6 jumla ina kua mwaka, maslai ni mazuri na ukitanguliza uzalendo itakua nzuri...

Vipi kipindi cha mafunzo kuna malipo yoyote?Pia vipi kama una CPA unaanza na cheo gani?
 
Back
Top Bottom