JWTZ/TPF na wahitimu wa shahada ya kwanza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JWTZ/TPF na wahitimu wa shahada ya kwanza

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by RORYAKWETU, Nov 21, 2011.

 1. RORYAKWETU

  RORYAKWETU Member

  #1
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Je, Wana JF mhitimu wa shahada ya 1 anaweza Kunufaika kwa kiasi gani akijiunga na JWTZ/TPF kwa kipindi hiki cha ukosefu wa ajira kama wimbo wa taifa letu?.Tafadhalini sana mchango wenu ni wa muhimu sana kwangu wakuu.:spy:
   
 2. d

  david shayo Member

  #2
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 21
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Utapawe nyota moja halafu wanakuloga ufe
   
 3. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #3
  Nov 21, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Da!Aisee michango mingine hatari sana.
   
 4. s

  sunday isdory Member

  #4
  Nov 21, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  aiseeeeeeee!!!!! wonderful!!!!!!!!!!!!! guys! bado kuna imani za kulogwa tena?:lol:
   
 5. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #5
  Nov 21, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  unaweza usiamin ila uchawi upo sana jeshini.
   
 6. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #6
  Nov 21, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Miaka ya hivi kribuni jeshi limekuwa likiajiri sana wanataaluma wenye shahada.Fatilia na ikibidi fika wizarani mwenyewe ukapate maelezo ya kina.Nina imani unaweza ukatokea jeshini na ukatimiza ndoto zako.
   
 7. RORYAKWETU

  RORYAKWETU Member

  #7
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Hivi ni kweli lakini?
   
 8. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #8
  Nov 21, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  makubwaa!!
   
 9. m

  mnyakyusa JF-Expert Member

  #9
  Nov 21, 2011
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 248
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ukimaliza mafunzo ya awali ya Kuruta miezi 9 unaenda moja kwa moja Monduli kusomea Uofisa wa jeshi ukimaliza unalamba mawe matatu yaani unakua Captain
   
 10. RORYAKWETU

  RORYAKWETU Member

  #10
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
   
 11. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #11
  Nov 21, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Oya,pay lao huwa linaanzia shiling ngap,maana me siogopi kulogwa.
   
 12. RORYAKWETU

  RORYAKWETU Member

  #12
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Shukran sana kaka kwa ushauri wako wa kizalendo na wa kimaendeleo nimefurahi sana:tongue:
   
 13. RORYAKWETU

  RORYAKWETU Member

  #13
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Hilo nalo neno ngoja wadau watutoe utata.Hongera sana mkubwa:tongue:
   
 14. RORYAKWETU

  RORYAKWETU Member

  #14
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Je, hayo mafunzo ya uofisa ni mda gani?:spy:
   
 15. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #15
  Nov 21, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,828
  Likes Received: 930
  Trophy Points: 280
  Kwa kawaida ni mwaka mmoja ila ukimaliza nasisitiza UKIMALIZA mana mtiti wake si mchezo..kwanza usingizi ule wa 6 weeks ni balaa kabisa na pia ile kazi ni ngumu lazima hasa uvumilie kweli kweli...ukimaliza unapewa nyota moja yaani Luteni usu baadae utapanda na kuwa Full Lieutenant...
   
 16. miltonemmanuel

  miltonemmanuel New Member

  #16
  Nov 21, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dah kaka! mbona wanajeshi wengi hawana maendeleo,unalichukuliaje hili.........!!!
   
 17. LE GAGNANT

  LE GAGNANT JF-Expert Member

  #17
  Nov 21, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 1,247
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  maendeleo ni ya mtu binafsi, namna utakavyoitumia fursa.
   
 18. J

  John Kangethe Member

  #18
  Nov 21, 2011
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 75
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jeshi ni shughuli pevu. Inahitaji uvumilivu. Halafu nasikia (not proved) kuna mchezo mchafu wa wakubwa (boss) kuwa-ambukiza wadada wadogo magonjwa ya zinaa. Wadada hasa wale warembo wanapewa mazoezi magumu sana mpaka wana-surender kwa boss wao. Hatimayake ndiyo hivyo wanaishia pabaya (HIV). Ni mchezo mchafu sana huu huko jeshini na JKT.
   
 19. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #19
  Nov 21, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Si kweli.Life is how you make it!Maendeleo pamoja na mambo mengine inategemea na utashi wa mtu mwenyewe.Wako walipata kuwa makamishna wa wizara na wakurugenzi hawana maendeleo.Na wapo watu wanafanya kazi za kawaida kabisa,,walinzi,makarani,wapishi nk wamefanya mambo makubwa ya kushangaza.Ondokana kabisa na hiyo misconception.
   
 20. Kisima

  Kisima JF-Expert Member

  #20
  Nov 21, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 3,768
  Likes Received: 2,228
  Trophy Points: 280
  Mura! Hatarı sana hıı mura!
  Utasota zaıdı ya mwaka pale twalıpo camp (kurasını) baadae wanakutupa kure mondurı unajıokotea rınyota rako kwa kusota sana bıra kura vızurı arafu unakuja unakaaa camp tena!
  Mı nımeshuhudıa rafk zangu waksota sana ıra kama we nı rıjasırı nenda bwana ukagangamare mura!
  Ira msıkırıze sana mura alıyekuambıa kuwa kuna uroszı mkarı sana kure jeshını sıku hızı! Kure utakutana na wazee warıobobea hawatakı kupga sarutı mura, akıkupgıa mara moja mara ya pırı razma ufe mura!
  Kama una ndg yako kure ngererngere muurıze wangapı wamerest ın peace kwajırı ya ujıko wa sarute mura!
   
Loading...