MimiT
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 599
- 388
Labda viwavi jeshi......
......Mkuu unazungumzia jeshi gani
Labda viwavi jeshi......
......Mkuu unazungumzia jeshi gani
....Jeshi la nchi gani mkuu? Na la mwaka gani? Fanya utafiti vizuri halafu urudi hapa!
hivi huyo mvaa nyekundu unayemsema kafundishwa na nani?
jwtz ni hatari aisee
Mimi nimechukulia huyo mama ndio JwtzIngelikuwa JW huyo mama angechapwa makofi...
Usifananishe Busara ya polisi ma busara ya JW... Naweza kusema kati ya taasisi zenye nidhamu na busara polisi wanaongoza
Mm naonaga mara nyingi wanajeshi huwa wanakuwaga wakolofi Na hawapendi kutii Sheria Na ni wadhalilishaji sana mm siku moja nimeshudia mwanajeshi anamchania mwanamke nguo maziwa yote yakabaki nje tena mbele za watu.
Kisa kile kiblauzi kilikuwa kinatualama twa kijeshi.
Upo nyuma sana mkuu. Darasa la saba ilikuwa ni enzi za mwalimu, ambao wengi sasa hivi wamestaafu au wamebaki kidogo sana.Ukweli ni kwamba JW wengi ni darasa la Saba Huu ndio ukweli mchungu, elimu ni tatizo na hawajipangi kabsa kimaisha wapo hovyo ndio maana walioenda jkt utasikia ahhh me nataka JW tuu ebu fuatilia elimu Yao wengi form four failure na last Saba ila huwezi ingia police hata uwe mtoto wa nani, kingine majukumu ya polisi ni tofauti na jw.
Watu wengi wanapenda wanajeshi kwa kudhani kuwa ni wastaraabu ila ukweli ni kwamba hawafanyi kazi zinazojihusisha na wanainchi moja kwa moja iwapo wakipewa wajibu huo ndani ya siku moja mtawaona polisi ni malaika kutokana na utendaji wao.
Siyo 'Feed force unit' ni 'Field Force Unit'.Feed force unity au,
Nipo nyuma kivipi? Inawezekana we ndio upo nyuma ebu karibu kuuliza usiulize polisi ama wanajeshi ebu jaribu kwa majeshi mengine darasa la Saba kila mwaka wanaenda coz jw na issue ya mishahara ipo vizuri wanajeshi wanapewa posho zao sitahiki.Upo nyuma sana mkuu. Darasa la saba ilikuwa ni enzi za mwalimu, ambao wengi sasa hivi wamestaafu au wamebaki kidogo sana.
Sasa hivi askari ngazi ya chini qualification ni form four na huu utaratibu una muda mrefu tu.
Maafisa wa jeshi qualification ni degree ya kwanza, na wale walioajiriwa wakiwa na elimu ya form six wengi wamejiendeleza kielemu.
Na pia mishahara ya wanajeshi imeboreshwa ni ya kuridhisha, zamani walikuwa hawana uwezo wa kukopa kutoka taasisi za kifedha ila sasa hivi wanakopesheka, hata askari wa ngazi za chini maisha yao yameboreshwa si kama zamani.
Tuwe tunaongea vitu ambavyo tuna uhakika navyo na si kupotosha.
Mi nadhani tujadili tabia zao ambazo kweli haziridhishi. Ni wababe pasipo sababu.
Hahahhaahhahahah [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenikumbusha jkt daaaah asantehuo ugomvi hautaisha na ndio kwanza unazidi kukuzwa.
afande:kuruta makofiiiiiiiiii
kuruta[emoji14]a pa pa pa....
afande:sengwile makamandaaaaaa...
kuruta:sengwile makamanda..
afande:nalela kumanya...
kuruta:aiyeeeeeeeeeeeeeee
afande:kazi ya jeshi ni ngumu
kuruta:aiyeeeeeeee
afande:yahitaji kuvumilia
kuruta:aiyeeeeeeee
afande:usiwe kama polisi
kuruta:aiyeeeeeeeee
afande[emoji14]ushapu kwenye godoro
kuruta:aiyeeeeeee
afande:uwe kama lisoja..
kuruta:aiyeeeeeee
afande[emoji14]ushapu kwenye kokoto
kuruta:haiwezekani kamanda kupigwa na polisi
kuruta:haiwezekani kamanda kupigwa na polisi
afande:usiwe kama polisi
kuruta:aiyeeeeeeeee
afande:kutwa kucha nakirungu
kuruta:aiyeeeeeeeeeeeee
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
afande:
ole wako siku nimeshuka ubungo nakuona umekunjwa na polisi au teja .
hahahaha
mahovyo hovyo....
Si kweli hizo ni hadithi za miaka ya themanini hadi katikati ya miaka ya tisini ukiondoa uwezo binafsi, basics za mafunzo ya watu hawa ni tofauti kabisa... hao mnaosema huvaa kofia nyekundu hawasogelei hata tifu la raia mpaka wahakikishe mabomu ya machozi yamekolea.Kiboko yao wavaa kofia nyekundu (FFU) ....labda Komandoo lakini JWTZ wa kawaida hasogei kwa mvaa kofia nyekundu ...
Sijakuelewa vizuri. Inawezekana pia darasa la saba wapo lakini hao ni wale wapishi, wafagiaji na upande wa sports (kama nimekosea hapa nirekebishwe).Nipo nyuma kivipi? Inawezekana we ndio upo nyuma ebu karibu kuuliza usiulize polisi ama wanajeshi ebu jaribu kwa majeshi mengine darasa la Saba kila mwaka wanaenda coz jw na issue ya mishahara ipo vizuri wanajeshi wanapewa posho zao sitahiki.
....Dah! Kumbe huu ugomvi upo hadi huko Tanzania. Jameni hii ilitukost sisi Wakenya wakati wa Westgate.
Eti wanajeshi hawaamini kufanya operation moja na polisi, tatizo linakua yupi amwamrishe yupi.
Makomando wa polisi ambao wamepewa mafunzo maalum ya kupigana na magaidi, walianza kuwapigana na Alshabaab na walikua wamedhamiria kumaliza mchezo ndani ya dakika 30. Sasa ghafla wanajeshi wa KDF wakaingia na wakampiga polisi mmoja, iliwabidi hao makomando kugeuza na kuwaachia KDF ngoma. Tatizo ni kwamba, wanajeshi mafunzo yao ni vita vya kule mbugani na sio kuviziana ndani ya jengo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] upo global publishers nn mkuu. Maana hiyo riwaya inasisimua.Mie sio askari, Siku moja nilipark gari mahali nikaizima lkn, sikushuka...kumbe nyuma yangu kwa ktkt imekuja pikipiki imepark pia! Sasa wakati nataka kuondoka kwa kurudi nyuma kidogo nikaigonga ile pikipiki ikaanguka! Nilipo shuka nikakuta mwenye pikipiki amefura kwa hasira na akanimwagia matusi yanguoni kuwa sina akili, nikamshangaa na nikamueleza wazi kuwa hana busara jambo hilo ni dogo tu na kwakuwa hakuna mahali pikipiki ili haribika! Akawaka yule baba!! Nikamwambia any way tu mpigie polisi amalize jambo hilo....!! Kabla sijamaliza nikaona yule bwana a narusha ngumi kuelekea usoni kwangu!! ....kabla ile ngumi haijatua nilipata muda wa kushangaa na kufanya uamuzi! ...ngumi nazijua kiasi hasa kwa mtu asie nijua sio rahisi kunishinda ! ...wakati ngumi yake inakaribia kutua mie nilikuwa nimerusha teke kwa spidi kuelekea kwenye kifua chake... mkono na mguu ukipiga vizuri mguu mrefu!! ...na kwakuwa alitumia nguvu ilisaidia lile teke kuingia kifua ni barabara!! Nikamwona anayumba kuelekea nyuma, si kumpa nafasi kikampiga mtama kwa nguvu! Akaanguka kwa nyuma ya shingo hivi...nilikuwa nimehisi huyu mtu anajua kupigana hivyo wakati anatua chini pembeni yangu niliona kreti yenye chupa za soda nilifanya upesi sana nikamchapa nayo usoni!! Hili tukio limechukua muda kusimulia....lkn mpambano chini ya Sekunde!!
Wakati na namtuliza na kreti yule mtu...ndio nikasikia kele anampiga mwanajeshi! !
******nilifanikiwa kuondoka eneo la tukio jamaa akiwa hoi chini!! Nikavuta rivasi ya nguvu huku nikiigonga tena pikipiki......huyooo ! ! ...nikatokomea...bahati nzuri tukio lile nilifanya ugenini!!
*********
.... Wanajeshi kuwe ni waungwana! !
Sijakuelewa vizuri. Inawezekana pia darasa la saba wapo lakini hao ni wale wapishi, wafagiaji na upande wa sports (kama nimekosea hapa nirekebishwe).
Hata hizi post za jeshi jkt zilizotoka juzi qualification ni form four. Kuna mtoto kamaliza form four mwaka juzi alitaka kujiunga lakini imeshindikana kwasababu hana cheti alipata zero.
Maafisa wa jeshi hakuna darasa la saba, form four wala form six. Wote ni kuanzia degree ya kwanza. Na wengi ambao waliajiriwa wakiwa wana elimu ya form six wamejiendeleza kielimu.
Jeshi lina kazi mbali mbali, qualifications tofauti tofauti. Kusema wanajeshi hawana elimu si sahihi hata kidogo. Haipo hivyo.
Mwenye uelewa zaidi atanirekebisha.
[emoji15] [emoji15] Umeyumba hapo na wewe. Ni "field force unit"Siyo 'Feed firce unit' ni 'Field Firce Unit'.