MMOJA ANALINDA MIPAKA YA NCHI ISIVAMIWE NA MAADUI,mmoja analinda usalama wa raia ndani ya nchi. MMOJA MKUBWA,mwingine mdogo......Huko porini kuna ugomvi mmoja ambao ni very natural; upo tangu mwanzo hadi ukamilifu wa dahari; hauwezi kusuluhishwa kwa namna yoyote kwa sababu kujaribu kufanya hivyo ni kumtakia mmojawapo kifo. Hawa jamaa wanaitwa "eternal enemies" na sio wengine bali ni simba na fisi.
Simba hawezi akavikuta vichanga vya fisi akaviacha ni lazima aviue na fisi naye hivyo hivyo ni lazima aviue vichanga vya simba vinapokuja katika anga zake. Always wao ni mapigano wakigombea msosi na kuuliana vichanga - ndivyo ilivyo kwa JW na Polisi wa nchi hii ugomvi wao hauelezeki wala hauna sababu ila hautaisha - upo tu naturally. Hata kama wakubwa majukwaani watachekeana kinafiki lakini mioyoni wanagombana.
Hivi wajua physical fitness z wanajeshi? Wana vitengo vingi ambavyo vinakaribiana na commando level.....acha kabisa polisi w mafunzo ya kawaida sana karate basic na general fitness! Wanajeshi wanafundishwa kukupiga na kukuua ndani muda mfupi sana! Hajafundishwa kukamata! Anaua.....!! Hata mazingira, wale wanajeshi wako kambini ful time wako mazoezi kila siku ndio order....polisi akitoka depo....yuko kazini muda mwingi hata mazoezi hawana tena!
mkuu utawaponza hao wenye kofia nyekundu unaowasema mana wataanza kupigwa kushinda hawa wengine.ngoja hii comment waione jwtz halafu usikie kesho pale madafu ukonga kumetokea nini.watafuatwa mule muleWale jamaa wa polisi wanaovaaga kofia nyekundu ndio wanaowaweza hawa jamaa peke yao
hivi huyo mvaa nyekundu unayemsema kafundishwa na nani?Kiboko yao wavaa kofia nyekundu (FFU) ....labda Komandoo lakini JWTZ wa kawaida hasogei kwa mvaa kofia nyekundu ...
Feed force unity au,
ilikuwa zamani ila cku hizi wakikujua ww jwtz uliompiga polisi mwenzao watakomaa mpk utiwe ndani aiseeHizi habari za JWTZ kuwapiga Polisi au Polisi kuwapiga JWTZ huwa ni za kujirudia kila mara
Sijawahi sikia JWTZ kampiga magereza au zimamoto.
Hasa Polisi mnatia aibu sana! kila siku mnakungutwa nyie! JWTZ wana nini cha ziada cha kuwapiga kila siku. Mbona mnatukunguta sana mkitukamata sisi raia!
JWTZ na POLISI mna ugomvi gani usioisha? sijawahi sikia viongozi wa Polisi au JWTZ wakiliongelea hili.
View attachment 344869
Wale jamaa wa polisi wanaovaaga kofia nyekundu ndio wanaowaweza hawa jamaa peke yao
Segerea kufanya nini?Aisee mkuu hii kitu imekatazwa. Yaani ungeweza kurekodi tukio mpaka muda huu huyo mwanajeshi angekua Segerea ananyea ndoo. Sasa hivi wakubwa wao wameweka sheria kali dhidi ya askari wao ambao miaka ya nyuma kidogo walijitia uwendawazimu ktk matendo yao. Mfano mara kufunga mtaa na kutembeza kisago kwa anayehusika na asiyehusika.
Feed force unity au,