Franco Zetta
JF-Expert Member
- Nov 3, 2014
- 1,661
- 843
NI FIELD FORCE UNIT (sio Firce) Waswahili wanasema Fanya Fujo Uone.Siyo 'Feed firce unit' ni 'Field Firce Unit'.
NI FIELD FORCE UNIT (sio Firce) Waswahili wanasema Fanya Fujo Uone.Siyo 'Feed firce unit' ni 'Field Firce Unit'.
sasa hivi ni nafasi ndogo sana wanapata walioishia class 7,jeshi limejikita kwa wataalam hasa waliomaliza degree na masters ndio wanachukuliwa wengiHapo kwenye shule ndogo nadhani unaongelea enzi za mwalimu. Wenye elimu ndogo sasa hivi wanaishia..wapo wachache ambao wanakaribia kustaafu. Sasa hivi jeshi linaajiri wasomi na hata wale ambao waliajiriwa wakiwa na elimu ndogo wanajiendeleza kielimu. Maafisa wa JWTZ karibu wote wanaoajiriwa sasa hivi wana degree zao.
Ni wale askari ndio wanaajiriwa wakimaliza form four.
Tatizo la hawa wanajeshi nadhani si la kielimu zaidi, ni vile wanataka kujionyesha kuwa wana nguvu na mabavu.
Sawa kabisa. Watu wanaongea vitu wasivyokuwa na uhakika navyo.sasa hivi ni nafasi ndogo sana wanapata walioishia class 7,jeshi limejikita kwa wataalam hasa waliomaliza degree na masters ndio wanachukuliwa wengi
Sisi ambao tunaishi maisha ya mtaani ndio tunawajua wanajeshi vizuri.wanakuwaga>>>>>>>>>>>>>>>>>>wanakuwa
wakolofi>>>>>>>>>>>>>>>>>>>wakorofi
Siyo kweli kuwa mara nyingi wanajeshi huwa wanakuwa wakorofi na kwamba eti hawapendi kutii sheria. Tatizo lililopo ni kuwa wananchi wa kawaida wengi wao hawana nidhamu ya kimaisha...mwanajeshi anafundishwa kutii sheria...bila nidhamu jeshini hakuna jeshi...sasa baadhi ya wanajeshi ambao wanafundishwa nidhamu wakija uraiani na kukuta watu wanaendesha maisha bila mpangilio na ya uvunjaji wa taratibu huwa wanakerwa sana na baadhi wachache hutaharuki...kumbuka pia mara nyingi wanajeshi huishi kwenye camps, ni wanajeshi wachache ambao huishi uraiani...Hilo la mwanajeshi la kumchania msichana 'blauzi' inawezekana pengine limetiwa chumvi, na pengine mazingira na majibu ya huyo msichana...Mimi binafsi, siku moja pale Ubungo karibu na TANESCO kijana alivaa Tshirt yenye rangi za mavazi ya kijeshi, palikuwa na askari pale akamuamrisha (kwa upole) yule kijana abadilishe T shirt ile, na yule kijana akaanza kujibu maneno ya kihuni. Ilibidi yule kijana baadaye avue T shirt ile kwa lazima...Ila ni kweli wako baadhi ya askari, wachache, ambao hutokea kuwa wakorofi. Kwenye wengi hapakosi kasoro lakini kwa ujumla TPDF ndiyo taasisi pekee kwa sasa ambayo kwa maoni yangu ina nidhamu ya hali ya juu nchini mwetu.
Dah! Kumbe huu ugomvi upo hadi huko Tanzania. Jameni hii ilitukost sisi Wakenya wakati wa Westgate.
Eti wanajeshi hawaamini kufanya operation moja na polisi, tatizo linakua yupi amwamrishe yupi.
Makomando wa polisi ambao wamepewa mafunzo maalum ya kupigana na magaidi, walianza kuwapigana na Alshabaab na walikua wamedhamiria kumaliza mchezo ndani ya dakika 30. Sasa ghafla wanajeshi wa KDF wakaingia na wakampiga polisi mmoja, iliwabidi hao makomando kugeuza na kuwaachia KDF ngoma. Tatizo ni kwamba, wanajeshi mafunzo yao ni vita vya kule mbugani na sio kuviziana ndani ya jengo.
Itakua wachina ndo wamewafundishahivi huyo mvaa nyekundu unayemsema kafundishwa na nani?
jwtz ni hatari aisee
Siyo 'Feed firce unit' ni 'Field Firce Unit'.
Mm naonaga mara nyingi wanajeshi huwa wanakuwaga wakolofi Na hawapendi kutii Sheria Na ni wadhalilishaji sana mm siku moja nimeshudia mwanajeshi anamchania mwanamke nguo maziwa yote yakabaki nje tena mbele za watu.
Kisa kile kiblauzi kilikuwa kinatualama twa kijeshi.
[emoji2] [emoji2] mkuu hii niliipata sawia kupitia jicho pevu.ilikuwa ni spoiled mission ever[emoji2] [emoji2].Dah! Kumbe huu ugomvi upo hadi huko Tanzania. Jameni hii ilitukost sisi Wakenya wakati wa Westgate.
Eti wanajeshi hawaamini kufanya operation moja na polisi, tatizo linakua yupi amwamrishe yupi.
Makomando wa polisi ambao wamepewa mafunzo maalum ya kupigana na magaidi, walianza kuwapigana na Alshabaab na walikua wamedhamiria kumaliza mchezo ndani ya dakika 30. Sasa ghafla wanajeshi wa KDF wakaingia na wakampiga polisi mmoja, iliwabidi hao makomando kugeuza na kuwaachia KDF ngoma. Tatizo ni kwamba, wanajeshi mafunzo yao ni vita vya kule mbugani na sio kuviziana ndani ya jengo.
Wanajeshi wengi bangi na shule yao ndogo.afu pia wanajesh huwa wanawaonea wivu police kimaslahi,maana ingawa police wanalipwa kidogo kuliko wanajesh lakin police wengi wengi wamejijenga kiuchumi kuliko wajeshi.
Huko porini kuna ugomvi mmoja ambao ni very natural; upo tangu mwanzo hadi ukamilifu wa dahari; hauwezi kusuluhishwa kwa namna yoyote kwa sababu kujaribu kufanya hivyo ni kumtakia mmojawapo kifo. Hawa jamaa wanaitwa "eternal enemies" na sio wengine bali ni simba na fisi.
Simba hawezi akavikuta vichanga vya fisi akaviacha ni lazima aviue na fisi naye hivyo hivyo ni lazima aviue vichanga vya simba vinapokuja katika anga zake. Always wao ni mapigano wakigombea msosi na kuuliana vichanga - ndivyo ilivyo kwa JW na Polisi wa nchi hii ugomvi wao hauelezeki wala hauna sababu ila hautaisha - upo tu naturally. Hata kama wakubwa majukwaani watachekeana kinafiki lakini mioyoni wanagombana.
Hivi lile agizo la yule Waziri mkuu mstaafu litakuwa halina nafasi kweli hapa au lili kuwa kwa raia tu?Wacha plisi nao wapigwe,wanatuonea sana
Mi naona hili swali ungemvizia mmoja wao umuulize.wanafundishwa na nani?hivi huyo mvaa nyekundu unayemsema kafundishwa na nani?
jwtz ni hatari aisee
Wanajeshi bangi +elimu ndogo.. Most of them ni vilaza
Sure hawa jamaa naishi nao.. Pia socialization ni very poorkuna mtu kanambia polisi wana uwezo mkubwa hata wa kureason kuliko jwtz... sijui ukweli wa hili
LA sasa.....Nina washkaji zangu ni form six na wameingi 2013 na form six et vina nyota....Jeshi la nchi gani mkuu? Na la mwaka gani? Fanya utafiti vizuri halafu urudi hapa!
Wanajeshi mafunzo yao hayaishi mpaka anastaafu, ndio maana wako fit kuliko polisi japo si wote, pia jeshini mafunzo yako very close hasa martial arts, ila FFU ni shida kama mjeshi yuko kizembe lazima achezee taikondo za kutosha,Kupambana kunahitaji uwezo mkuu
Wanajeshi mafunzo yao hayaishi mpaka anastaafu, ndio maana wako fit kuliko polisi japo si wote, pia jeshini mafunzo yako very close hasa martial arts, ila FFU ni shida kama mjeshi yuko kizembe lazima achezee taikondo za kutosha,
Huyu jamaaa anafikiri bado kuna darasa la saba jeshini, kama wapo wanaishia, wasomi ni wengi jeshini, tatizo la ugomvi kati yao ni jambo la kawaida maana wote ni binadam, kwani hujawahi shuhudia polisi akipigwa na raia au raia kupigwa na polisi? Hayo yapo kwa sababu hasira na magomvi yapo akilini mwa binadam wote ila tofauti ni namna ya ku control tu.Una uhakika na unayoandika au ni akili zako zinakutuma. Nenda na Bachelor au Master yako Jeshini uone kama utapata kazi kiurahisi kwa sababu unadhani huko hakuna wasomi au ufikiri utajikuta upo peke yako na hizo degree. Kwa taarifa yako wewe ndiye huna ELIMU. Kule kuna mpaka PhD na Maprofesor pia wapo. Nenda kajielimishe ndiyo uje kuandika usilete utumbo wa kijiweni hapa