JWTZ na Polisi mna ugomvi gani usioisha!

JWTZ na Polisi mna ugomvi gani usioisha!

Huyu jamaaa anafikiri bado kuna darasa la saba jeshini, kama wapo wanaishia, wasomi ni wengi jeshini, tatizo la ugomvi kati yao ni jambo la kawaida maana wote ni binadam, kwani hujawahi shuhudia polisi akipigwa na raia au raia kupigwa na polisi? Hayo yapo kwa sababu hasira na magomvi yapo akilini mwa binadam wote ila tofauti ni namna ya ku control tu.
Mr hata wenye bachelor,, ukishaingia porini uwezo wa kureason unaisha kabisa,, silaha yao inakuwa ni nguvu tu,, kichwani empty kabisa
 
jwtz ni ubabe tu na siyo mafunzo wala nini
Ni kweli hasa vijana ndo wana hizo tabia za kuonea watu au polisi lakini akikutana na wanaojiweza mjeshi anakula kichapo tu, tahadhari yake ukimpiga hama mtaa, pia usije ukapanga mkono na wajomba wa 92kj ngerengere/sangasanga, utavunjwavunjwa maana wako kiuhalisia zaidi.
 
Wanajeshi wengi bangi na shule yao ndogo.afu pia wanajesh huwa wanawaonea wivu police kimaslahi,maana ingawa police wanalipwa kidogo kuliko wanajesh lakin police wengi wengi wamejijenga kiuchumi kuliko wajeshi.
Wamejijenga kupitia Rushwa
 
Police wanapiga sana raia, rushwa sana kwa wanyonge. Hao raia ni ndugu wa wasoja. So acha wale kichapo wanapo ingia kwenye 18 za Makamanda wa kweli.
 
Mr hata wenye bachelor,, ukishaingia porini uwezo wa kureason unaisha kabisa,, silaha yao inakuwa ni nguvu tu,, kichwani empty kabisa
Hiyo ndio maana ya "armed forces" wamefundishwa kutumia nguvu na sio kusuluhisha, pia raia ndio wenye fujo kuliko hata wanajeshi, raia akipigwa lawama kwa JWTZ...
 
Huo ndio ubabe usio na maana ,kazi ya Navy Seals haiwezi kuwa sawa na Naval infantry ,Makomando wakageuza na kuwaachia KDF ngoma ? Kwani kwenye hiyo operation ya kuwaokoa watu westgate hakukua na joint chiefs ?

Hapakua na fursa ya kuunda joint command, ndio ilikua mara yetu ya kwanza kuvamiwa na magaidi waliongia kwenye jengo na kuanza kuua kila asiye muislamu. Ikawa kila kikosi kufanya mchakato wa kufika pale haraka iwezekanavyo, kwa vile makomando huwa wamesubiria matukio kama haya, wao walifika mara moja na kutathmini ngoma ilivyo, wakabuni fasta mkakati wa kufunga kitabu kwa dakika thelathini na wakaanza shughuli kishujaa na kikomando.

Ghafla KDF wakaingia kwa vurugu na ubabe, maana wao wamefunzwa kupiga bila kukamata. Kwa bahati mbaya wakampiga askari mmoja ambaye alikua kiongozi wa wale makomando, alikua anaongoza jeshi lake kwa mbele. Pakaibuka majibizano na ugomvi baina yao, makomando wakaona busara wageuze na kuwaachia wababe.

Sasa baada ya hilo tukio, mikakati imebuniwa ya kuwawezesha kufanya kazi pamoja, kifupi ni kwamba wakati inatokea ngoma kama hii, makomando wanapewa kipao mbele. Kama jinsi ilitendeka pale Garissa, makomando walifika na kuzima ngoma ndani ya dakika 12. Tazama hii video

huo ugomvi hautaisha na ndio kwanza unazidi kukuzwa.

afande:kuruta makofiiiiiiiiii
kuruta😛a pa pa pa....
afande:sengwile makamandaaaaaa...
kuruta:sengwile makamanda..
afande:nalela kumanya...
kuruta:aiyeeeeeeeeeeeeeee
afande:kazi ya jeshi ni ngumu
kuruta:aiyeeeeeeee
afande:yahitaji kuvumilia
kuruta:aiyeeeeeeee
afande:usiwe kama polisi
kuruta:aiyeeeeeeeee
afande😛ushapu kwenye godoro
kuruta:aiyeeeeeee
afande:uwe kama lisoja..
kuruta:aiyeeeeeee
afande😛ushapu kwenye kokoto
kuruta:haiwezekani kamanda kupigwa na polisi
kuruta:haiwezekani kamanda kupigwa na polisi
afande:usiwe kama polisi
kuruta:aiyeeeeeeeee
afande:kutwa kucha nakirungu
kuruta:aiyeeeeeeeeeeeee

>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
afande:
ole wako siku nimeshuka ubungo nakuona umekunjwa na polisi au teja .

hahahaha

mahovyo hovyo....
Mkuu umenikumbusha Rwamkoma 822 KJ...hii nyimbo ilikua inapendwa sanaa!! kuna mda tukiwa tunakula route ya jioni nje ya kikosi mnaweza kukutana na defender ya polisi....

Apo apo mnaanza kuimba hili chenja na mizuka ya kikuruta .. apo defender lazima ikae pembeni mpaka mpite wote... akati kiutaratibu inabidi sisi ndo tubane upande mmoja ili kupisha magari!!!
 
Hapakua na fursa ya kuunda joint command, ndio ilikua mara yetu ya kwanza kuvamiwa na magaidi waliongia kwenye jengo na kuanza kuua kila asiye muislamu. Ikawa kila kikosi kufanya mchakato wa kufika pale haraka iwezekanavyo, kwa vile makomando huwa wamesubiria matukio kama haya, wao walifika mara moja na kutathmini ngoma ilivyo, wakabuni fasta mkakati wa kufunga kitabu kwa dakika thelathini na wakaanza shughuli kishujaa na kikomando.

Ghafla KDF wakaingia kwa vurugu na ubabe, maana wao wamefunzwa kupiga bila kukamata. Kwa bahati mbaya wakampiga askari mmoja ambaye alikua kiongozi wa wale makomando, alikua anaongoza jeshi lake kwa mbele. Pakaibuka majibizano na ugomvi baina yao, makomando wakaona busara wageuze na kuwaachia wababe.

Sasa baada ya hilo tukio, mikakati imebuniwa ya kuwawezesha kufanya kazi pamoja, kifupi ni kwamba wakati inatokea ngoma kama hii, makomando wanapewa kipao mbele. Kama jinsi ilitendeka pale Garissa, makomando walifika na kuzima ngoma ndani ya dakika 12. Tazama hii video

Kwani kwenu kenya kikosi cha kommando kiko polisi au KDF?
 
Hawana ugonvi,wanajeshi wa vyeo vya chini wana matatizo na askari hvyo hvyo,ila wakati mwingne ikitokea polisi wamegoma wanajeshi ndo wanawinda na wanajeshi wakizingua polisi ndo watawawinda,mambo ya nani bora hakuna hapa,rudia historia ya majaribio ya mapinduzi ya serikali ya nyerere,wapangaji ni wanajeshi,watibuaji n askari polisi,ila askari wa zaman na sasa si sawa
 
Police mbona wanapigwa hata na raia!!!nini ajabu mwanajeshi.

Na wanajeshi wanatandikwa mara nyingi tu, na raia na police pia.

Ukitaka ujue mwanajeshi ni mwoga kudhalilika kuwepo na vipolisi flani hivi vinavaa kofia nyekundu hata kama kaonewa atakausha mwana haramu apite.
Hao wanaitwa Police Special Forces
 
Kwani kwenu kenya kikosi cha kommando kiko polisi au KDF?

Kuna kikosi maalum ambao ni paramilitary, yaani mafunzo yao ni ya polisi pamoja pia na ya kijeshi. Wao wapo general, wanaweza wakahusika kwenye shughuli za kijeshi na pia shughuli za polisi wa kawaida. Kama vile SWAT wale wa Marekani

Hii hapa picha ya mmoja wao

General%2BService%2BUnit%2BRecce.jpg

1.jpg
 
Wanajeshi wengi bangi na shule yao ndogo.afu pia wanajesh huwa wanawaonea wivu police kimaslahi,maana ingawa police wanalipwa kidogo kuliko wanajesh lakin police wengi wengi wamejijenga kiuchumi kuliko wajeshi.
Hasa wanapokuwa barabarani....
 
Kuna kikosi maalum ambao ni paramilitary, yaani mafunzo yao ni ya polisi pamoja pia na ya kijeshi. Wao wapo general, wanaweza wakahusika kwenye shughuli za kijeshi na pia shughuli za polisi wa kawaida. Kama vile SWAT wale wa Marekani

Hii hapa picha ya mmoja wao

General%2BService%2BUnit%2BRecce.jpg

1.jpg
Poa mkuu wapo vizuri, je, operational order wanapokea kutoka KDF au Police force wawapo kwenye mission?
Je KDF wanavikosi vya komando au hakuna? Ntafurahi ukinijib mkuu
 
LA sasa.....Nina washkaji zangu ni form six na wameingi 2013 na form six et vina nyota....

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Sawa. Waulize sasa hivi kama bado wana form six yao lazima wamejiendeleza au wana plan ya kujiendeleza. Wa mwaka juzi na mwaka jana sidhani kama kuna form six.
 
Huko porini kuna ugomvi mmoja ambao ni very natural; upo tangu mwanzo hadi ukamilifu wa dahari; hauwezi kusuluhishwa kwa namna yoyote kwa sababu kujaribu kufanya hivyo ni kumtakia mmojawapo kifo. Hawa jamaa wanaitwa "eternal enemies" na sio wengine bali ni simba na fisi..
...Ni kama Ugomvi wa Milambo na Tabora Boys...
 
Si kweli hizo ni hadithi za miaka ya themanini hadi katikati ya miaka ya tisini ukiondoa uwezo binafsi, basics za mafunzo ya watu hawa ni tofauti kabisa... hao mnaosema huvaa kofia nyekundu hawasogelei hata tifu la raia mpaka wahakikishe mabomu ya machozi yamekolea.
Watu hupenda kuongelea kishabiki kuhusu ugomvi wa pande hizi mbili. Askari wanaofikia hatua ya kupigana tena hadharani ni wapumbavu ambao hawakufuzu vizuri mafunzo yao, pia hawa ni watu hatari sana kwa mustakabali wa nchi.
Askari anapaswa kuwa na ushawishi wa kuwafanya watu watii sheria za nchi au kujisalimisha lakini hii ya kutumia miguvu pasipohitajika ni upunguani tu.
Mwanajeshi kama ilivyo Polisi au sisi raia wote tunawajibu wa kutii sheria na kwa namna moja au nyingine we are all law enforcers.
Mkuu askari wa FFU mwenye kofia na beji nyekundu kaa nae mbali....kweli basics zao kimafunzo ni tofauti kabisa lakini hapa tunazungumzia hand to hand ....askari wa kawaida wa JWTZ hawezi kuwaingia hao jamaa ....huu ndio ukweli ...pia ukisema labda zamani si sahihi sana maana siku hizi FFU wanapokea watu waliopita JKT tu ....ukijumlisha daily training za utimamu hawa ni hatari .
 
Back
Top Bottom