Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,151
- 166,094
Frogi izi jampingi jampingi frogi, frogi izi baunsingi baunsingi frogi..... Its me Snura of DisastersFeed force unity au,
Frogi izi jampingi jampingi frogi, frogi izi baunsingi baunsingi frogi..... Its me Snura of DisastersFeed force unity au,
Kupambana kunahitaji uwezo mkuuTatizo la hawa jamaa ni waoga kupambana
Una uhakika na unayoandika au ni akili zako zinakutuma. Nenda na Bachelor au Master yako Jeshini uone kama utapata kazi kiurahisi kwa sababu unadhani huko hakuna wasomi au ufikiri utajikuta upo peke yako na hizo degree. Kwa taarifa yako wewe ndiye huna ELIMU. Kule kuna mpaka PhD na Maprofesor pia wapo. Nenda kajielimishe ndiyo uje kuandika usilete utumbo wa kijiweni hapaWanajeshi wengi bangi na shule yao ndogo.afu pia wanajesh huwa wanawaonea wivu police kimaslahi,maana ingawa police wanalipwa kidogo kuliko wanajesh lakin police wengi wengi wamejijenga kiuchumi kuliko wajeshi.
Mm nishawah kuona mziki wao hakuna kituKupambana kunahitaji uwezo mkuu
ni kwamba, kiutawala, JWTZ ni maboss wa askari, hata kiweledi tu na kila kitu. sasa polisi hilo huwa hawataki kukubali, wanataka na wao waonekane wa maana na wana nguvu na heshima kama ile wanayopokea JWTZ. hao wanajeshi wanakuambia polisi ni raia wakakamavu tu wala si askari, kwao ni kama mgambo tu.Hizi habari za JWTZ kuwapiga Polisi au Polisi kuwapiga JWTZ huwa ni za kujirudia kila mara
Sijawahi sikia JWTZ kampiga magereza au zimamoto.
Hasa Polisi mnatia aibu sana! kila siku mnakungutwa nyie! JWTZ wana nini cha ziada cha kuwapiga kila siku. Mbona mnatukunguta sana mkitukamata sisi raia!
JWTZ na POLISI mna ugomvi gani usioisha? sijawahi sikia viongozi wa Polisi au JWTZ wakiliongelea hili.
Wangeanza na zile nyimbo za kukashfu polisi wanapokuwa mafunzoni hapo ningepaona pana maana kubwa, lakini unaweka sheria huku harafu kule watu wanaimba eti mwanajeshi anaweza kwenda na bangi kituo cha polisi nakuvuta mbele ya mkuu wa kituo na hao polisi wasimfanye kituAisee mkuu hii kitu imekatazwa. Yaani ungeweza kurekodi tukio mpaka muda huu huyo mwanajeshi angekua Segerea ananyea ndoo. Sasa hivi wakubwa wao wameweka sheria kali dhidi ya askari wao ambao miaka ya nyuma kidogo walijitia uwendawazimu ktk matendo yao. Mfano mara kufunga mtaa na kutembeza kisago kwa anayehusika na asiyehusika.
Wanajeshi wengi bangi na shule yao ndogo.afu pia wanajesh huwa wanawaonea wivu police kimaslahi,maana ingawa police wanalipwa kidogo kuliko wanajesh lakin police wengi wengi wamejijenga kiuchumi kuliko wajeshi.
Unajidanganya Mkuu, unawalinganisha waliofundishwa mpaka kuuwa na wanakamata tu.Wale jamaa wa polisi wanaovaaga kofia nyekundu ndio wanaowaweza hawa jamaa peke yao
Ni kweli mkuu hawana maendeleo.Hawa jamaa wanavisa na huwa wanadharauliana sana,
Wanajeshi wanawaita polis raia wakakamavu na polis wanawadharau wanajeshi kuwa hawana maendeleo na washamba hawaendi na wakat...
Halafu polis wanajiona wao ni professional kuliko wanajeshi
Vinyota moja na mbili vya jeshi asilimia 89% vina Elimu ya form six...havina Elimu ..akati police form six Elimu ya kawaida sana....Una uhakika na unayoandika au ni akili zako zinakutuma. Nenda na Bachelor au Master yako Jeshini uone kama utapata kazi kiurahisi kwa sababu unadhani huko hakuna wasomi au ufikiri utajikuta upo peke yako na hizo degree. Kwa taarifa yako wewe ndiye huna ELIMU. Kule kuna mpaka PhD na Maprofesor pia wapo. Nenda kajielimishe ndiyo uje kuandika usilete utumbo wa kijiweni hapa
Kama sijakosea ni Field Force UnitFeed force unity au,
Na dizaini mpk polisi washaanza kuwaogopa, jana mataa ya moroco wakati tumesimamishwa traffic alipoona lori la wanajeshi ilibidi awruhusu zikapita kama gari 4 tu pamoja na la jeshi, baada ya hapo akatuzuia akaendelea na upande mwingine......nikajua jamaa wameshaanza kunyooka.