JWTZ na Polisi mna ugomvi gani usioisha!

JWTZ na Polisi mna ugomvi gani usioisha!

ha
Jeshi muda wote lipo kazini huwezi jua unavyo mzuia mjeda katika foleni unamchelewesha katika kazi muhim kiasi gani,kwanza hata heshima ya mjeda na hawa mwera ni tofauti hadhi ya mjeda ipo juu sana kuliko polisi.


hadhi kivipi!
 
Haaaa kule RTS wanatu nyimbo twao usiwe kama polisi.....push up kwenye godoro....kuwa kama msoja push up kwenye kokotooooo

Alafu wale askari walioshindwa kusonga mbele na kujiunga Jeshi la Police huitwa Mbwa
 
kisheria jeshi linajifunza kulinda na kutumia nguvu kubwa ndani na nje ya mipaka ya nchi, na ndio maana unaona serkali inaghalamia silaha kubwa kwa sababu ya jeshi la wananchi,

police wanajifunza kulinda mali na laiya kwa kushirikiana nao na pia ikiwezekana kuwapa elimu laiya hao hasa jinsi ya kuacha uhalifu na kuwaficha wahalifu hata akiwa mwanao, sasa cha ajabu police huyohuyo badala ya anapo muona mtu amekosea kidogo tena mtu yule anaomba hata msamaha kwa kutokujua alichofanya yeye anamkokota, tena mbaya zaidi unaweza kuona yule mtu anaekokotwa kweli ni mtu wa shida lakini anaweza kumwambia waanbie ndugu zako waje wakufuate,watu wanajichanga ile hela ya chakula anaenda kumtoa ndugu yake, nao wanaipokea bila ya huluma na kuelimisha kua mtu hapaswi kuchukuliwa dhamana kwa kutoa pesa labda.kunavitu tu vya kuleta apewe dhamana.

ww ukitaka uamini kua police hawawaelimishi laiya ipasavyo, hebu fanya uchunguzi mdogo tu! police ili amkamate mtu anatakiwa ajitambulishe kwa kuonyesha kitambulisha,ampe namba yake, na kituochake cha kazi, laki malanyingi hawafanyi hivyo, wanampeleka mtu kituoni na hata ukimuuliza police aliekupeleka kituoni nani unakuta hamjui. huoni kunashida ya laiya kutopata elimu vizuri!
Kwanza jifunze kiswahili na uandishi bora wa sentensi za kiswahili.

Pili, waulize wanasheria wanajua kuwa kutojua sheria sio utetezi mahakamani. Na kazi ya polisi inayotambuliwa kusheria, kuelimisha sheria haimo.(ignorance of the law, is not a defence). Kama kuna watu wanatakiwa waelimishe sheria, ni wawakilishi wetu(wabunge) ndio wanaotengeneza sheria, na ndio huwajibika kutuletea mrejesho lakini waaapi.

Tatu, umezungumzia suala la rushwa vituo vya polisi. Lkn hilo lina pande mbili. Mtoaji na mshawishi wa rushwa. Tuchukulie mfano mtu kuuza gongo, akamatwe, apelekwe Polisi, halafu ndugu wauze ng'ombe kumkomboa ndugu yao aliyekamatwa na gongo. Kosa la nani hapo?

Kwangu mimi, wote ni washtakiwa mahakamani, wana kesi ya kujibu. Lkn iwapo askar wamemsingizia mtu kesi kubwa, kwa lengo la kuchuma pesa kwake, ndugu kuuza mali kumkomboa mtu huyo, ni kwa sababu hawatambui uwepo wa vyombo vingine vya dola kama takukuru. Laiti wangetambua wangedai uwajibikaji.
 
Mie sio askari, Siku moja nilipark gari mahali nikaizima lkn, sikushuka...kumbe nyuma yangu kwa ktkt imekuja pikipiki imepark pia! Sasa wakati nataka kuondoka kwa kurudi nyuma kidogo nikaigonga ile pikipiki ikaanguka! Nilipo shuka nikakuta mwenye pikipiki amefura kwa hasira na akanimwagia matusi yanguoni kuwa sina akili, nikamshangaa na nikamueleza wazi kuwa hana busara jambo hilo ni dogo tu na kwakuwa hakuna mahali pikipiki ili haribika! Akawaka yule baba!! Nikamwambia any way tu mpigie polisi amalize jambo hilo....!! Kabla sijamaliza nikaona yule bwana a narusha ngumi kuelekea usoni kwangu!! ....kabla ile ngumi haijatua nilipata muda wa kushangaa na kufanya uamuzi! ...ngumi nazijua kiasi hasa kwa mtu asie nijua sio rahisi kunishinda ! ...wakati ngumi yake inakaribia kutua mie nilikuwa nimerusha teke kwa spidi kuelekea kwenye kifua chake... mkono na mguu ukipiga vizuri mguu mrefu!! ...na kwakuwa alitumia nguvu ilisaidia lile teke kuingia kifua ni barabara!! Nikamwona anayumba kuelekea nyuma, si kumpa nafasi kikampiga mtama kwa nguvu! Akaanguka kwa nyuma ya shingo hivi...nilikuwa nimehisi huyu mtu anajua kupigana hivyo wakati anatua chini pembeni yangu niliona kreti yenye chupa za soda nilifanya upesi sana nikamchapa nayo usoni!! Hili tukio limechukua muda kusimulia....lkn mpambano chini ya Sekunde!!

Wakati na namtuliza na kreti yule mtu...ndio nikasikia kele anampiga mwanajeshi! !

******nilifanikiwa kuondoka eneo la tukio jamaa akiwa hoi chini!! Nikavuta rivasi ya nguvu huku nikiigonga tena pikipiki......huyooo ! ! ...nikatokomea...bahati nzuri tukio lile nilifanya ugenini!!
*********
.... Wanajeshi kuwe ni waungwana! !
Naona nlikudunda vizur afu story umeifanya verse versa...hahaaa asante kwa remix
 
Haaaa kule RTS wanatu nyimbo twao usiwe kama polisi.....push up kwenye godoro....kuwa kama msoja push up kwenye kokotooooo

Alafu wale askari walioshindwa kusonga mbele na kujiunga Jeshi la Police huitwa Mbwa
We jamaa mike nini?
 
Back
Top Bottom