JWTZ na Polisi mna ugomvi gani usioisha!

JWTZ na Polisi mna ugomvi gani usioisha!

Mbona kama umefanya vice versa?
Ameandika sawa lkn kama umekutana na mkono wa sheria huwezi wasapoti Polisi, utawasapoti jwtz kwa kuwa hujakwaruzana nao na hutakwaruzana nao.

Lkn polisi hufanya kazi za kutumia akili, kumshawishi hakimu au jaji atoe hukumu sio kazi rahisi.

Jwtz ni akili kidogo nguvu kibao. Huwa hawafikirii athari za matendo yao kamwe. Lkn wakibanwa na polisi utawaona wanavyokuwa wapole kama piriton
 
Simba na Chui hawapatani... ila wote ni wanyama hatari porini
 
Kiboko yao wavaa kofia nyekundu (FFU) ....labda Komandoo lakini JWTZ wa kawaida hasogei kwa mvaa kofia nyekundu ...

Huyo FFU wako anatia mguu kwa MP? Rudi upya ukafanye utafiti wako Mkuu ila kaa ukifahamu kuwa MP ( millitary police ) ni habari nyingine Jeshini na shughuli yao kawaulize hao askari njuka ( private na wale senior officers wakorofi JWTZ ) watakupa habari yao. Wasikie tu hao MP ila hata hivyo FFU nawaheshimu.
 
Wanajeshi wengi bangi na shule yao ndogo.afu pia wanajesh huwa wanawaonea wivu police kimaslahi,maana ingawa police wanalipwa kidogo kuliko wanajesh lakin police wengi wengi wamejijenga kiuchumi kuliko wajeshi.
Tengua kauli yako mkuu yacje yakakukuta ya bunwasi hata cku moja huwez kucompare mwanajeshi na polisi kimasilahi ndo maana mapolisi wengi wanaendekeza njaa mapolis wanaingilia mpka kaz ambazo cyo zao ilimradi mdomo uingie kinywani Leo polisi anakamata mpaka muuza mkaa? Anaingilia vitengo vya watu...
Je uliona wapi mwanajeshi anamng'ang'ania raia ili ampe rushwa Mara chache Sana.
 
Una uhakika na unayoandika au ni akili zako zinakutuma. Nenda na Bachelor au Master yako Jeshini uone kama utapata kazi kiurahisi kwa sababu unadhani huko hakuna wasomi au ufikiri utajikuta upo peke yako na hizo degree. Kwa taarifa yako wewe ndiye huna ELIMU. Kule kuna mpaka PhD na Maprofesor pia wapo. Nenda kajielimishe ndiyo uje kuandika usilete utumbo wa kijiweni hapa
Mwambie mkuu elimu finyu bado mtu analopoka..
 
Ameandika sawa lkn kama umekutana na mkono wa sheria huwezi wasapoti Polisi, utawasapoti jwtz kwa kuwa hujakwaruzana nao na hutakwaruzana nao.

Lkn polisi hufanya kazi za kutumia akili, kumshawishi hakimu au jaji atoe hukumu sio kazi rahisi.

Jwtz ni akili kidogo nguvu kibao. Huwa hawafikirii athari za matendo yao kamwe. Lkn wakibanwa na polisi utawaona wanavyokuwa wapole kama piriton
Police wa Nchi ipi wanaofikiri kwa kutumia Ubongo?
 
Sijawai kumwogopa mtu yoyote asa kama natetea haki yangu
 
Hivi wajua physical fitness z wanajeshi? Wana vitengo vingi ambavyo vinakaribiana na commando level.....acha kabisa polisi w mafunzo ya kawaida sana karate basic na general fitness! Wanajeshi wanafundishwa kukupiga na kukuua ndani muda mfupi sana! Hajafundishwa kukamata! Anaua.....!! Hata mazingira, wale wanajeshi wako kambini ful time wako mazoezi kila siku ndio order....polisi akitoka depo....yuko kazini muda mwingi hata mazoezi hawana tena!

Hahahaha we jaribu kudanganya umma tu, sio kila askari wa jw anajua karate ni baadhi maana huwezi kumpiga mtu kwa misimamo ya kombat karate, labda awe muoga tu....
na wala sio askari polisi, magereza, zimamoto hakuna wapiganaji, kuna wapiganaji wa kila mchezo ktk karate, na kikubwa ni kuwa wamoja maana wote wanatumikia taifa nasisi RAIA tunategemea kuona wakishirikiana.... Kila askari ni komando ktk jeshi lake!!!! Kikubwa kuheshimiana tu.
 
Jeshi la polisi halina idara ya Commando ndugu mwananchi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha kuwatukana, hata pale Ukonga makao makuu ya Field Force hawayafanyi hayo, ingawa kuna Police wapo vyema kwenye kuutumia mwili wao zaidi ya wapiganaji.

Kuna madogo wapo pale Fidi fosi Mbeya natumaini watakuwa wamepewa rank za juu....wale vijana walikuwa Shida...
 
Wa Tanzania hiihii mkuu.

wew unakimbia hatari..wao wanaifuata..unalala na mkeo usiku kucha kwa amani..wao wanalala na silaha wana kinda... unaingia kwako muda wowote ..wao nyumbani kwao wanakuja kwa muda maalumu.. unapanga ufanye nini..wao wanapingiwa wafanye nni....unalewa na kunywa usiku kucha wao wanakulinda..

yaank hayo yote bado unasema hawana ubongo!
 
Back
Top Bottom