JWTZ na Polisi mna ugomvi gani usioisha!

JWTZ na Polisi mna ugomvi gani usioisha!

Jwtz kiuhalisia ndo kila kitu katika suala la usalama, jiulize kwanini mkuu wa majeshi (CDF) Mwamnyange ndio anaekaa na rais kwenye gari ya maalum ya wazi... Kwanini IGP asikae nae kwenye hilo gari? Pia kwanini bodyguard wa rais maranyingi anatoka JWTZ. na sio polisi? Hivyo jwtz ni wakubwa kwa polisi kulingana na majukumu yao.
Mkuu mbona kama umeenda nje ya mada, hoja haielezi nani zaidi.
 
CDF ni mwakilishi wa raia wazalendo ndo maana unamwona na rais.pia yule si bodigad bali ni mpambe wa rais aide de camp (adc) anaweza kua yeyote kutoka jeshi lolote nchini mfano ni nyerere ashawai kua na adc kutoka jeshi tukufu la polisi .nawasilisha
 
Sasa nawe pia ni mjinga, maana ulikubali kudanganywa, maana ya ujinga ni kutojua na si kukosa akili, kumbe baada ya JKT ulijiunga na polisi, na haya unayoyandika hapa ni mwendelezo wa huo ugomvi wenu? Mimi siku zote najua polisi, JWTZ, Magereza, Zimamoto, JKT yote ni majeshi, ukisema jeshi tu unamaana unajumuisha majeshi yote, ila mpaka useme jeshi la ndipo utakuwa umetenganisha.
Sawa mkuuu .ila lazima tieshimiane tutoe hii mentalit ya kuona wajeda ndo wajuvi kuliko polisi
 
Mkuu mbona kama umeenda nje ya mada, hoja haielezi nani zaidi.
Nahisi sijaenda nje peke yangu mkuu maana maada yenyewe inahusu ugomvi kati ya polisi na jwtz... Lakini kama ukifuatilia uzi utaona komenti nyingi zmeelezea kiutofauti, sioni kama niko pekee, au labda wee ni polisi nini..?
 
CDF ni mwakilishi wa raia wazalendo ndo maana unamwona na rais.pia yule si bodigad bali ni mpambe wa rais aide de camp (adc) anaweza kua yeyote kutoka jeshi lolote nchini mfano ni nyerere ashawai kua na adc kutoka jeshi tukufu la polisi .nawasilisha
Alishawahi, lakini tokea hapo mpaka leo ni mara ngapi mpambe wa rais anatoka polisi?
 
Nahisi sijaenda nje peke yangu mkuu maana maada yenyewe inahusu ugomvi kati ya polisi na jwtz... Lakini kama ukifuatilia uzi utaona komenti nyingi zmeelezea kiutofauti, sioni kama niko pekee, au labda wee ni polisi nini..?
Safii naona humu kuna polis na wajeda wote ugomvi unaendelea
 
CDF ni mwakilishi wa raia wazalendo ndo maana unamwona na rais.pia yule si bodigad bali ni mpambe wa rais aide de camp (adc) anaweza kua yeyote kutoka jeshi lolote nchini mfano ni nyerere ashawai kua na adc kutoka jeshi tukufu la polisi .nawasilisha
Polisi haliwezi kuwa jeshi tukufu, sidhani kama kuna jeshi tukufu. Polisi kama hawashiki nafasi pili, tatu au nne katika taasisi zinazoongoza kwa rushwa sijui, leo uite eti tukufu hata kama wewe ni polisi kumbuka kubabikia watu kesi hii imesemwa sana viongozi waserikali, ila tuunawashukuru pia kwa mazuri yenu kwa rai na nchi yenu. Wito majeshi yote heshimianeni mjenge heshima ya Taifa lenu, hiiki tanakijadili hapa ni aibu kwa Taifa.
 
Cha msingi sifa zipunguzwe... Polisi mda mwingine wanazingua sana bila hata kosa
 
Polisi haliwezi kuwa jeshi tukufu, sidhani kama kuna jeshi tukufu. Polisi kama hawashiki nafasi pili, tatu au nne katika taasisi zinazoongoza kwa rushwa sijui, leo uite eti tukufu hata kama wewe ni polisi kumbuka kubabikia watu kesi hii imesemwa sana viongozi waserikali, ila tuunawashukuru pia kwa mazuri yenu kwa rai na nchi yenu. Wito majeshi yote heshimiana mjenge heshhi ya nchi yenu, hii tunayoijadili hapa ni aibu kwa Taifa.
Kweli kabisa mkuuuu .

Musoma kuna jw wawili walikuja kutoa pesa kene atm,mmoja akaingia atm mmoja akabak nje,polis aliekua zam akamwambia yule jw alobaki nje kua si salama wala hairuhusiwi kusimama pale ,yule jw akaanza kuchimba mkwara ikiwemo kumchapa makofi polis.polis aliingia kene kijumba akatoka na bunduki akakoki akamchapa jw risasi mbili za mguu. Nazan ilikua funzo kwa wengine jw wanaozan wanatawala kila mahali.
 
JWTZ ni sehem yenye discipline ya hali ya juu. Na kiukweli, jamaa ni wastaarabu na rafiki tu. Ila ukiona kimenuka, ujue Kuna mtu alitibua hali ya hewa.
 
JWTZ ndo baba lao ..hakuna cha FFU wala Askari Magereza ..nimeshuhudia wana jeshi JW wakiwa wanne waliwatoa nduki FFU 10 na vilungu vyao ..jamaa wanajua kuitumia mikanda balaa...achana na wajeda bana
 
Cha msingi sifa zipunguzwe... Polisi mda mwingine wanazingua sana bila hata kosa
Mkuu hata mimi nimeshawahi kukumbana na kadhia yao enzi hizo kabla ya simu za mkononi, nilikuwa mkoani huko, nikakatiza nyumba ambayo askari mmoja anademu wake. Nyumba ile ilikuwa na uwa wa miazi (bambuu) kwa wenyeji wa Nachingwea wanaijua uwa za aina hii, sasa yule asikri alitaka demu ajue yeye tayari yupo nje, alichofanya ni kunikamata mimi kwanini natembelea baiskeri isiyo na taa. Ni kweli baiskeri haikuwa na taa, ila kwa Nach, kipindi hicho hilo sio kosa, maana usafiri mkubwa ulikua ni baiskeri na hata hao polisi walitembelea baiskeri ambazo pia hazina taa. Na mbaya zaidi baada kunikamata wengine walikuwa wanapita bila taa hata kuulizwa kitu, walipojaa watu na wale mademu zao wakaja, wao ndiyo waliotuachanisha ugomvi ule askari walikua wawili.
 
Hapo kwenye shule ndogo nadhani unaongelea enzi za mwalimu. Wenye elimu ndogo sasa hivi wanaishia..wapo wachache ambao wanakaribia kustaafu. Sasa hivi jeshi linaajiri wasomi na hata wale ambao waliajiriwa wakiwa na elimu ndogo wanajiendeleza kielimu. Maafisa wa JWTZ karibu wote wanaoajiriwa sasa hivi wana degree zao.

Ni wale askari ndio wanaajiriwa wakimaliza form four.
Tatizo la hawa wanajeshi nadhani si la kielimu zaidi, ni vile wanataka kujionyesha kuwa wana nguvu na mabavu.
MKUU VIONGOZI WA JESHI HAWAPIGANI NA POLISI WA RAIA KUANZIA SAJENTI KUSHUKUKA CHINI NDIYO PASUA KICHWA ILA HUWA WANAPATA DOZI KUTOKA KWA BAADHI YA RAIA WENYE BABU ZAO NA WANAPUMZISHWA KWA AMANI KWA KUTUMIA KAMATI ZA UFUNDI OUT OF THAT NI SHEEEEEEDA
 
polis wa ccm wacha wadundwe......
walaini wale,..pushups kwenye godoro,...kozi zao daftari12 darasani mwanzo mwisho,.
wanasomea madarasani kuzuri kbxa,.
wanajiona makamandaaa
=rai
 
Kiboko yao wavaa kofia nyekundu (FFU) ....labda Komandoo lakini JWTZ wa kawaida hasogei kwa mvaa kofia nyekundu ...
Na jwtz wanao vaa kofia nyekundu je? Yaani MP. Nao wanachapika na hao FFU?
 
wanajeshi hawataki kuwatii askari polisi,wanawadharau sana sometimes wanajeshi wanakuwa na nguo za kiraia na wanafanya kosa,askari polisi akitaka kutimiza wajibu wake kisheria bhas atapata kipondo (nimesema mjeshi akiwa kavaa kiraia,kwa sababu najua akivaa gwanda askari polisi hawez fanya chochote)
 
naona polisi na jwtz wanaendeleza battle! hawa jamaa watatwangana mpka tukipata uhuru tena
 
wanajeshi hawataki kuwatii askari polisi,wanawadharau sana sometimes wanajeshi wanakuwa na nguo za kiraia na wanafanya kosa,askari polisi akitaka kutimiza wajibu wake kisheria bhas atapata kipondo (nimesema mjeshi akiwa kavaa kiraia,kwa sababu najua akivaa gwanda askari polisi hawez fanya chochote)

huo ni uongo na siamini! mara nyingi nimeona na kusikia wakiwadhibiti. hawq jamaa huwq wanaviziana..anayemuwahi mwenzake ndo halali yake.
 
Alafu vinajiitaga fukafuka wakuu sijui hata vina maana gani!? navipendaga saana vikikaa kwenye magari yao ya difenda zile full konfidence, and pia mode ya kijeshi na kipolisi ikiwa activated and on always.

Sema sipendi maana huwa hawafikirii kwa akili yao vikiambiwa piga wale...kwanza mnatupiwa viazi vya moshi hata muwe laki nane mtakubali tu..ni vibishi dunia nzima!! Ahahaha FFU sina hamu nao maana tuliwahi kugoma ile kishule shule na tukaanzisha vurugu pale pale shuleni bahati mbaya palikuwa na fensi then ile tunaanza tu vurugu ikatokea kama coincidence na gari yao inapita wanatoka lindo, mlinzi aacha akazane kupuliza filimbi kuomba msaaada wa kijeshi...weeeeh!! Sikumbuki zaidi kilitokea nini kwa haraka haraka zaidi ya sauti ikisema kwa ukali "afande ili hapa lipige lipige!!!" Paaah!! Baafa ya hapo nakumbuka tulikutana home na sister angu tukiwa hoi!! Sista kilio na makamasi kibao ashachanwa na senyenge za fensi...unafanya mchezo!! Loh!! FFU sina hamu!

poleni sana mkuu kwa kilichokukuta
 
Back
Top Bottom