- Thread starter
- #241
karibuN pm nkuchukue
karibuN pm nkuchukue
Karibu kwangu, ama nikuoe au nikuelemishe kuhusu wajeda na ukafanya uamuzi sahihi
Kwani tayari una mume bibie ukaribie hapa 44 KJNawakubali sana wanajeshi,
I wish ningeolewa na Mjeshi[emoji123]
Ahsante.nipo mama
Ahsante.N pm nkuchukue
Mmeacha kachuna ngoziiiKaribu Bibie .....Mbeya hali ha hewa ni safi sana
Nawazimikia wajeda nawapenda ningepata mume wa kijeda ningefrah
Nilikuwa, nikatoka na sasa nipo na mambo yangu... Zile character za Ujeda ninazo... Wasiwasi wangu ni kuwa uko less informed kuhusu jeshi lolote lile(jwtz, polisi, magereza, etc.) Kwa kuwa uko na info chache sana kuhusu wajeda Njoo kwangu ama nikuoe au nikueleze vzr kuhusu Wajeda na thereafter ukafanya the so called BEST DECISIONUnielimishe tena[emoji15]
Magereza kuna kitengo rasmi cha kukabiliana na wafungwa sugu...nikimaanisha Majambazi yanayotumia silaha na yale yenye mafunzo ya kijeshi..KM wa magereza wapo vzuri sana kushinda hata Field Force a.k.a wavaa kofia nyekundu.
Nilikuwa, nikatoka na sasa nipo na mambo yangu... Zile character za Ujeda ninazo... Wasiwasi wangu ni kuwa uko less informed kuhusu jeshi lolote lile(jwtz, polisi, magereza, etc.) Kwa kuwa uko na info chache sana kuhusu wajeda Njoo kwangu ama nikuoe au nikueleze vzr kuhusu Wajeda na thereafter ukafanya the so called BEST DECISION
Haaaaa haaaaa Nipo Mbalizi hizo mambo zipo Vwawa huko....na kwasasa habari ya kuchuna ngozi imebaki HistoriaMmeacha kachuna ngoziii
Magereza kuna kitengo rasmi cha kukabiliana na wafungwa sugu...nikimaanisha Majambazi yanayotumia silaha na yale yenye mafunzo ya kijeshi..
Pia nao huchukua askari toka JWTZ na wengine huwa wanawatrain wao wenyewe pale Kiwira-Mbeya
Field Force wana mafunzo mengi ya ukakamavu na kupambana kwa kutumia mwili (Martial arts) lakini bado (Sidhani) sana kama wanaweza wafikia KM (Kikosi Maalumu) cha Magereza, wale vijana wapo vizuri kuanzia Modules za mafunzo yao na namna wanavyoishi..... Kwa kiasi fulani wana akisi maisha ya vijana wenu pale 99 KJ- Morogoro
My Take
Vikosi vyote vya kijeshi vina umuhimu ingawa umuhimu huu unatofautiana, ni suala la kupeana heshima tu, kwani lengo ni moja kuona jamii ya Mtanzania inaishi katika usalama wa kipekee ingawa hatuwezi kutoa ulinzi huo kwa 100%
Na kuhusu kupigana nadhani Police wapunguze ujuaji... Nakumbuka sakata la Mbeya wakati huo tunaipandisha timu ya 44 KJ tulikuwa na mechi nao (Polisi Mbeya) walileta ujuaji kwenye viingilio kwa kuchukua pesa kwa vijana waliokuwa wanaruka ukuta, tulipo jaribu kuwakanya nakumbuka FFU mmoja alileta jeuri (Nadhani alipita JKT) alichofanywa kilipelekea hata mechi kuvunjika...na tangia siku hiyo kulikuwa na uhasama mkubwa sana wa hizi kada pale mkoani Mby
Peke yake angevunja mechi?nadhani alikuwa peke yake..that is why
Wale jamaa wa polisi wanaovaaga kofia nyekundu ndio wanaowaweza hawa jamaa peke yao
Mwaka jana wenzako walichezea kichapo cha mbwa mwizi pale Arusha.Peke yake angevunja mechi?
Tafuta hii stori kwa wenyeji wa Mby upate full mkanda... Siku hiyo nakumbuka hadi kamanda wa polisi Mbeya wakati huo alikuwa Sanya alifika Kikosini na kuongea na wapiganaji, nakumbuka aliongozana na Mkuu wa Mkoa wakati huo nadhani alikuwa na Mateo Quares kama sijamsahau, Mbunge (Benson Mpesya) na viongozi wengine wa Kiserikali....
Tulifanyiwa Paredi ya Dharula [emoji3] wakajaribu kutuelimisha na tukapeana na mikono kabisa kwamba sisi wote ni watoto wa baba mmoja.
Kesho yake nakumbuka ilikuwa ni J2 tulipewa ruhusu kwenda kuwacheki pale kambini kwao (wapo jirani na Magereza)
#EnziHizo bwana mkuu wa kikosi akatoa DAF moja na 110 la mabaka [emoji3] baka...... Tumefika tu, kamanda wa Field Force Mkoa akasema tumekuja kishari tena hivyo hawatupokei tukarudi zetu........ Sijui waliyamaliza vipi maana Mkuu wa kikosi alikuwa jeuri zaidi ya Mstaafu Mboma.
Peke yake angevunja mechi?

Mwaka jana wenzako walichezea kichapo cha mbwa mwizi pale Arusha.
Hahahaaaa pale kuna jamaa yangu alipata kichaa wiki ya 3 ya mkeshaSix weeks zetu ndio zinatufanya tuwe hatari, mziki mwenyewe niliukubali pale RTS kihangaiko -msata
Hahahaaaa pale kuna jamaa yangu alipata kichaa wiki ya 3 ya mkesha
Military policeNa vp wale wajeda wanaovaa kofia nyekundu acha wale wanaovaa kofia za damu ya mzee(maruni)?
Alikuwa fit ila mtiti ulizidi aiseeatakuwa alikuwa unfit