Lunyungu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 8,873
- 1,894
-Ni utaratibu wa kawaida tu ambao umetumika,lengo ikiwa ni kuwahakikishia raia wema amani na usalama.
-Mji wa dar una raia wengi kuliko mji mwingine wowote nchini,hatuwezi kuzungumzia jeshi la wananchi kulinda mipaka wakati ndani si shwari.
-Doria iliyokuwa inafanywa na JWTZ ni sehemu ya kuona kama kuna sehem vurugu zimekuwa kubwa kiasi polisi wanehitaji usaidizi nathalani kama kungekuwa na mapigano ya silaha.
-Labda nikukumbushe kuwa wewe uliwaona Mgambo wa jiji,Polisi,FFU na JWTZ je unatambua kuwa kuna vyombo vingine vya ulinzi na usalama vilikuwa vikifanya doria pasi ya wewe kujua?
;Basi hakuna matumizi mabaya ya vikosi hiki yaliyotumika sote tuna wajibu sawa kulinda amani ya nchi yetu hata kama mimi na wewe si maaskari.
Umemweleza vyema yeye anaona Nchi inaenda anadhani ni FFU pekee walikuwa na Mgambo no way. Kila mtu alikuwa kazini na next time we need to break their legs and leave them bullets in their bodies wasimulie wajukuu kwamba walileta ujinga state ikalinda Nchi.
Nawaunga JW kuwepo na nasema hawa viroboto ni wa kufyeka ni cancer ya maendeleo na ustawi wa jamii kwa jina la Islam. Muislam gani anaiba kanisani na kukimbia na kteri za bia ?Let them go to hell .They are turnishing the image of my Country ndani na nje.
Sasa walio waislam safi wategemee kibano sana kupata Visa za kwenda Nchi za watu na hasa Ulaya na US kwa masomo nk. Ni hawa wahuni wa kuwalaumu