JWTZ, KDF: Wanawake kazini

JWTZ, KDF: Wanawake kazini

Na mbona wanatumia dreamliner kusafiri? Napiga hesabu Kama ni KDF wanatumia KQ ama Jeshi la Marekani kutumia Delta Airlines...Does JWTZ really have military planes?
Ile ni mission ya United Nations, UN paid air Tanzanian. Strictly business. Midege ya jwtz ipo kibao.
 
The sorcerers surrendered within the first 10 comments of this thread[emoji23][emoji23]
 
Kenyans mnatakiwa mpimwe akili, Mambo yenu yote ya kijeshi mnaweka hadharani,Kwa hali hii Tanzania will remain untouchable forever [emoji3][emoji3]
 
Hahahahaha, this is desperation, hii sio ya Kenya, Hahahahaha, prove kama hii mnayo,mumepachika hiyo bendera, kama kawaida yenu kupenda Kujikweza kwa kutumia vitu vya watu, hahahahaha
Unadhani sisi tunaweza danganya kwamba tunamiliki MD attack helicopter ambayo umesema ni ya 1960 kumbe ni kitu mpya sana na nchi 1st world pia wanazo.
 
Vulcan ameweka text ya mwaka 2005, saa hivi kila nchi imesha modernize jeshi lake, Tanzania tulimodernize jeshi letu mwaka 2014, Kenya bado mnatumia vifaa vya kizamani sana. Sema ukweli hizi helicopters zilitengenezwa mwaka gani kama sio 60s?
Shida yako ni eti ukipatikana huwezi kubali kushindwa. Kwako ni afadhali useme Kenya wanafanya photoshop kushinda kukubali ukweli. KDF sio mchezo.
 
Bado wamasumbua somalia alshabaab bado hamjafanya kitu kdf kwan bado kuna maeneo yanashikiliwa na alshabaab
joto la jiwe wewe jamaa ulinisumbua sana wiki mbili zilizopita eti KDF hakuna jambo zuri lililofanya Somalia. Haya basi tazama hio video halafu unipe ripoti.
 
Mpige msomali ndio nitakuona ww mwanaume
Shida yako ni eti ukipatikana huwezi kubali kushindwa. Kwako ni afadhali useme Kenya wanafanya photoshop kushinda kukubali ukweli. KDF sio mchezo.
 
Bhana wewe kenya km USA majigambo meengi kelele nyiingi vita haziwez anatafta wasaidizi Jeshi la Russia UK France na Israel kuwen km Tz ni vidume km iran ukitujaribu tunakuwasha moto
KDF?, Hahahahaha, hahahahaha, Hahahahaha
 
Back
Top Bottom