JWTZ, KDF: Wanawake kazini

JWTZ, KDF: Wanawake kazini

wakenya bwana.... yani mbwembwe zote hizi na bado wanalambishwa LOLO na alshabab tena kwenye ardhi yao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
MBONA 254 WANATUMIA NGUVU KUBWA SANA HAPA?
 
Kama vipi tuandae pambano la kirafi ili ubishi uishe JWT vs KDF,hii hoja nitaipeleka kwenye kikao cha bunge la Africa Mashariki.
 
KENYA MIDOMO JUU JUU HALAFU HAO WASELA ALSHABAAB WANAKUJA KUWAKAZIA HADI NDANI KWENU WAKIAMUA TU...... WAKATI MPO KULE MNABAKA NA KUONEA WASIO NA HATIA WAO WANAKUJA WANASABABISHA HASARA HAPA KWENU..... SHUSHENI VIDOMO HIVYO .
 
Mngeendelea kusema mlima Kilimanjaro ni mali yenu mngeona cha mtema kuni .
 
Back
Top Bottom