vulcan
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,742
- 2,459
hii hata North Korea hawafanyi,Ule upuzi wa JWTZ wa kwenye show ground tuliachia NYSView attachment 1108133View attachment 1108134View attachment 1108135
hii hata North Korea hawafanyi,Ule upuzi wa JWTZ wa kwenye show ground tuliachia NYSView attachment 1108133View attachment 1108134View attachment 1108135
Hiyo ni noma budaa [emoji16][emoji16]hii hata North Korea hawafanyi,
Mwenye alifungua thread naye ameweka picha moja akapotea [emoji23][emoji23]Sa
Huruma bana! Sasa atoe wapi [emoji23][emoji23]
Ukweli, hata mimi sikujua hiloDid you know Kenya is the only African country that owns 6 of the German Grob G120A trainer helicopters?
Don't change the topic, I have said these light attack helicopters are not in service anywhere on the global, they are very old and outdated, prove me wrongDid you know Kenya is the only African country that owns 6 of the German Grob G120A trainer helicopters?
Rejelea Post #74 Vulcan ashakupa jibu unaendelea kuvaa miwani ya mbao 😂😂Don't change the topic, I have said these light attack helicopters are not in service anywhere on the global, they are very old and outdated, prove me wrong
Hahahahaha, this is desperation, hii sio ya Kenya, Hahahahaha, prove kama hii mnayo,mumepachika hiyo bendera, kama kawaida yenu kupenda Kujikweza kwa kutumia vitu vya watu, hahahahahaMwambie in Africa, zinapatikana tu Kenya!! Ameze ateme shauri yake!
Huyu ni nyanyako hapa chini ?Hahahahaha, this is desperation, hii sio ya Kenya, Hahahahaha, prove kama hii mnayo,mumepachika hiyo bendera, kama kawaida yenu kupenda Kujikweza kwa kutumia vitu vya watu, hahahahaha
Vulcan ameweka text ya mwaka 2005, saa hivi kila nchi imesha modernize jeshi lake, Tanzania tulimodernize jeshi letu mwaka 2014, Kenya bado mnatumia vifaa vya kizamani sana. Sema ukweli hizi helicopters zilitengenezwa mwaka gani kama sio 60s?Rejelea Post #74 Vulcan ashakupa jibu unaendelea kuvaa miwani ya mbao [emoji23][emoji23]
2005 Kenya walikuwa Somalia? nimekuletea hata video kakaVulcan ameweka text ya mwaka 2005, saa hivi kila nchi imesha modernize jeshi lake, Tanzania tulimodernize jeshi letu mwaka 2014, Kenya bado mnatumia vifaa vya kizamani sana. Sema ukweli hizi helicopters zilitengenezwa mwaka gani kama sio 60s?
Hahahahaha, this is desperation, hii sio ya Kenya, Hahahahaha, prove kama hii mnayo,mumepachika hiyo bendera, kama kawaida yenu kupenda Kujikweza kwa kutumia vitu vya watu, hahahahaha
Sasa huoni tofauti kati ya hizi zenu za kizamani ambazo hazina kamera kwa hapo chini kwa mbele, na hiyo uliyoweka ina Camera kubwa hapo chini, Hahahahaha, acheni sifa za kijinga wakati KDF ni dhahifu SanaHuyu ni nyanyako hapa chini ?
View attachment 1108180
View attachment 1108181
View attachment 1108183
HeheheHahahahaha, this is desperation, hii sio ya Kenya, Hahahahaha, prove kama hii mnayo,mumepachika hiyo bendera, kama kawaida yenu kupenda Kujikweza kwa kutumia vitu vya watu, hahahahaha
Onyesha vifaa mlivyonavyo acha kutuletea makubaliano, mbona mlikubaliana na China kwamba mtajengewa reli hadi Kisumu. Mbona mliweka mikataba ya kujenga Green field terminal, je viko wapi?![]()
Kenya Bolsters Military Might with Acquisition of Attack Helicopters - Rotor & Wing International
When a leading U.S.-based news organization headlined Kenya as a hotbed of terror in the run-up to a state visit by then-President Barrack Obama, Kenyans were up in arms that their country was ranked with failed states such as Iraq, Afghanistan and Syria where terrorism and civil war was the...www.rotorandwing.com
![]()
Kenya Bolsters Military Might with Acquisition of Attack Helicopters - Rotor & Wing International
When a leading U.S.-based news organization headlined Kenya as a hotbed of terror in the run-up to a state visit by then-President Barrack Obama, Kenyans were up in arms that their country was ranked with failed states such as Iraq, Afghanistan and Syria where terrorism and civil war was the...www.rotorandwing.com
Mimi sitachoka...fungua link soma hapa
"..... This was underlined when the U.S. Congress finally approved the acquisition of weapons for the Kenya Defense Forces (KDF) from various U.S. military hardware suppliers. Key amongst these included "12 MD530F Cayuse Warrior helicopters for the Kenya Air Force" to replace its legacy MD500 aircraft. These were in addition to an acquisition of six Bell UH-1Y helicopters that the KDF had acquired from the U.S. military.... "
Povu mwaga inakubalika 😂😂Ni kweli kenya mna vifaa vingi lkn kdf hawana mbinu za mapambano,,,
kila wiki kdf wana acha kambi wanawakimbia alshabab,pamoja na vifaa vyenu mkiwa navyo nyang'au nyinyi,
Acheni kufananisha JWTZ na takataka za kdf,,