Humorous Junior
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 1,599
- 1,422
Karibu Tanzania, uje nikuonyeshe walipo wale wadudu waharibifu.
Mkuu matusi hayo kwa wala sukuma week
Mkuu matusi hayo kwa wala sukuma week
Yaani jeshi lao wanalisifia tu kuwa na vifaa ambavyo kila mtu amevijua ila hawaoni wana kasoro ya kuwa na intelejensia hovyo kuwahi kutokea baada ya vita ya pili ya dunia.Mkuu matusi hayo kwa wala sukuma week
Acha kumwaga mchele kwenye kuku wa Turkana wenye njaa kali.
Wanapigwa na njaa na bado wanakesha hapa kupiga kelele kuhusu KDF yao kuwa ni imara...!!! Kwanini wasitumie hilo jeshi kupambana na njaa.Kaka mungu anawaona matusi mnayowapa wala sukuma week
Vilabu vyenu vina hela sana ndio maana vinadhaminiwa na SportPesa. A Kenyan company. 😀😀😀Kenya hamna club tajir za mpira kuzidi tz we tulia rudi huku huku maana hata huko haupawez
Sportpesa wanajitangaza acha ushamba ina maana hujui marketing hadi leo wewe kifutu?Vilabu vyenu vina hela sana ndio maana vinadhaminiwa na SportPesa. A Kenyan company. 😀😀😀
Alafu wakishajitangaza wewe kibwengo inakuwaje?Sportpesa wanajitangaza acha ushamba ina maana hujui marketing hadi leo wewe kifutu?
Karibu Tanzania, uje nikuonyeshe walipo wale wadudu waharibifu.
View attachment 1108776
Acheni mwembwe.
Atakayeonyesha mwenye mkono mkakamavu kama wa huyu mwanamama wa kikongo nampa ushindi.
Wakijitangaza mnakufa na njaa Turkana wewe Maunda.Alafu wakishajitangaza wewe kibwengo inakuwaje?
Hisia za kibinti peleka kwenye lile jukwaa lenu pendwa la MMU. Kwa akili zako za kuvukia barabara hapa 'hutoshi mboga'.Wakijitangaza mnakufa na njaa Turkana wewe Maunda.
Vilabu vyenu vina hela sana ndio maana vinadhaminiwa na SportPesa. A Kenyan company. 😀😀😀
Nenda Mexico ubebe mahindi uje kupika.Hisia za kibinti peleka kwenye lile jukwaa lenu pendwa la MMU. Kwa akili zako za kuvukia barabara hapa 'hutoshi mboga'.
Alafu wakishajitangaza wewe kibwengo inakuwaje?
Mkuu achana na huyo jamaa hana uhakika wa kula kesho asubuhi kwa sababu ya njaa huko kwao. Usije akapata kisingizio kuwa amekufa kwa mabishano kumbe njaa.Sportpesa mdhamin mdogo sana wadhamin wakubwa nadhan unawajua matajir kuliko nyie makapuku wala sukuma week kina bakhresa na Mo dewji matajir amongst wa Africa ambao kenya hamna nambie kuna klab ya kuizid hela azam fc kiwanja cha chamaz cha azam complex kizuri na kina value kuliko national stadium ya kenya hata Unicef anaidhamin barca ila ni mdhamin mdogo huwez mfananisha na Qatar airways mdhamin wa zaman wa barca
nyuzi za aina hii ni watanzania wenzako wanazifungua kwa nia ya ku ikejeli Jeshi la kenya na kujilinganisha na kenya.Lakini wakishindwa kujilinganisha au kutetea hoja zao wanasema wakenya wanapenda show off.Wakijitangaza mnakufa na njaa Turkana wewe Maunda.
Mkuu achana na huyo jamaa hana uhakika wa kula kesho asubuhi kwa sababu ya njaa huko kwao. Usije akapata kisingizio kuwa amekufa kwa mabishano kumbe njaa.
Kwa huu uandishi wako wakimagumashi acha niseme tu kwamba sina la ziada. Nimekuelewa.Sportpesa mdhamin mdogo sana wadhamin wakubwa nadhan unawajua matajir kuliko nyie makapuku wala sukuma week kina bakhresa na Mo dewji matajir amongst wa Africa ambao kenya hamna nambie kuna klab ya kuizid hela azam fc kiwanja cha chamaz cha azam complex kizuri na kina value kuliko national stadium ya kenya hata Unicef anaidhamin barca ila ni mdhamin mdogo huwez mfananisha na Qatar airways mdhamin wa zaman wa barca