Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,227
- 40,718
Yaani Westgate mall mlikesha week nzima mnahangaika na vijigaigi na wakafanya yao na kutoroka via mtaro,unataka kufananisha na JWTZ? Utakuwa umerogwa wewe
Kweli watu wanaotandikwa na vitoto vya chekechea si wa kufananishwa na jeshi lolote ulimwenguni. Ni wa kufananishwa na vijana wadogo wanaopigana vichochoroni.
Unaziona hzo za jwtz ukishoboka unakeketwa nazo zilirushwa na kujaribiwa 2014 ktk sherehe za muungano tzJWTZ Ina Air force kweli?? Ukizingatia wanatumia Ndege za ATCL for logistics.
we are only comparelable to the best and thats why we train with the bestYaani Westgate mall mlikesha week nzima mnahangaika na vijigaigi na wakafanya yao na kutoroka via mtaro,unataka kufananisha na JWTZ? Utakuwa umerogwa wewe
Hapo mkuu umenena asa jeshi la KDF wakiniletea wanawake siwapigi nawabusu maanake kwanza wamekonda km wanyarwanda then wazurihatuna airforce mkuu tuna jeshi la anga!! kama hilo ndio lenu la anga huko kwenu mmekwisha
we are only comparelable to the best and thats why we train with the best
some hostage situations can take a wrong turn read the link below from Russia and USA
Beslan school tragedy | The Guardian
Latest news, sport, business, comment, analysis and reviews from the Guardian, the world's leading liberal voicewww.theguardian.com
Special unit.View attachment 1108665
Aaah hamna lolote, kdf is weak compared to TPDF,am sure you guys you're well informed about thatwe are only comparelable to the best and thats why we train with the best
some hostage situations can take a wrong turn read the link below from Russia and USA
Beslan school tragedy | The Guardian
Latest news, sport, business, comment, analysis and reviews from the Guardian, the world's leading liberal voicewww.theguardian.com
Wakenya naona mnakwepa swali langu! Nitajieni vita MOJA TU ambayo mmewahi kupigana na mkashinda!!! Ili kuweka kumbukumbu sawa, nalazimika kukukumbusha kwamba hata wanamgambo wa Al Shabaab ambao hawa mafunzo yoyote ya kijeshi na wenyewe mmewashindwa!!!
Ndege za world war IUnaziona hzo za jwtz ukishoboka unakeketwa nazo zilirushwa na kujaribiwa 2014 ktk sherehe za muungano tzView attachment 1108677View attachment 1108678View attachment 1108679
Kumbe wanamgambo wasio na mafunzo yoyote ya kijeshi mnapambana nao kwa kutumia zana za kisasa za kivita na bado wanawatoa kamasi halafu bado mnajigamba mna jeshi bora!!! Tena basi ni ma-invetory mliyoanza kuyajaza baada ya kuanza na Al Shabaab! Are you serious?! Unajaza ma-invetory kwa ajili ya kupambana na kikosi cha wanamgambo wasio na mafunzo yoyote ya kijeshi?! Very sorry for you, mnadhani jeshi imara linapimwa for number of inventories tena ambazo zimenunuliwa with little military need!! Tuchezeeni siku moja kama hamjazikimbia hizo! No wonder nimewauliza mmewahi kupigana vita gani na mkashinda, hakuna hata mmoja aliyenijibu hilo swali!
Halafu ma-KDF bhana, wanaenda kombania mzima na mavifaru juu kwenda kupambana na wanamgambo sita! Yenyewe inafika eneo la tukio, badala ya kupambana, inaishia kuiba juice na biskuti supermarket 😀😀 :
You must be really desperate you are now posting patrol boats armed with machine guns ?....post a battle ship that can engage Kns Jasiri or even Nyayo in maritime combat.
Ndege za world war I