JWTZ, KDF: Wanawake kazini

JWTZ, KDF: Wanawake kazini

Tanzania kwenye masuala ya kijeshi hatuna show off kama hizo zenu, mnadhani nyie ndiyo mna vifaa na zana za kijeshi kumbe mnaandika msichojua.

Juzi Rais alisema ananunua ndege na jeshini pia zinanunuliwa ila hazisemwi sasa nyie kila mkipata kibaiskeli mnaweka mtandaoni ili kujilinganisha na sisi nawapa pole.

Kwanza tuna hazina kubwa sana ya nguvu kazi tukisema tuanze kushindana kwa rasilimali watu nadhani tutaanza kuwazidi hapo. Tanzania tuko vyema hata rais wenu anajua na mkuu wenu wa majeshi anajua ila wanaogopa kuwaambia.

Ukiona nchi imetunza siri zake za kijeshi na msijue anamiliki nini basi ujue tuna uwezo wa kumiliki hata usivyokuwa na uwezo navyo na tukatulia. Nyie kwa mfano tu wa Al Shabab nakiri na kusema kwanza usalama wa taifa lenu ni hovyo na ni usalama wenye kutia mashaka.

Tunaingia kwenu na kutoka tupendavyo. NYANG'AU.
 
Ujue kuna mambo hata mtandaoni kuyaongea unaona aibu. Yaani nikae kuongea kuhusu jeshi letu wakati najua lina uwezo wa kulinda nchi hii na kupanua mipaka ya nchi lipendavyo kila upande.

Tanzania tunajikwamua kiuchumi ila msije mkafikiria kuwa kutuzidi uchumi basi mnatuzidi vyote (itakuwa mistake kubwa) nyie mjilinganishe kwanza na wanajeshi wa Kampala (siyo Uganda) mkiwashinda ndipo mje kujilinganisha na JW.
 
Ipo air force military base,

Umezaliwa mkoa gani wewe nikuelekeze?

Ukiwa maeneo ya jirani na kambi yao frequently wapo mazoezini kurusha ndege, kwa wiki hata mara 5
Acha kumwaga mchele kwenye kuku wa Turkana wenye njaa kali.
 
Sisi mambo yetu ya kijeshi hayapo Google ndiyo maana wanajiona wako juu kwa vipicha vya google.

Jeshi ni usiri kama wao wanashindwa kuwa hata na usiri wataweza kuwa na usalama kweli?
Ati Siri,wakati Kila silaha mnanunua kutoka nchi zilizoendelea?
Mtakuwa na Siri siku mtakuwa developed country plus mnajitengenezea zenu,
Sahii ata sindano mnaagiza
 
Ati Siri,wakati Kila silaha nanunua kutoka nchi zilizoendelea?
Mtakuwa na Siri siku mtakuwa developed country plus mnajitengenezea zenu,
Sahii ata sindano mnaagiza
Hahaha sasa hata kama tunazinunua kwa nchi zilizoendelea kuna sababu gani ya kuzitangaza? Huo ni ulimbukeni wa hali ya juu.

Jeshi linafanya manunuzi kisiri na hata raia hawawezi kujua, uje kujua wewe NYANG'AU?
 
Meja generali Alifred Kapinga umesikia alichokisema?

Tanzania ni moj kati ya majeshi imara duniani, ameongea mbele ya vyombo vya habari nadhani na nyie wakenya mmesikia.

Malizeni operation yenu isiyoisha huko Somalia, maana Al shabab wanawapiga nje ndani, mpaka amerika aje kuwapa msaada.
 
Mkuu matusi hayo kwa wala sukuma week

Back
Top Bottom